Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,646
- 10,442
- Thread starter
-
- #121
Uislamu ni Dini ya kujisalimisha na kunyenyekea kwa Allah
Njoo na jibu ...muhammad ni muislamu wa kwanza kivipiKila siku mnakuja na swali hili na huwa ninawajibu lakini sidhani mnasoma au akili zenu zimejaa maji machafu hazikamati tena
Kitabu kinachotumika kwa sasa ni Qur’an na baada ya hapo ni Sunnah ya Mtume na Maswahaba na Wanazuoni tu.Sawa.
Mtoto anazaliwa tayar ananyenyekea kwa Allah.?
Mitume ya yote kabla ya mohamed walikuwa wanamjua Allah.?
Ungetoa Ushahid wa vitabu kabla ya mtume kusaport hoja zako.
Aiseh kuliko kuchangia kitu ambacho haukifaham mara 100 ukae kimya aiseh maana utakuja kutafuta wa kukusaidia juu ya maneno uliyoongea hutompataInaonekana uislam ni dhaifu sana.
Yaani uislam unashindwa kujisimamia wenyewe, yaani unatafuta kila namna kujibanza kwenye ukristo ili upate uhalali.
Hivi uislam haukuwahi kuwa na watu wa maana kiimani? Maana uislam unawatafuta wakristo walioonekana kuwa na imani thabiti, na waliobarikiwa na kujawa na Roho wa Mungu, na kujibanza nao, kwa kuwaita ni waislam. Aheti mngekuwa mnajibanza kwa Farao, angalao huyo mnakaribiana naye.
Quran ilikwishasema kuwa waislam ni ndugu wa shetani, ni ndugu wa majini, kwa sababu shetani na majini, wote ni waislam. Sasa mitume na majini, na shetani, lini walikuwa marafiki?
Mliishaambiwa kuwa Mohmad alimsilimisha Shetani na Majini, hao ndio ndugu wa uislam. Msiwachafue mitume wa Kristo Yesu. Hilo jina msilitaje hovyo, mtavuna laana. Hilo wanatakiwa kuliita wale tu wautafutao wokovu na wenye dhamira ya kuyaishi mapenzi ya Mungu.
Mimi si nimekwambia kwenye Umma huu?Njoo na jibu ...muhammad ni muislamu wa kwanza kivipi
Kwani nyinyi si mnasema Yesu na Isa ni tofauti au?
Halafu usitake eti Qur’an iwe na kilichoandikwa kwenye Biblia wakati Qur’an haiifuati Biblia
Umesoma swali au unakurupuka tu ...swali linasema uislamu unadai kila mtu uzaliwa ni muislamu...sasa wakati muhammad ana zaliwa kwenye umma wake kulikuwa na watogo walio zaliwa mbele yake kwa masaa....siku....week na miezi je hso sini waislamu kama ndiyo sasa hoja ya muhammad kuwa muislamu wa kwanza kwrnye umma wake inakuwaje ? Eleweni maswali ?Mimi si nimekwambia kwenye Umma huu?
Kwani aliyeanzisha huu uzi na kutaja habari za Yesu kwenye Qur'an ni nani. Sisi tunasema Yesu na Isa ni tofaut.
Nyinyi waislam ndio mnasema ni mtu mmoja.
Hakumuadithia visa vya wana Israel tu bali za watu wa mataifa mbalimbali. Ni ukweli ulio dhahiri. Jibril alimuhadithia Mtume visa vya wana waisrael. Visa vichache na vyenye maneno yasiyo sawa.
Mifano ni miiing sana. Miiing tu.
