FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Uhusiano ni nini, labda tuanzie hapo..Jf ya leo. Mada na comment yako havihusiani.
Sh*t.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uhusiano ni nini, labda tuanzie hapo..Jf ya leo. Mada na comment yako havihusiani.
Sh*t.
Hatujasikia tamko la Mkuu wa ShuleJeshi la Polisi Mkoa wa Singida linawashikilia wanafunzi sita wa Shule ya Sekondari Mwenge iliyopo Kata ya Majengo Wilaya ya Singida kwa tuhuma za kuchoma moto pikipiki ya mwalimu yenye namba za usajili MC 653 BFS pamoja na kufyeka mahindi yaliyooteshwa katika shamba la mwalimu huyo lenye ukubwa wa ekari moja.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, ACP Stella Mutabihirwa amezungumza mbele ya waandishi wa habari na kusema tukio hilo limetokea baada ya kuadhibiwa kwa mwanafunzi wa Kidato cha Nne kwa kosa la kumiliki simu kinyume na taratibu za shule hiyo.
“Taratibu za shule hiyo haziruhusu mwanafunzi kuwa na simu, wakati upekuzi wa walimu unaendelea kuna mwanafunzi mmoja alitoka kwenda kuficha simu darasani, ndipo mwalimu baada ya kugundua akamuadhibu huyo mwanafunzi.
“Jioni yake wanafunzi hao wakajipanga na kwenda kuchoma pikipiki na shamba, Jeshi la Polisi limefika eneo la tukio na kujiridhisha juu ya pikipiki hiyo kuchomwa na shamba kufyekwa. Hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao kwa kusababisha uhaibifu,” anasema ACP Stella Mutabihirwa.
Source: Wazo Huru TV
Unoko na ukuda ndio kitu fani hicho?Mwenge Secondary kuna O Level? Huyo mwanafunzi aliyeadhibiwa n wa kidato cha 6.
Ila walimu wengine waache unoko na ukuda, japo sitetei kitendo kilichofanywa na wanafunzi hao. Msieeew
Ningependa kukuita mjinga tu kwa sababu unataka kujiona unaujua uzungu wakati huna ulijualo zaid ya uongo na upotoshaji sorry! Lakini.Sheria za kipumbavu tu watu wapo smart world nyie mnaendelea kushikilia masheria ya kikoloni zama hizi wanafunzi wa secondary waruhusiwe kumiliki smart phone ziwasaidiek masomo Yao nchi nyingi tu hasa za Asia mfano Philippine,Hongkong,Thailand watoto wa sekondary kumiliki Simu ni kitu Cha kawaida tu Tena Zina msaada mkubwa sana huko ndiko kinakotoka kizazi Cha smart world wanajua Kila kitu wale sisi huku kijana wa Miaka 17 hajui hata kuwasha computer Wala hajui google ni Nini
Halafu ndio utegemee mageuzi ya kisasa Kwa Jamii kalagha bhaho
Tutaendeshwa na wachina na wahindi mpaka kiama!
Pia soma hapa kuhusu philipinesSheria za kipumbavu tu watu wapo smart world nyie mnaendelea kushikilia masheria ya kikoloni zama hizi wanafunzi wa secondary waruhusiwe kumiliki smart phone ziwasaidiek masomo Yao nchi nyingi tu hasa za Asia mfano Philippine,Hongkong,Thailand watoto wa sekondary kumiliki Simu ni kitu Cha kawaida tu Tena Zina msaada mkubwa sana huko ndiko kinakotoka kizazi Cha smart world wanajua Kila kitu wale sisi huku kijana wa Miaka 17 hajui hata kuwasha computer Wala hajui google ni Nini
Halafu ndio utegemee mageuzi ya kisasa Kwa Jamii kalagha bhaho
Tutaendeshwa na wachina na wahindi mpaka kiama!
