Wanafunzi wachoma moto pikipiki ya mwalimu, wafyeka shamba kisa adhabu ya kukutwa na simu shuleni

QPamoja na Usnitch wake lkn Mchango wake kwako kukubalika na jamii ni mkubwa,asingekuwa snitch inawezekana leo hii ungekuwa mtu wa hovyo sana.
Hapana alikua mtu wa hovyo sana kawafanya watu wameishi maisha ya tabu sana na alikua anafanya vitu kukomoa.
 
Sina mda aseeh!!yaani km mzazi wako hakusimamii,Mimi ni nani?!!!Wa kwangu ntakomaa na deal na watoto wanaojielewa ukiwa bogus ntaenda na wewe kibogus!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] binamu umetisha sanaa.
 
Hiyo ya Aya ya mwisho umemaliza kila kitu. Ubarikiwe sana.
 
Naam. 🙏🙏 Tuko pamoja bro. Vijana wasipojengwa sasa, tutakuja kujikuta hatukuwatendea haki na tulizembea katika "Samaki mkunje akingali mbichi"
 
Hivi kwa akili zako unadhan wewe ndiye unaye ijua technology vizuri zaid sio?

Kwanza kwa mtiririko wa wa uandishi unaonesha kabisa hizo simu uneanza kutumia juzi tu hivyo una ulimbukeni

Lakin kingine naona hadi sasa hujui mjadala hasa wa hapa ninini? Sasa kuendele na wewe ni kupoteza mda wangu.
 
Nimesoma nimeelewa halafu kingine acha ushamba wa kumuatack mtu personal jadili hoja Kwa hoja sio viroja unaonekana ni mtu mzima ila ni wale dizain ya corrupted brain
Kwa akili kama zako acha CCM waendelee kutawala tu maana akili zako hazitaki changes umekaria marufuku za kikoloni wakati Leo tupo digital world
Kalagha bhaho!
 
Mwenge Secondary kuna O Level? Huyo mwanafunzi aliyeadhibiwa n wa kidato cha 6.

Ila walimu wengine waache unoko na ukuda, japo sitetei kitendo kilichofanywa na wanafunzi hao. Msieeew
We ni mjinga
 
Sasa ujaribu tena tukupe dudu ya makalio. Katongoze wakubwa wenzio sio mnadanganya watoto wasio na akili ya ukomavu
Unakazaa utadhani hujawahi kula watoto wa watu enzi za ujana wako

Muhoshwa huoshwa baba mkwe
 
Hamna kitu yeye ni kutafuta makosa kwa Wanafunzi kila siku.
Duh!!!,Wee jamaa, Mbona huyo ndio Mwalimu mzuri kwasababu anarekebisha tabia za Wanafunzi.Kawaida ya Mwalimu mzuri huwa hapendwi na Wanafunzi.
 
Shule za Serikali ndio maana mitoto hufeli
Ikiwemo hiyo Iyunga Tech

Jirani tu hapo kuna shule ya watoto wa matajiri toka nchi nzima ya St Francis ambako wazazi wanao uwezo hata wa kununulia watoto wao simu ya milioni lakini hawawapi na simu shuleni marufuku hawaruhusiwi kuwa nazo na wanatii lakini shule ya wanafunzi maskini mtoto anakomaa awe na ki Nokia torch chake mwalimu akikataza anamwita mnoko!!! Na kuchoma Mali na kuharibu?

Njoo matokeo sasa St Francis darasa zima Division one Iyunga Tech aibu hata kuandika matokeo

Maskini akipata matako hulia mbwata.Kwa hiyo kuwa na hicho kisimu Nokia torch ndio mwajiona wa maana na kuona mwalimu anayekataza hopeless hadi kuchoma na kuharibi Mali. Za mwalimu au shule? Maskini na watoto wao wana safari ndefu.Ushauri wangu maximum kama unampenda mtoto jitahidi umpeleke shule za private strict hizo za umma kama Iyunga zenye mitoto isiyojitambua waachie

Naipongeza Serikali kujenga madaraka mazuri lakini aina ya wanafunzi wanaowajengea hayo madarasa kama wanafunzi ni kama huyu au hao wa Iyunga Tech wachoma ofisi nk kisa simu kazi bado mbichi madarasa.mazuri wanafunzi wabaya
 
Duh!!!,Wee jamaa, Mbona huyo ndio Mwalimu mzuri kwasababu anarekebisha tabia za Wanafunzi.Kawaida ya Mwalimu mzuri huwa hapendwi na Wanafunzi.
Msimtetee hamumjui na sio kurekebisha yeye alikua anakuharibia hakuna msamaha wala kukosea kwa bahati mbaya ukiingia kwenye 18 zake imekula kwako.
 
Mwenge Secondary kuna O Level? Huyo mwanafunzi aliyeadhibiwa n wa kidato cha 6.

Ila walimu wengine waache unoko na ukuda, japo sitetei kitendo kilichofanywa na wanafunzi hao. Msieeew
Kwa ulivyoandika unaonyesha unapendelea wanafunzi wamiliki siku mashuleni,wazitumie kadri ya akili zao zitakavyowatuma.Una maono mazuri sana,hongera.
 
Ndugu sio kila kitu ni Cha kuruhusu kisa teknologjia, utamadun Wetu Bado haujafikia wa wenzetu, mwanfunzi amiliki simu hiki kizazi Cha kuvunja ungo na balehe utegemee wasome.. Leo hio kuna watu wanafanya Kazi na hawaruhusiwi kubaki na simu zao kazini wanachukua jion wakitoka,, Kama kuna dharura inatumika simu ya ofisi... Je Kwa mtoto je?? Acha copy and paste
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…