Hapo ndio ujue sasa Qur’an haijakopi Biblia maana kuna Mitume wengine kwenye Qur’an ila kwenye Biblia hawapo
Ni mimiKwani aliyeanzisha huu uzi na kutaja
Hakumuadithia visa vya wana Israel tu bali za watu wa mataifa mbalimbali
Yesu hakuwa na wanafunzi 12 pekee kila anayemwamin Yesu n mwanafunzi wake
lbda tuwasemee wale wanafunzi 12 (waitwao Thenashara)....
mathayo aliandika mathayo
yohana aliandika ...yohana injili....waraka wa 1 wa 2 wa3 wa yohana
yakobo aliandika kitabu cha yakobo
petro aliandika kitabu cha petro wa1 wa2
yuda aliandika ..kitabu cha yuda
sema jingne(lbda kama ulitaka wote 11 wawe waandishi)
Naomba nisaidie kunitajia mitume watatu ambao wako kwa Quran na Biblia hawako.
Njoo na jibu ...muhammad ni muislamu wa kwanza kivipi
“Hakika dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu.”
(Qurani 3:19)
“Aliposema Mola wake: Jisalimishe! Akasema: Nimejisalimisha kwa Mola wa walimwengu.”
(2:131)
“Wakasema: Tumemwamini Mwenyezi Mungu; shuhudia kuwa sisi ni Waislamu.”
(10:84)
“Na mashahidi kuwa sisi ni Waislamu.”
(5:111)
“Nimeamrishwa niwe wa kwanza wa Waislamu.”
(6:163)
Hizo biblia zimeandika nini kuwahusu hao unaowasema waliandika vitabu ??
Agano Jipya liliandikwa lini?
Agano Jipya la kwanza lilikuwa na ukubwa gani? (tafuta Google). Mauaji ya Warumi pia yaliangamiza maandiko ya asili.
Kwa hakika halikufikia hata jumla ya kurasa 2, na liliandikwa miaka 100 hadi 200 baada ya Yesu. Huo si muda wa mapema kwa namna yoyote ile. Pia, katika miaka 200 ya kwanza hakukuwa na Injili wala maandishi yoyote, na wao wenyewe wanakiri kwamba bandia nyingi zilikuwa “za kawaida sana.”
Ni vipande vidogo 11 tu vya papayrasi (papyrus) vilivyopatikana, navyo vilipatikana karne nyingi baadaye, na kwa pamoja havifiki hata kurasa 2 kwa jumla. Papayrasi (papyrus) ni gombo (scroll), ambalo kwa ukubwa wake linafanana na ukurasa mmoja wa karatasi ya ukubwa wa barua.
Vipande hivyo 11 vilivyopatikana vinakadiriwa kuandikwa kati ya miaka 100 hadi 300.
Hivyo basi, hata hivyo si maandiko ya asili, bali ni nakala za nakala za nakala za nakala, pamoja na maandishi yaliyotokana na mafundisho ya kanisa yaliyosambazwa kwa njia ya mdomo na kutungwa baadaye.
Kwa vyovyote vile, vipande hivyo 11 vya papayrasi vilivyopatikana havina uzito mkubwa.
Havistahili hata kuonyeshwa au kupewa kiungo cha tovuti (URL). Vinapokusanywa pamoja, havijazi hata kurasa 2.
Papayri P52
Papayri P90
Papayri P104 (only 6.35 cm by 9.5cm in size)
Papayri P98
Papayri P137
“Kipande cha zamani zaidi kilichopo cha Agano Jipya ni Papayrasi P52 ya Maktaba ya Rylands, kipande cha Injili ya Yohana kinachokadiriwa kuandikwa katika nusu ya kwanza ya karne ya 2.”(Dating the Bible - Wikipedia)
“Nakala za kwanza kamili za vitabu binafsi vya Agano Jipya zinaonekana karibu mwaka 200, na nakala kamili ya kwanza ya Agano Jipya lote, Codex Sinaiticus, inatoka katika karne ya 4.”
(Biblical manuscript - Wikipedia and Google Search)
Katika Qurani, “Uislamu” haumaanishi dini mpya iliyoanza karne ya 7, bali inamaanisha kujinyenyekeza kwa Mwenyezi Mungu (Allah) mmoja. Kwa maana hiyo, mitume wote walikuwa Waislamu.
