Wanafunzi wachoma moto pikipiki ya mwalimu, wafyeka shamba kisa adhabu ya kukutwa na simu shuleni

hao ni majambazi, ni kufukuza wotee, ndio maana shule za private hasa za kanisa kuna nidhamu, yani askofu akisema futa wote imeisha
 
Heheh pamoja sikubaliani na utovu wa nidhamu Ila Hawa vijana ndio wa enzi zetu. Mwalimu akitaka kutoa adhabu alikuwa anajikagua mara mbili mbili maana anajua tukitoroka na tikakutana nae mtaani ajue ameumia.

Waliacha hadi kutufundisha eti tumekuwa watukutu na tukapasua almost wote wa mwisho alikuwa na 2.12 A level huyo ndio failure.

Ila Sasa tumeshakuwa watu wazima lakini mie Kama ni mwanangu hapo najua nimezaa dume sio Hawa wavaa kata K anakuja kuoa anapigwa makofi na mwanamke na anashangilia tu.
Kaka mstari wa mwisho ni mwanangu uyo najiona alivyofata nyayoo!
 
Walimu huwa wanaviherehere sana,

Hiz nguvu za kupambana na wanafunz huwa mnazipata wap wakat mishahara midogo,marupurupu hakuna,madaraja hampandi

Pambaneni na maisha yenu,

Dunia ya sasa sio ya kukomalia mtu asiwe na simu

Ningewaelewa kama mngesema mwanafunz asiingie nayo kwenye chumba cha mtihani

Pambaneni na maisha yenu
Ahsante kutuchamba kaka!
 
wewe pia inaonekana ni mjinga sana Tena inawezekana ni wale first class,unadhani hizo simu nazozungumzia Mimi ni vitoch vya kuchatia?
Hapa nazungumzia simu zenye devices za internet Ili kuwezesha masomo kiurahisi tatizo lako una fikra za kizamani sana,
Ninao mfano hai wa mdogo Wangu aliyepo mkoani
Yupo kidato Cha 4 now na alianza kumipiki simu yupo kidato Cha pili
Dogo alikua slow Kwenye masomo yake mpaka Kuna muda alitaka aache shule ila alivyojua kutumia smart phone alianza kujifunza vitu vingi vya faida Kwenye masomo kitu kilicho mfanya awe updated sana na Dunia
Hua anakili kabisa Bila simu Kwa nature ya shule za kata zilivyo asingetoboa
Hata Mimi Kuna muda hua najilaumu Kwanini nilikua nyuma ya wakati endepo ningeanza kumiliki device Yenye internet kipindi nasoma ingenisaidia sana
Maana baada ya kuhitimu kidato Cha nne ndani ya miezi michache niliyokua kitaa na simu janja nilijifunza mambo makubwa na chanya ndani ya muda mfupi sana ambayo hata Wewe najua huyajui na huo ukubwa wako!

Grow up dude Dunia ipo Kwenye mabadiliko wewe endelea kutetea ujinga!

Hovyo kabisa halafu Ndio fikra kama zako zisaidie kuifikia Tanzania ya maendeleo ya science na Teknolojia Kwa Akili kama hizo thubutu

