Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,646
- 10,442
Nikuaokotee mawe ngoja mhafidhina Jagina aje!Quran tukufu isiyo na chembe ya shaka inasema
Quran 3 :52
"Isa alipo hisi kuwa kati yao pana ukafiri alisema: Nani wasaidizi wangu kwa Mwenyezi Mungu? Wanafunzi wake wakasema: Sisi ni wasaidizi wa Mwenyezi Mungu. Tumemuamini Mwenyezi Mungu, na shuhudia kwamba sisi hakika ni Waislamu.
Sasa Unabisha ulikuwepooo 😂😂😂😂
Ila Quran ya kiwaki sana.
Kwa namna Mudy alivyoiset Quran , itasomba wajinga weng sana.
Wazolee
Dumas the terrible
Quran tukufu isiyo na chembe ya shaka inasema
Quran 3 :52
"Isa alipo hisi kuwa kati yao pana ukafiri alisema: Nani wasaidizi wangu kwa Mwenyezi Mungu? Wanafunzi wake wakasema: Sisi ni wasaidizi wa Mwenyezi Mungu. Tumemuamini Mwenyezi Mungu, na shuhudia kwamba sisi hakika ni Waislamu.
Sasa Unabisha ulikuwepooo 😂😂😂😂
Ila Quran ya kiwaki sana.
Kwa namna Mudy alivyoiset Quran , itasomba wajinga weng sana.
Wazolee
Dumas the terrible
Isa na Yesu watu wawili tayari, ingawa wote wa kutengenezwaQuran tukufu isiyo na chembe ya shaka inasema
Quran 3 :52
"Isa alipo hisi kuwa kati yao pana ukafiri alisema: Nani wasaidizi wangu kwa Mwenyezi Mungu? Wanafunzi wake wakasema: Sisi ni wasaidizi wa Mwenyezi Mungu. Tumemuamini Mwenyezi Mungu, na shuhudia kwamba sisi hakika ni Waislamu.
Sasa Unabisha ulikuwepooo 😂😂😂😂
Ila Quran ya kiwaki sana.
Kwa namna Mudy alivyoiset Quran , itasomba wajinga weng sana.
Wazolee
Dumas the terrible
Muddy mzee wakujipakulia minyama😅😅😅😅Alijua baadae mtaulizauliza ndo maana akaweka mistari isiyo na shaka ndani yake. Sahizi ukiuliza kuhusu uislam wa wanafunzi wa Yesu wanakuletea hizo, hutoboi.Quran tukufu isiyo na chembe ya shaka inasema
Quran 3 :52
"Isa alipo hisi kuwa kati yao pana ukafiri alisema: Nani wasaidizi wangu kwa Mwenyezi Mungu? Wanafunzi wake wakasema: Sisi ni wasaidizi wa Mwenyezi Mungu. Tumemuamini Mwenyezi Mungu, na shuhudia kwamba sisi hakika ni Waislamu.
Sasa Unabisha ulikuwepooo 😂😂😂😂
Ila Quran ya kiwaki sana.
Kwa namna Mudy alivyoiset Quran , itasomba wajinga weng sana.
Wazolee
Dumas the terrible
Yesu (Amani iwe juu yake ) na Wanafunzi wake waliomfuata wote walikuwa Waislamu, ukiristo ulibuniwa baada ya yeye kuondoka na watu wakapotosha mafundisho yake na kuweka utatu , Yeye ni Mungu na mengineyoQuran tukufu isiyo na chembe ya shaka inasema
Quran 3 :52
"Isa alipo hisi kuwa kati yao pana ukafiri alisema: Nani wasaidizi wangu kwa Mwenyezi Mungu? Wanafunzi wake wakasema: Sisi ni wasaidizi wa Mwenyezi Mungu. Tumemuamini Mwenyezi Mungu, na shuhudia kwamba sisi hakika ni Waislamu.
Sasa Unabisha ulikuwepooo 😂😂😂😂
Ila Quran ya kiwaki sana.
Kwa namna Mudy alivyoiset Quran , itasomba wajinga weng sana.
Wazolee
Dumas the terrible
Sasa ndiyo uendaji wenyewe uhanikizwe kwa uongo uliopea viwango?Kuna ujinga mwingine sielewi unawasaidia nini. Cha muhimu kwenda mbinguni. Acha upuuzi
Atassaaa 😂😂Dumas the terrible yaan watu wote dunian ni waislam 😂😂😂😂 kobaz akili ndogo sana.
Na wameshupaza shingo kabisa.
