Wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu waongoze kudai mabadiliko / mageuzi

Wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu waongoze kudai mabadiliko / mageuzi

01 November 2022
Bungeni
Dodoma, Tanzania

HESLB yaitwa kujieleza bungeni// Mkenda awacharukia

Prof. Adolf Mkenda waziri wa elimu ashangaa timu yake ya uchunguzi kutoka Tanganyika na Zanzibar kupigwa vita isichunguze nani anastahiki kupata mkopo wa HESLB, waziri anasema hii inamshawishi kuwa kuna madudu mengi kama mkopo kutolewa kwa wanafunzi wanaotoka familia zinazojiweza.
Source : mwananchi digital
 
Uku tunaoelekea inaonekana hata kupata mkopo bila connection au kupita njia za panya hupati kitu asee Hali mbaya sana
 
FREEMAN MBOWE AELEZEA JINSI VIJANA WA ZAMANI WALIVYOSHIRIKI KUJENGA VYAMA VYA SIASA, AWAASA VIJANA WA SASA WASISUBIRI SIKU ZA BAADAYE

Hata Albert Chalamila .... alishiriki vuguvugu la mabadiliko wakati akiwa anasima Chuo Kikuu .... anabainisha majina mengine ya wengine walioshirikiana naye kama Mwenyekiti wa Vijana wa CHADEMA 1992 - 1998 ......
 
Back
Top Bottom