Endelea na Marufuku Kwa Kila kitu Cha faida wakati wenzenu wapo hatua mia Moja mbele Yenu!
Shwain!
Dah! Umekasirika kweli kweli. Pole sana mkuu. Kwa umri wako wa sasa na mapito uliyopitia umeweza kujua matumizi sahihi na manufaa ya smart phones.
Je, hao madogo waliopo shuleni wanalijua na kulithamini hilo?
Ni ukweli usiopingika kwamba Watu wanalalamika kushuka kwa viwango vya Elimu hapa Tz. Je, kiwango cha elimu kitaachaje kushuka kama Mwl. alisoma na akafaulu kwa ku-Google? Tutapataje Wataalam mahiri na makini kama mtaalam aliyepo bila compyuta hakuna kitakachofanyika? Tumekuwa watumwa wa mashine! Akili zimedumazwa. Ni kweli na ni sahihi kabisa kuwa na nyezo nzuri na za kisasa za kufanyia kazi. Lakini inapendeza zaidi kwa yule mwenye kutumia nyenzo hizo afahamu chimbuko la nyenzo hizo na jinsi zinavyofanya kazi. Kwa mantiki hiyo, mwanafunzi wa Sekondari inafaa akomazwe akili sio kulemazwa akili. Hebu fikiria ni Aibu ya aina gani mtu amemaliza Chuo kikuu lakini hawezi kugawanya au kuzidisha vihesabu vidogo-vidogo ni mpaka afungue simu atafute Calculator. Shame!
Anaitwa kwenye usaili lakini kwanza mpaka apate Desa/ Jet/ Simbi etc.
Akiwa ameajiriwa kama Mtaalam mahali na kutakiwa aandike hata Report ya Kazi aliyofanya utashangaa (yaani Graduates i.e Degree, Diploma,Certificate holders) huku maofisini inasikitisha kuona hata Taarifa ya Safari ni shida mpaka unajiuliza hivi huyu kweli ni ....... ....? Lakini ana Smart phone na Ear phones - ku-chat, miziki, picha/movie, Games n.k. Sisi huku tunawaitaga vijana wa "Dot com"
Ni sawa wamebadilika au wanabadilika na kweli tunaona mabadiliko. Je, hayo ni mabadiliko yenye Tija? au Waangamia kwa kukosa Maarifa? Kama ww una kijana utakuwa unalifahamu tatizo lililopo.
 
Ila haya mambo ya simu kwa Wanafunzi serikali inabidi waangalie tena sababu za kuwakataza simu wanafunzi. Things have changed.... waweke utaratibu rasmi tu wa matumizi ya simu hasa katika shule za boarding kwa A-level.

Mwaka 2012 tulishawahi fanya kama hao wanafunzi ilikua Iyunga Tech Mbeya ofisi ya Mwalimu wa Nidhamu tuliijaza maji na nyumba yake ikapigwa mawe usiku kucha. Kisa ilikua issue hii hii ya simu.

Ila yule Mwalimu alikua Snitch sana.
Walimu wengi ni masnitch sana na hawafai hata. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna walimu wanokooo!!!acha wapigwe
Tena mnoo wanaacha majukumu yao ya msingi kutwa kuwabananga wanafunzi, acha wafunzwe na wao adabu kidogo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi huyu sina mda na mtoto wa mtu,feli at ur own risk!!!
Ndo inavotakiwa binamu yaan, kijana wa A level anajua kila kitu kuhusu future yake, baadhi ya Walimu waache ufunyuku na kihere here. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Je, ww ni mmoja wa wale wenye Mentality hiyo? Kama ni ndiyo basi ujiandae kukubaliana na Matokeo.
Vyovyote vile iwavyo, ila ukweli ni kwamba mwanafunzi wa Advance anajua future yake ya mbele, kuhusu matumizi ya cm hii inahitaji marekebisho mapya.
 
