Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,442
- 10,464
Muhimu no hilo tendo la kunyenyekea na wala sio hilo neno maana kabla ya Muhammad enzi za Manabii wa Israel si kiarabu kilikuwa hakitumiki lakini waumini bado walikuwepoNimekuelewa. Na umejibu kiungwana. Na mm ntakuhoji hivyo hivyo.
Kunyenyekea kwa Mungu mmoja ndio unaitwa Uislamu.
Na Uislam ni neno la Kiarabu.
Je Kama kukiwa na neno la kiebrania lenye maana ya kunyenyekea na kujisalimisha kwq Mungu mmoja . Ni sawa tukuwaita watu hao pamoja na waarabu wote kwa jina hilo?.
Jina hilo la kiebrania?