Wanafunzi waacha shule na kwenda kufanya kazi za ndani kutokana na michango kuwa mingi mashuleni

Hakuna familia ya baba na mama isiyopenda watoto wao wasome, tatizo ni ugumu wa maisha unaosababishwa na kipato duni cha baadhi ya familia maskini.
 
 

Attachments

  • 33D4F8C8-4041-4691-903A-BDA9A92791E7.jpeg
    34.6 KB · Views: 2
Michango imerudi kwa kasi sana katika shule za msingi na sekondari pia, ikiwemo pesa ya taaluma, ulinzi, masomo ya jioni, mitihani ya jumamosi, rimu n.k.. Sasa ningependa kuuliza elimu bure inakuwaje? kama wanafunzi wanatozwa pesa kubwa tena zaidi ya miaka hiyo ilipokuwepo ada.
USHAURI: KAMA SUALA LA ELIMU BURE LIMESHINDWA KUTEKELEZWA KWA VITENDO, NI BORA ADA YA TSH 20,000/= IKARUDISHWA.
 
Ndugu mwandishi:
Yani mwanafunzi anaacha shule kisa michango? Alafu eti anaenda kufanya kazi za ndani?
Mwanafunzi anawezaje kuamua jambo kubwa namna hii la kuacha shule na kuamua kwenda kufanya kazi?
 
Sipendi malumbano na watu na kuhusu ilo jina umesema wewe mi sikutaja mtu, mi mwenyewe ccm na kadi ninayo ndani, kwani maana yake Nini unaupiga mwingi ?
Mkuu ondoa shaka mimi mwenyewe CCM na kadi ipo tena ya electronic ila kwenye kusifu tunasifu na kukosoa lazima
 
Ukiwauliza wanakujibu unaijua v8 wewee....
 
Ndio maana dar Kuna vitoto vidogovidogo ni vi beki tatu Hadi unashangaa unasema huyu Si mtoto kabisa unakuta anaenda sokoni,mara kapeleka mtoto shule ,mara anaosha vyombo duhhh balaa ELIMU Bure bado.changamoto
hakuna cha elimu bure
 
Acheni waje mtaani na sisi wanyonge tupate k zinazo bana
 
Hata usithubutu kuuliza ndugu yangu maana hakuna kitu kilicho hatari duniani kama mtu mpumbavu na imani yake. Mpumbavu akiamini lake hata umwambie nini hawezi kubadilika na cha zaidi huwa wanaishia kutukana.
Mi ilinifikilisha kweli, ukiangalia umri na majibizano ya kukera watu, sio Wala Nini, kitu ni kutumia busara.
 
Hawajali watoto wa watu wengine. Wanatengeneza tabaka la kitumwa bila elimu.
Wakumkimboa masikini ni masikini mwenyewe. Tatizo wakipewa tishert na komoni wanasahau shida acha watu wajipigie wanavyotaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…