Dah! Umekasirika kweli kweli. Pole sana mkuu. Kwa umri wako wa sasa na mapito uliyopitia umeweza kujua matumizi sahihi na manufaa ya smart phones.
Je, hao madogo waliopo shuleni wanalijua na kulithamini hilo?
Ni ukweli usiopingika kwamba Watu wanalalamika kushuka kwa viwango vya Elimu hapa Tz. Je, kiwango cha elimu kitaachaje kushuka kama Mwl. alisoma na akafaulu kwa ku-Google? Tutapataje Wataalam mahiri na makini kama mtaalam aliyepo bila compyuta hakuna kitakachofanyika? Tumekuwa watumwa wa mashine! Akili zimedumazwa. Ni kweli na ni sahihi kabisa kuwa na nyezo nzuri na za kisasa za kufanyia kazi. Lakini inapendeza zaidi kwa yule mwenye kutumia nyenzo hizo afahamu chimbuko la nyenzo hizo na jinsi zinavyofanya kazi. Kwa mantiki hiyo, mwanafunzi wa Sekondari inafaa akomazwe akili sio kulemazwa akili. Hebu fikiria ni Aibu ya aina gani mtu amemaliza Chuo kikuu lakini hawezi kugawanya au kuzidisha vihesabu vidogo-vidogo ni mpaka afungue simu atafute Calculator. Shame!
Anaitwa kwenye usaili lakini kwanza mpaka apate Desa/ Jet/ Simbi etc.
Akiwa ameajiriwa kama Mtaalam mahali na kutakiwa aandike hata Report ya Kazi aliyofanya utashangaa (yaani Graduates i.e Degree, Diploma,Certificate holders) huku maofisini inasikitisha kuona hata Taarifa ya Safari ni shida mpaka unajiuliza hivi huyu kweli ni ....... ....? Lakini ana Smart phone na Ear phones - ku-chat, miziki, picha/movie, Games n.k. Sisi huku tunawaitaga vijana wa "Dot com"
Ni sawa wamebadilika au wanabadilika na kweli tunaona mabadiliko. Je, hayo ni mabadiliko yenye Tija? au Waangamia kwa kukosa Maarifa? Kama ww una kijana utakuwa unalifahamu tatizo lililopo.
Mkuu tatizo Mifumo ya Elimu tuliyonayo tunashindwa kuiapdate iendane na mazingira halisia ya kizazi hiki,
Mimi naamini katika changes endepo jitihada zinafanyika tukabadilisha fikra za Jamii mfano chukulia kukiwa na access ya internet na IT mashuleni mfano mwalimu wa Hisabati anavyofundisha kukawa na recording process,
Kama Kuna mwanafunzi ni slow learner itamsaidia akiwa na device itakayomsaidia kufanya reviews pale Kwenye mkanganyiko pia itamuwezesha kwenda deep kusaka material Ili kujazia
Natolea mfano wa dogo niliyemsemea mwaka Jana nilipokua home niliona dogo anaingia Kwenye brog za Elimu kusaka material na notes na akanambia shuleni kwetu mateacher kabla hajaanza mada hua anatupa next topic tukaitafutie hints Ili anapokuja Kuanza kufundisha Kila ajue ni Nini anacho maanisha
Na dogo nilimuona Muda mwingi anakusanya vijana wenzie wasio na Simu na kudiscuss na inawasaidia Sana

Hivyo hapa nimewasilisha kitu ambacho na experience nacho na Ndio maana natamani Mifumo ibadilishwe!
 
Ndo inavotakiwa binamu yaan, kijana wa A level anajua kila kitu kuhusu future yake, baadhi ya Walimu waache ufunyuku na kihere here. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sina mda aseeh!!yaani km mzazi wako hakusimamii,Mimi ni nani?!!!Wa kwangu ntakomaa na deal na watoto wanaojielewa ukiwa bogus ntaenda na wewe kibogus!
 
Vyovyote vile iwavyo, ila ukweli ni kwamba mwanafunzi wa Advance anajua future yake ya mbele, kuhusu matumizi ya cm hii inahitaji marekebisho mapya.
Vijana wenyewe hawa? Kama amekwenda moja kwa moja na aliingia shuleni akiwa na umri wa 7yrs sana sana atakuwa age ya 15yrs. Umri huo, na kwa malezi ya siku hizi, sina uhakika kweli kama anajua future yake. Mbona ndo wengi wa hawa tunaowaona mitaani suruale kavaa/kaninginiza, majigambo mengi, kazi za suluba/zinazohitaji kutumia akili na nguvu hawazitaki? Kumbuka kwa Umri huo hawezi kushitakiwa(Labda mazingira maalum),hawezi kuajiriwa kwenye Institution yoyote. Labda U-house boy! Ana future gani aijuaye huyo? Anakula ugali wa shikamoo maisha yanaendelea.
Nakubaliana nawe 100% matumizi ya cm inahitaji marekebisho mapya. Yaani labda cm zao zizuiliwe wasiwe na Other uses - mfano wake ni kama Tz. ilivyozuia porn websites kwa Jamii juzi-kati hapa. Kwa maana kwamba mwanafunzi hawezi kutumia cm yake tofauti na shughuli za kitaaluma tu.
 
