Wanafunzi wa Yesu Walikuwa Waislam - Quran

Wanafunzi wa Yesu Walikuwa Waislam - Quran

swali ni moja tu nitajie aya ndani ya quruan inayoorodhesha ukoo wa Yesu......(na sio kuzunguka et Yesu katika quruan ametokea ukoo safi.......ukoo hewa au)

swala la rahabu kuwa mzinzi daudi alikuwa mzinzì na bado islamic mnasema n nabii ibrahim baba wa imani alizini na hajri akazaliwa ishmael(waarabu) suleman mnamuita nabii (alizini na akaoa wake700 na mivhepuko mia3)

lkn biblia huwataja hao wote juu akiwemo rahabu na tamari kama wadhambi waliosamehewa kama ilivyo kwa daudi suleman ibrahim(baba wa imani) na wengne

mwisho acha janja janja quruan 5:76 na 19:29 hakuna orodha ya majina ya ukoo .

Wajibu pia.

Huyo Yesu wanayemuongelea alizaliwa kwenye Zizi la ngombe (biblia) au chini ya mtende (quran).
 
Muhammad alisema wapi kuwa yeye ni mkuu kuliko Mungu
Kujihita mkuu kuliko yesu ndiyo maana yake hiyo tumia akili Yesu ni mfalme mbinguni ndiye bwana wa Ibrahimu bwana wa musa bwana wa mitume na manabii wote ...sasa muarabu anajidai ni mkuu kuliko yesu?
 
Aliyewapoteza ni yule aliyewafundisha kuwa Yesu alikuwa nabii. Kuna mahali popote ambapo Yesu aluwahi kutamka kuwa yeye ni nabii?
Yesu anakuambia kuwa YEYE amepewa mamlaka yote Duniani na mbinguni, toka Baba wa imani Ibrahim, mpaka manabii, kuna yeyote uliwahi kusikia alipewa mamlaka yote Duniani na Mbinguni?

Mathayo 28:18​

Yesu akaja karibu, akawaambia, “Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.

Uliwahi kumsikia nabii yeyote alitesema kuwa kabla Ulimwengu haujaumbwa, yeye alikuwepo?
Yohana 17:5
Na sasa Baba nipe mbele yako ule utukufu niliokuwa nao pamoja na wewe hata kabla dunia haijaumbwa.

Mnadanganywa hata kwenye vitu ambavyo hata kwa akili ya kawaida, unajua kabusa ni uwongo, na ninyi mnaamini! Eti unaambiwa ukifa, unapokelewa na mabikra 72, na wewe unaamini! Mwili umeauacha hapa, hao makira 72 unafanya nao nini!! Yesu alisema hakuna amjuaye Baba wala yaliyo ya mbinguni isipokuwa YEYE aliyetoka kwa BABA, aliyetoka Mbinguni. Yesu amenena wazi kuwa kuwa katika ufalme wa mbingu hakuna kuoa wala kuolewa, kwani nyote mnakuwa kama malaika, halafu unakuja unadanganywa na mtu mmoja mpenda ngono, nawe unakubali tu!

Usidanganyike na uwongo eti kuna mtume wa mwisho. Masiha ni mmoja, alitabiriwa na manabii wote, na baada ya kuja kwa Masiha, yeye ndiye pekee tunatakiwa kuyafuata mafundisho yake. Mafundisho yoyote yaliyo tofauti na ya Kristo, ni ubatili. Kama unataka kuyaishi maagizo ya Mungu, msikilize Kristo katika kila jambo unaloraka kulifanya. YEYE alisema kuwa Mbingu na nchi zitapita lakini maneno yake hayatabadilika kamwe.
Vizuri umempasha mvaa makobazi
 
Sasa ndio ulitakiwa unukuu kwa usahihi, unakuwa muongo mpaka kwenye kunukuu.

Nukuu unasema kila anae zaliwa ni muislamu yaani anazaliwa katika umbile la kiislamu, bali wazazi wao ndio huwafanya wawe wakristo au wamajusi.

Wewe unaonekana muongo muongo na huna unalolijua katika Uislamu.

Umepanick brother.😎😎😎
Ww ndio ulikuwa hujui na ndio maana ukauliza lile swali.

Hebu nione kama unajua uislam kwa kujibu haya maswal madogo.

- Maana ya Uislam ni nini?.

