Hakuna kitu wamagharibi hawatengenezi,vyote wanatengeneza tena kwa ubora zaidi.Kwa kumtaja Khadija Kopa na kutumia neno "shostito" umeshaonyesha ni mtu wa aina gani. Anyway, Katika vitu vyoote ulivyotaja ni kitu gani nchi za magharibi hazitengenezi?
Ila mie nimezungumzia upande wa Iran nini anaweza kufanya.