Frank I Ritte
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 1,003
- 1,350
Hakuna familia ya baba na mama isiyopenda watoto wao wasome, tatizo ni ugumu wa maisha unaosababishwa na kipato duni cha baadhi ya familia maskini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huku Lindi kuna kijiji zilikuja fursa za kujiunga jeshi la polisi na alieleta nafasi alihitaji wahitimu wa form 4,kijij kizima kilikosa mtu mwenye sifa hio... hapo ni Lemara CBD ya Jiji la Arusha, the Geneva of Africa. Kule Nakapanya au kijiji cha Mpigamiti - Lindi hali ikoje?
Baadhi ya wanafunzi wanaosoma Shule za serikali za kata wameshindwa kuendelea na masomo na kuacha shule kutokana na kile kinachodaiwa kuwa ni utitiri wa michango mashuleni,.
Moja ya shule kati ya nyingi zilizopo jijini Arusha ni sekondari ya Lemara iliyopo katika Kata ya Lemara kwenye halmashauri ya jiji la Arusha ambazo wanafunzi wameacha masomo Na kukimbilia miji mingine kama Dar es Salaam kwenda kufanya kazi za ndani na baadhi ya vijana kukimbilia kwenye machimbo ya Madini na kwenye vibarua vya ujenzi.
Michango inayodaiwa katika shule hizo ni pamoja na pesa ya Taaluma (20,000) kwa kila mwanafunzi,
Pesa ya chakula (15,000)kila mwezi
Rim paper mbili kwa mwaka kila. Muhula rim paper moja.
Hela ya Ulinzi.
Hela ya Remidial classes kiasi cha shilingi (500)kila siku jioni na ni lazima kwa kila mwanafunzi baada ya masomo kusoma Masomo ya jioni.
Pesa ya mtihani kila jumamosi kiasi cha shilingi( 1000)na (1500) nk.
Kutokana na utitiri wa michango na uwezo Mdogo wa wazazi wengi hushindwa Kumudu gharama hizo.
Huko wilayani Babati katika mkoa wa Manyara baadhi ya shule za kata zimekuwa zikiwaweka wazazi ndani kwa kile kinachodaiwa kushindwa kulipia watoto wao michango mashuleni.
Baadhi ya shule zinazotuhumiwa Kuwaweka ndani wazazi ni shule ya sekondari Burunge na shule ya sekondari kaiti iliyopo katika Kata ya kaiti.
Tupo kotekote alimradi jua linatoka na kuzama ebwana ndio.Tunaenda mbele, tunarudi nyuma!
Mkuu ondoa shaka mimi mwenyewe CCM na kadi ipo tena ya electronic ila kwenye kusifu tunasifu na kukosoa lazimaSipendi malumbano na watu na kuhusu ilo jina umesema wewe mi sikutaja mtu, mi mwenyewe ccm na kadi ninayo ndani, kwani maana yake Nini unaupiga mwingi ?
[emoji2089][emoji2089][emoji2089]Hao wote ni zero tu, mwenye akili za darasani hawezi kuondoka kwenda kufanya kazi za ndani, ni Bora wakimbie mapema wakaanze maisha mapema.
hakuna cha elimu bureNdio maana dar Kuna vitoto vidogovidogo ni vi beki tatu Hadi unashangaa unasema huyu Si mtoto kabisa unakuta anaenda sokoni,mara kapeleka mtoto shule ,mara anaosha vyombo duhhh balaa ELIMU Bure bado.changamoto
Mi ilinifikilisha kweli, ukiangalia umri na majibizano ya kukera watu, sio Wala Nini, kitu ni kutumia busara.Hata usithubutu kuuliza ndugu yangu maana hakuna kitu kilicho hatari duniani kama mtu mpumbavu na imani yake. Mpumbavu akiamini lake hata umwambie nini hawezi kubadilika na cha zaidi huwa wanaishia kutukana.
Wakumkimboa masikini ni masikini mwenyewe. Tatizo wakipewa tishert na komoni wanasahau shida acha watu wajipigie wanavyotaka.Hawajali watoto wa watu wengine. Wanatengeneza tabaka la kitumwa bila elimu.