- linganisha jibu la juu alaf utuambie Inakuwaje mtoto anazaliwa tayar Muislam?
 
ii umeitoa katika andiko gan katika quruan?? ni nani aliyeslimu kbla ya muhamad ebu mtaje taja na aya katika quruan inayosema ilo.
مَا كَانَ إِبْرَاهِيمُ يَهُودِيًّا وَلَا نَصْرَانِيًّا وَلَـٰكِن كَانَ حَنِيفًا مُّسْلِمًا وَمَا كَانَ مِنَ الْمُشْرِكِينَ ﴿٦٧
67. Ibraahiym hakuwa Yahudi wala Naswara, lakini alikuwa mwenye kujiengua na upotofu akaelemea Dini ya haki, Muislamu na hakuwa miongoni mwa washirikina.
 
Kujihita mkuu kuliko yesu ndiyo maana yake hiyo tumia akili Yesu ni mfalme mbinguni ndiye bwana wa Ibrahimu bwana wa musa bwana wa mitume na manabii wote ...sasa muarabu anajidai ni mkuu kuliko yesu?
Umetumia nini kusema Yesu ni bwana wa mabwana sijui bwana wa Mitume wote?
 
Sasa ndio ulitakiwa unukuu kwa usahihi, unakuwa muongo mpaka kwenye kunukuu.

Nukuu unasema kila anae zaliwa ni muislamu yaani anazaliwa katika umbile la kiislamu, bali wazazi wao ndio huwafanya wawe wakristo au wamajusi.

Wewe unaonekana muongo muongo na huna unalolijua katika Uislamu.
Umbile la kiislamu ndiyo gani ilo😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁...kama kika mtu uzaliwa muislamu...vipi mnadai muhammad ni muislamu wa kwanza katika umma wake ? Je wakati muhammad anazaliwa hakukuwa na watoto walio zaliwa mbele yake kwa masaa....siku....miezi...je hak siyo waislamu...nataka jibu sahihi.
 
Huna akili wewe, tuwekee ushahidi hapa.

Type ushahidi hapa ya kuwa walikuwa Wayahudi kwa dini.

Usikimbie maana ww una akili.

Yesu alizaliwa kwa familia ya Kiyahudi, kwenye jamii ya Wayahudi na wanaofuata dini ya kiyahudi.

Wanafunzi wake walifundishwa Torah na desturi za Kiyahudi,(dini) hivyo walielewa:
-Sheria za Musa
-Maandiko ya Kiyahudi (Tanakh),
-Utamaduni wa kidini(kutahiri)
-Majina ya wanafunz wote aliowachagua ni ya kiyahudi.
-Sehem aliyowachagua walikuwa wanakaa wayahudi.
-Walikuwa wanajua torat ya Mussa Ndio maana kuna siku wanafunzi walimsihi asiponye mtu siku ya sabato.

Pengine hujui kuwa Uyahudi ni Dini kabla ya Ukristo na iko Hadi leo.
 
Kwenye passage uliyo quote kutoka kwenye Biblia,Mungu anajitambulisha kwamba yeye ni El Shadai. El Shadai ni Allah?
@Lwiva

View attachment 3527222

  • Also from Targum Jonathan on Genesis 17:1 with Lexicon (sefaria.org), among the meanings of Shelim:

    3.5: To surrender, hand over, entrust.

    Indeed, Islam is to surrender yourself, and to hand over yourself, and to entrust yourself to Allah Almighty.

    More on Hebrew shelim "שלם":
    According to Hebrew and Chaldee lexicon to the Old Testament Scriptures translated page 830
    (3) cherishing peace and friendship (see the root in Pual, Hiphil, Hophal). Gen. 34:21, Ὁ i3AN Di " they live peaceably with us;" specially M7} DY "Y devoted to God, at peace with him, 1 Ki. 8:61; 11:4; 15:3, 14; and without these words, 2 Kings 20:3; 1Ch. 28:9; 2 (ἢ. 15:17. Compare
    Sve iiiphil No.2; (also سلم devoted to God and to Ma-
    homet, one who professes the islamic religion.) (4) [Salem, Shalem], pr. n.i.q
 
مَا كَانَ إِبْرَاهِيمُ يَهُودِيًّا وَلَا نَصْرَانِيًّا وَلَـٰكِن كَانَ حَنِيفًا مُّسْلِمًا وَمَا كَانَ مِنَ الْمُشْرِكِينَ ﴿٦٧
67. Ibraahiym hakuwa Yahudi wala Naswara, lakini alikuwa mwenye kujiengua na upotofu akaelemea Dini ya haki, Muislamu na hakuwa miongoni mwa washirikina.

Hii nayo Jibril alimshushia Mtume?.
Kwamba watu walikuwa hawamjui Ibrahim?. Hadith za Ibrahim hazikuwepo had pale Jibril amuelekeze kuwa hapo zaman kulikuwa ABC?.