Hukuna sababu yoyote ya maana inayotolewa na wasiotaka wanafunzi wa sekondari kuwa na simu shuleni, ni mawazo ya kijima tu ya wafahidhina wasiopenda mabadiliko na wanaoogopa utandawazi.
wewe pia inaonekana ni mjinga sana Tena inawezekana ni wale first class,unadhani hizo simu nazozungumzia Mimi ni vitoch vya kuchatia?
Hapa nazungumzia simu zenye devices za internet Ili kuwezesha masomo kiurahisi tatizo lako una fikra za kizamani sana,
Ninao mfano hai wa mdogo Wangu aliyepo mkoani
Yupo kidato Cha 4 now na alianza kumipiki simu yupo kidato Cha pili
Dogo alikua slow Kwenye masomo yake mpaka Kuna muda alitaka aache shule ila alivyojua kutumia smart phone alianza kujifunza vitu vingi vya faida Kwenye masomo kitu kilicho mfanya awe updated sana na Dunia
Hua anakili kabisa Bila simu Kwa nature ya shule za kata zilivyo asingetoboa
Hata Mimi Kuna muda hua najilaumu Kwanini nilikua nyuma ya wakati endepo ningeanza kumiliki device Yenye internet kipindi nasoma ingenisaidia sana
Maana baada ya kuhitimu kidato Cha nne ndani ya miezi michache niliyokua kitaa na simu janja nilijifunza mambo makubwa na chanya ndani ya muda mfupi sana ambayo hata Wewe najua huyajui na huo ukubwa wako!

Grow up dude Dunia ipo Kwenye mabadiliko wewe endelea kutetea ujinga!

Hovyo kabisa halafu Ndio fikra kama zako zisaidie kuifikia Tanzania ya maendeleo ya science na Teknolojia Kwa Akili kama hizo thubutu

Endelea na Marufuku Kwa Kila kitu Cha faida wakati wenzenu wapo hatua mia Moja mbele Yenu!
Shwain!
 
Mkuu tatizo Mifumo ya Elimu tuliyonayo tunashindwa kuiapdate iendane na mazingira halisia ya kizazi hiki,
Mimi naamini katika changes endepo jitihada zinafanyika tukabadilisha fikra za Jamii mfano chukulia kukiwa na access ya internet na IT mashuleni mfano mwalimu wa Hisabati anavyofundisha kukawa na recording process,
Kama Kuna mwanafunzi ni slow learner itamsaidia akiwa na device itakayomsaidia kufanya reviews pale Kwenye mkanganyiko pia itamuwezesha kwenda deep kusaka material Ili kujazia
Natolea mfano wa dogo niliyemsemea mwaka Jana nilipokua home niliona dogo anaingia Kwenye brog za Elimu kusaka material na notes na akanambia shuleni kwetu mateacher kabla hajaanza mada hua anatupa next topic tukaitafutie hints Ili anapokuja Kuanza kufundisha Kila ajue ni Nini anacho maanisha
Na dogo nilimuona Muda mwingi anakusanya vijana wenzie wasio na Simu na kudiscuss na inawasaidia Sana

Hivyo hapa nimewasilisha kitu ambacho na experience nacho na Ndio maana natamani Mifumo ibadilishwe!
Safi kabisa mkuu, na Mungu akubariki kwa hilo. Waalimu wenye approach hiyo pia ni wazuri sana na wanawa-Motivate vijana kusoma ila ni wachache mno.
Kijana wako a.k.a Dogo atakuwa ni miongoni mwa Elites. Kongole kwake.
Shida inakuja kwa wale vijana cjui tuwaite mabazazi au vp(esp. Me), na kama kichwani haziwaki, basi ndo wakipata cm wanakimbilia yale mengine yasiyo na tija. i.e. wataangalia picha, muziki, Games, atawatambia wenzake anayo cm kali etc. na Watajishughulisha kuwavuruga wenzao na kuharibu nia njema ya kuwa na cm. Mfano katika discussion gps. yy ataacha cm yake on au atapokea msgs. kutoka nje za kijinga-kijinga n.k. na Group norms hataziheshimu. Ingekuwa Vijana wote watakuwa kama wa kwako, wakaTeam-up hata mm sioni sababu ya kimsingi kuzuia simu. Nidhamu ya matumizi sahihi ndicho kitu kingelikuwa kimebaki cha kusisitiza tu.
 
Hukuna sababu yoyote ya maana inayotolewa na wasiotaka wanafunzi wa sekondari kuwa na simu shuleni, ni mawazo ya kijima tu ya wafahidhina wasiopenda mabadiliko na wanaoogopa utandawazi.
Imechukua muda mrefu sana pia kuwaruhusu watoto wa kiume na wa kike wa shule za msingi zanserikali kuvaa suruali. Hata hawa wanaopinga simu shule za sekondari kuna siku watakuja kukubali walikuwa upande usio sahihi wa historia.
 