1. Maana ya “Muislamu” katika Qurani
Neno Muislamu linatokana na kitenzi “aslama” = kujisalimisha / kujinyenyekeza kwa Allah.
2. Mitume kabla ya Muhammad walikuwa Waislamu
Qurani inasema wazi kuwa mitume wa zamani walikuwa Waislamu:
- Ibrahim (Abrahamu):
- Musa na wafuasi wake:
- Yesu na wanafunzi wake:
3. Basi Muhammad ni “wa kwanza” kwa maana gani?
Muhammad (ﷺ) si wa kwanza kihistoria, bali ni:
Yaani:
- Wa kwanza katika jamii aliyoletwa nayo Qurani
- Wa kwanza kutekeleza kikamilifu Uislamu ulioteremshwa kwake
- Wa kwanza katika utiifu kamili kwa wahyi wa mwisho
Qurani inasema:
Hii ina maana:
- Wa kwanza miongoni mwa Waarabu wa wakati wake
- Sio wa kwanza kati ya wanadamu wote
4. Mfano rahisi
Kama mwalimu anapoletwa darasani jipya:
- Yeye ndiye wa kwanza kufuata mtaala huo
- Lakini elimu yenyewe ilikuwepo kabla
Vivyo hivyo:
- Uislamu ulikuwepo tangu Adam
- Muhammad (ﷺ) ni mtume wa mwisho, na Muislamu wa kwanza wa umma wake
Kama kawaida yako umeenda kuleta maneno ya wanafalsafa wa Kiislam wanaopinga ukristo.
Mm sijafikia huko. Ila nikifika kwenye kuchimba hakika ntakuwa naleta mada hapa na nitakutag.
Pili. Kabla ya mtume hayo maandishi yalikuwepo.
Na mtume akawaambia kuwa mkubali Injili na torati na mitume wa kwenye vitabu.
Na baadh ya visa vya mitume wa Biblia . Jibril kwa mdomo wake amemuadithia Mohamed na viko kwa Quran.
UislamuUmesoma swali au unakurupuka tu ...swali linasema uislamu unadai kila mtu uzaliwa ni muislamu...sasa wakayi muhammad ana zaliwa kwenye umma wake kulikuwa na watogo walio zaliwa mbele yake kwa masaa....siku....week na miezi je hso sini waislamu kama ndiyo sasa hoja ya muhammad kuwa muislamu wa kwanza kwrnye umma wake inakuwaje ? Eleweni maswali ?
Uislamu ambao kila mtu anazaliwa nao ni wa Fitrah sio wa kisheriaUmesoma swali au unakurupuka tu ...swali linasema uislamu unadai kila mtu uzaliwa ni muislamu...sasa wakayi muhammad ana zaliwa kwenye umma wake kulikuwa na watogo walio zaliwa mbele yake kwa masaa....siku....week na miezi je hso sini waislamu kama ndiyo sasa hoja ya muhammad kuwa muislamu wa kwanza kwrnye umma wake inakuwaje ? Eleweni maswali ?
1.Nabii HudNaomba nisaidie kunitajia mitume watatu ambao wako kwa Quran na Biblia hawako.
- Nabii Hūd (عليه السلام)
Alitumwa kwa watu wa ‘Ād. Anatajwa mara nyingi katika Qurani (mf. Surah Hūd 11:50), lakini hakuna kumbukumbu yake katika Biblia.- Nabii Ṣāliḥ (عليه السلام)
Alitumwa kwa watu wa Thamūd. Kisa chake kinahusisha ngamia wa muujiza (Surah Al-A‘rāf 7:73). Hayupo kabisa katika Biblia.- Nabii Shu‘ayb (عليه السلام)
Alitumwa kwa watu wa Madyan na Aykah. Alipinga udanganyifu katika vipimo na mizani (Surah Hūd 11:84–95). Hatambuliki kama nabii katika Biblia.