Tuachane na hilo.
  • Uislam ni nini?
  • jibu lihusishe na je dini zozote zinazoabudu Mungu mmoja ambazo sio Waislam . Je ni waislam?.

NB uweke akilini Allah na islam ni majina la kiarabu.
 
ibrahim wa kwenye quruani hajawahi kuwepo wala kuishi

sababu ya 1 hana ukoo ....... ...(. ni wa kukopi na kupesti kutoka kwenye bible)

tofauti na kwenye torati ambapo ukoo wa ibrahim unarud kutoka kwa tera babaye ibrahim mpaka kwa adamu
 
Uislamu ni Dini ya kujisalimisha na kunyenyekea kwa Allah
 
ibrahim wa kwenye quruani hajawahi kuwepo wala kuishi

sababu ya 1 hana ukoo ....... ...(. ni wa kukopi na kupesti kutoka kwenye bible)

tofauti na kwenye torati ambapo ukoo wa ibrahim unarud kutoka kwa tera babaye ibrahim mpaka kwa adamu
Sawa ila ushahidi uliotaka ndo huo nimekupa si ulitaka ushahidi wa Qur'an
 
مَا كَانَ إِبْرَاهِيمُ يَهُودِيًّا وَلَا نَصْرَانِيًّا وَلَـٰكِن كَانَ حَنِيفًا مُّسْلِمًا وَمَا كَانَ مِنَ الْمُشْرِكِينَ ﴿٦٧
67. Ibraahiym hakuwa Yahudi wala Naswara, lakini alikuwa mwenye kujiengua na upotofu akaelemea Dini ya haki, Muislamu na hakuwa miongoni mwa washirikina.

Watu wa vitabu walikuwepo.
Hadith za watu wa vitabu ni zile zile had leo.

Ikawaje Jibril akamuhadithia Mohamed hadith chache na kuacha nyingne?.

Kuna maneno mengne mitume wa Kwenye Biblia hawajaongea wala hayapo kwa biblia ila maneno yako kwa Quran.

Au ni maneno waliongea na Jibril wakiwa peponi?.
 
Umbile la kiislamu ndiyo gani ilo😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁...kama kika mtu uzaliwa muislamu...vipi mnadai muhammad ni muislamu wa kwanza katika umma wake ? Je wakati muhammad anazaliwa hakukuwa na watoto walio zaliwa mbele yake kwa masaa....siku....miezi...je hak siyo waislamu...nataka jibu sahihi.
Kila siku mnakuja na swali hili na huwa ninawajibu lakini sidhani mnasoma au akili zenu zimejaa maji machafu hazikamati tena
 
Sawa ila ushahidi uliotaka ndo huo nimekupa si ulitaka ushahidi wa Qur'an

Hayo maneno ni Ibrahim aliongea na Jibril akiwa Peponi?.

Mbona kwenye Biblia hayako.

Wakat story za watu wa kitabu (wayahudi) inatoka kwa watu wa kitabu na sio kwingineko tena baada ya miaka 600.

Jibril ndio alisema Yesu alizaliwa chini ya mtende?.

Wakat wenye Yesu wenyewe wanasema alizaliwa zizini kwa ngombe.

Tuamini lipi?
 
Watu wa vitabu walikuwepo.
Hadith za watu wa vitabu ni zile zile had leo.

Ikawaje Jibril akamuhadithia Mohamed hadith chache na kuacha nyingne?.

Kuna maneno mengne mitume wa Kwenye Biblia hawajaongea wala hayapo kwa biblia ila maneno yako kwa Quran.

Au ni maneno waliongea na Jibril wakiwa peponi?.
Hapo ndio ujue sasa Qur’an haijakopi Biblia maana kuna Mitume wengine kwenye Qur’an ila kwenye Biblia hawapo
 
Hayo maneno ni Ibrahim aliongea na Jibril akiwa Peponi?.

Mbona kwenye Biblia hayako.

Wakat story za watu wa kitabu (wayahudi) inatoka kwa watu wa kitabu na sio kwingineko tena baada ya miaka 600.

Jibril ndio alisema Yesu alizaliwa chini ya mtende?.

Wakat wenye Yesu wenyewe wanasema alizaliwa zizini kwa ngombe.

Tuamini lipi?
Kwani nyinyi si mnasema Yesu na Isa ni tofauti au?
Halafu usitake eti Qur’an iwe na kilichoandikwa kwenye Biblia wakati Qur’an haiifuati Biblia
 
Back
Top Bottom