Eti wanafunz wa Yesu walisema wao ni waislam.
Na mtu anasoma Quran na anaamini.
Serious 😎😎😎😎
Kama walikua Waislam walishahadiaYesu (Amani iwe juu yake ) na Wanafunzi wake waliomfuata wote walikuwa Waislamu, ukiristo ulibuniwa baada ya yeye kuondoka na watu wakapotosha mafundisho yake na kuweka utatu , Yeye ni Mungu na mengineyo
Ndio walishahadia Shahada ya kwanza ni ya kumkubali Mungu na ya pili na ya kumkubali Mtume aliyeletwa kwao ambaye ni Yesu (Amani iwe juu yake ) sasa watawezaje kutoa shahada ya kumkubali Muhammad (Peace and blessings be upon Him) kuwa Mtume wao wakati alikuwa bado hajaletwa ? Baada ya kuleta Mtume Muhammad na kuja wale wafuasi wa Yesu hapo ndio lazima kumfuata Mtume mpya maana ndio amekuja kuendeleza chain ya Manabii wa Allaah . Baada ya kuja yeye haikubaliki tena Mila yeyote.Kama walikua Waislam walishahadia
Ash-hadu an la ilaha illa Allah, Wa ash-hadu anna Muhammadan Rasulu-Allah.”?
Na kama hawakushahadia wanapataje sifa za kua waislamu Sheikh adriz?
kama kweli isa wa kwenye quruani alikuwa na wanafunzi wataje majina yao alafu utuambia ni quruani ngapi ngapi ...........kwanza isa wa kwenye quruan ukoo hanaQuran tukufu isiyo na chembe ya shaka inasema
Quran 3 :52
"Isa alipo hisi kuwa kati yao pana ukafiri alisema: Nani wasaidizi wangu kwa Mwenyezi Mungu? Wanafunzi wake wakasema: Sisi ni wasaidizi wa Mwenyezi Mungu. Tumemuamini Mwenyezi Mungu, na shuhudia kwamba sisi hakika ni Waislamu.
Sasa Unabisha ulikuwepooo 😂😂😂😂
Ila Quran ya kiwaki sana.
Kwa namna Mudy alivyoiset Quran , itasomba wajinga weng sana.
Wazolee
Dumas the terrible
yesu hayumo ndani ya quruani (isa sio yesu maana aliota meno kipindi alipozaliwa tu na akaongea) na kama yumo mtaje kwa jina lake yaani Bwana Yesu KristoYesu (Amani iwe juu yake ) na Wanafunzi wake waliomfuata wote walikuwa Waislamu, ukiristo ulibuniwa baada ya yeye kuondoka na watu wakapotosha mafundisho yake na kuweka utatu , Yeye ni Mungu na mengineyo
وَإِذۡ قَالَ عِيسَى ٱبۡنُ مَرۡيَمَ يَٰبَنِيٓ إِسۡرَٰٓءِيلَ إِنِّي رَسُولُ ٱللَّهِ إِلَيۡكُم مُّصَدِّقٗا لِّمَا بَيۡنَ يَدَيَّ مِنَ ٱلتَّوۡرَىٰةِ وَمُبَشِّرَۢا بِرَسُولٖ يَأۡتِي مِنۢ بَعۡدِي ٱسۡمُهُۥٓ أَحۡمَدُۖ فَلَمَّا جَآءَهُم بِٱلۡبَيِّنَٰتِ قَالُواْ هَٰذَاKama walikua Waislam walishahadia
Ash-hadu an la ilaha illa Allah, Wa ash-hadu anna Muhammadan Rasulu-Allah.”?
Na kama hawakushahadia wanapataje sifa za kua waislamu Sheikh adriz?
Biblia ya Kingereza nao Jina la Yesu wameandika Yesu ?yesu hayumo ndani ya quruani (isa sio yesu maana aliota meno kipindi alipozaliwa tu na akaongea) na kama yumo mtaje kwa jina lake yaani Bwana Yesu Kristo
isa hana geneology (ukoo) Bwana Yesu anaukoo
isa alizaliwa chini ya mgende wakati Bwana Yesu alizaliwa kwenye zizi la ng'ombe.
alafu katika historia ya manabii wote walikuwa wayahudi
kisha anakuja mu1 nabii wa tende muarabu anapingana nao wote.
andiko la islamic kuwako kabla ya muhamad unalitoa wap?? maana yeye mwenyewe alisema nimeamuliwa niwe wa kwanza miongoni mwa walioamin ( akawa wa kwanza kuslim)