Sheria za kipumbavu tu watu wapo smart world nyie mnaendelea kushikilia masheria ya kikoloni zama hizi wanafunzi wa secondary waruhusiwe kumiliki smart phone ziwasaidiek masomo Yao nchi nyingi tu hasa za Asia mfano Philippine,Hongkong,Thailand watoto wa sekondary kumiliki Simu ni kitu Cha kawaida tu Tena Zina msaada mkubwa sana huko ndiko kinakotoka kizazi Cha smart world wanajua Kila kitu wale sisi huku kijana wa Miaka 17 hajui hata kuwasha computer Wala hajui google ni Nini
Halafu ndio utegemee mageuzi ya kisasa Kwa Jamii kalagha bhaho
Tutaendeshwa na wachina na wahindi mpaka kiama!
Elimu ya kurithi toka Kwa watu itatutafuna miaka mingi Sana.
 
Safi kabisa mkuu, na Mungu akubariki kwa hilo. Waalimu wenye approach hiyo pia ni wazuri sana na wanawa-Motivate vijana kusoma ila ni wachache mno.
Kijana wako a.k.a Dogo atakuwa ni miongoni mwa Elites. Kongole kwake.
Shida inakuja kwa wale vijana cjui tuwaite mabazazi au vp(esp. Me), na kama kichwani haziwaki, basi ndo wakipata cm wanakimbilia yale mengine yasiyo na tija. i.e. wataangalia picha, muziki, Games, atawatambia wenzake anayo cm kali etc. na Watajishughulisha kuwavuruga wenzao na kuharibu nia njema ya kuwa na cm. Mfano katika discussion gps. yy ataacha cm yake on au atapokea msgs. kutoka nje za kijinga-kijinga n.k. na Group norms hataziheshimu. Ingekuwa Vijana wote watakuwa kama wa kwako, wakaTeam-up hata mm sioni sababu ya kimsingi kuzuia simu. Nidhamu ya matumizi sahihi ndicho kitu kingelikuwa kimebaki cha kusisitiza tu.
Ni kweli Mkuu kinachotakiwa ni elimu mahsusi zitolewe kuhusu Internet kiujumla hii inabidi ianzie ngazi za chini kuwashape vijana,japo itakua ngumu ila itasaidia mbeleni zamani Wakati ugonjwa wa UKIMWI unaingia bongo watu walificha maradhi na kuwalisha sumu mbaya vijana na watoto eti
Ni ugonjwa wa kurogwa wengi wakafia Kwa waganga wa kienyeji wakiaguliwa wakidhani wamelogwa kumbe sivyo,
Ilipokuja swala la elimu ya kujikinga watu walipoambiwa watumie kondom ilikua kama dhambi kutamka neno kondom Kwenye Jamii madhara yake tukapoteza ndugu zetu wengi Kwa kukumbatia fikra mfu na za kijinga Tena wengine wakiwa wasomi kabisa walishindwa toa taarifa sahihi Kwa Jamii
Mpaka Leo madhara tunayaona ya ule uzembe,

Pia kuhusu Hilo la simu mashuleni iwe ni Moja ya Elimu na Kwa vitendo maana vijana wengi wakitoka Huko mashuleni
Na kwenda chuo kitu Cha kwanza hua ni kumiliki simu janja kutokana na ukosefu wa exposure na Elimu kuhusu Internet kiujumla
Madhara yake zinageuka Camera za kurekodia video za ngono,kubase Kwenye kufuatilia mambo ya kipumbafu,kuwaingiza Kwenye maisha fake wanayoyaona mtandaoni hasa Kwa mabinti na vijana mwishowe huingia Kwenye vishawishi vya ngono na kujiuza
Nadhani unalijua balaa la watoto wa chuo na uchafu wao Kwenye mitandao mfano
Wazeee wa konection SI unawajua😁😁🔥🔥

Ile yote ni madhara ya kuzuia vitu ambavyo inawapasa wavijue Kwa Muda mwafaka wakiwa Bado wabichi endapo wangekua wameiva Toka udogoni Kwa kuchukulia ni swala la kawaida hata isingekuja kua nongwa wakifika stage ya kutumia maana Wana Elimu sahihi itakayowasaidia kuchuja mambo!
 
Back
Top Bottom