hahahahahah yaani umeokoteza vi link uchwara kuja kunipinga hapa ni kiasi Gani unaonesha wewe ni zuzu first class wenzako Huko shule zimeunganishwa na Mifumo ya IT wewe unaniletea Link za mwaka 2003 Huko na Leo tupo 2022Pia soma hapa kuhusu philipines
👇👇👇👇
Siku nyingine acha uongo na kujifanya unayajua sana maisha ya kizungu wakati umejaa uongo na uzushi mkubwa na huna ulijualo kutoka huko isitimbi kijijini kwenu😅😅😅😅😅😅
Mobb psychology. watakuja kugundua hayo wakati wanatumikia kifungo, na wakati wazazi wao wanalipa mali zilizoharibikaJeshi la Polisi Mkoa wa Singida linawashikilia wanafunzi sita wa Shule ya Sekondari Mwenge iliyopo Kata ya Majengo Wilaya ya Singida kwa tuhuma za kuchoma moto pikipiki ya mwalimu yenye namba za usajili MC 653 BFS pamoja na kufyeka mahindi yaliyooteshwa katika shamba la mwalimu huyo lenye ukubwa wa ekari moja.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, ACP Stella Mutabihirwa amezungumza mbele ya waandishi wa habari na kusema tukio hilo limetokea baada ya kuadhibiwa kwa mwanafunzi wa Kidato cha Nne kwa kosa la kumiliki simu kinyume na taratibu za shule hiyo.
“Taratibu za shule hiyo haziruhusu mwanafunzi kuwa na simu, wakati upekuzi wa walimu unaendelea kuna mwanafunzi mmoja alitoka kwenda kuficha simu darasani, ndipo mwalimu baada ya kugundua akamuadhibu huyo mwanafunzi.
“Jioni yake wanafunzi hao wakajipanga na kwenda kuchoma pikipiki na shamba, Jeshi la Polisi limefika eneo la tukio na kujiridhisha juu ya pikipiki hiyo kuchomwa na shamba kufyekwa. Hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao kwa kusababisha uhaibifu,” anasema ACP Stella Mutabihirwa.
Source: Wazo Huru TV
We kijana!, kafute ule uzi wako kule watu wanaharibikiwa.Bongo nakumbuka ishatokeaga kesi kama hii wanafunzi walihukumiwa Miaka kibao ikaletaga utata sanaa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu maujanja tuuWe kijana!, kafute ule uzi wako kule watu wanaharibikiwa.
Juzi kuna mwenyekiti wa chama cha walimu(cwt) wilaya nikamsikia anamsimulia mwenzie(kiongozi wa ccm) '' yaani nikamla .... kimasihara....''[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu maujanja tuu
Hii comment watu hasa walimu wataipita kama hawaioni... Kiufupi huyo mwalimu hajaanza leo, mwalimu huyo anaukatili by nature kabisa na ninahisi ana matatizo kisaikolojia hadi huwa anakuwa hivyoUkisoma hii habari utahisi wanafunzi ndio wakorofi, mimi mpwa wangu anasoma pale form six na alinielezea A to Z ya nini kilichotokea.
Mimi mvivu sana kuandika lakini kifupi ni kwamba huyo mwanafunzi aliyesemekana kakutwa na simu, haikuwa ya kwake... Huyo mwalimu aliyechomewa pikipiki ndio alikuwa anamuadhibu kijana ili aseme simu iko wapi... Kifupi ni kwamba Mwalimu alimchapa vibaya mwanafunzi mpaka akazidiwa. Walimu wakaogopa kumpeleka hospitali kwa sababu hakukuwa na pf3.
Kituoni waliogopa maana wangetoa maelezo gani ili waeleweke. Ndipo ikabidi wamrudushe shule wakampa dawa ili atulize maumivu. Jioni mwanafunzi hali yake ikawa mbaya zaidi ndipo wanafunzi wengine wakaanza kushinikiza apelekwe hospitalini. Kukawa na mvutano kati ya waalimu na wanafunzi.
Yule mwalimu aliyetoa adhabu akawa anawatukana wanafunzi na kuwajibu jeuri. Wanafunzi wakapandisha hasira na mvutano ukawa mkubwa, Mwalimu mkuu alipata taarifa na kufika eneo la tukio. Akajaribu kuwasihi wanafunzi watawanyike atashughulikia lakini wanafunzi tayari walishapandisha hasira na chuki dhidi ya yule mwalimu, kwani inasemekana yule mwalimu amekuwa na tabia ya kupiga wanafunzi hovyo bila utaratibu na kuwatukana matusi.
Hiki ndio chanzo mpaka huyo mwalimu kuchomewa pikipiki na kufyekewa shamba lake. Haya ni maelezo mafupi tu ya nini hasa kilichotokea.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usiku kucha ni kufyeka mahindi tyuuh.Hao vijana kweli waasi yani wamelifyeka shamba la heka moja kwa usiku mmoja
Kihere here na ufukunyuku. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unoko na ukuda ndio kitu fani hicho?