Wanafunzi wachoma moto pikipiki ya mwalimu, wafyeka shamba kisa adhabu ya kukutwa na simu shuleni

Wanafunzi wachoma moto pikipiki ya mwalimu, wafyeka shamba kisa adhabu ya kukutwa na simu shuleni

Kuna kuliwa na kumrahisishia mtoto kuliwa. Nadhani umeelewa.

Kuliwa ataliwa tu Ila kwanza asome
Iwe kumrahisishia au kuto, ila ni ile ile kuwa analiwa, na analiwa kweri kweri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata mm nimeshangaa o level ilifutika kitambo sana, mm namalizia form six 2007, ndio ilikuwa inafutika o level
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alikosea kuandika tyuuh.
 
Hivi kuna tatizo gani mwanafunzi kumiliki na kuwa na simu shuleni..?
Kuna vibylaws inapaswa vifanyiwe marekebisho ili kuepuka conflicts kama hizi
Ubaya wake sasa wanafunzi wenyewe wanamiliki simu km kawaida yaan. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani akili za balehe bwana, mwaka Fulani watoto wa o- level walichoma office ya academic vyeti vyoote vikaungua nikaanza kuhangaika kutafuta cheti mbadala Cha form six necta dah.
Duuuh poleeeeh sana lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
ila kusema ukweli Hawa mabindi zetu Hawa duu mtihani sana ukiwa kama baba wa bindi nakuonea huruma sana Mkuu
Yaani watoto ni wasumbufu mno na wanaweza kukutia aibu kubwa

Yaani vitoto vidogo vina mambo makubwa sana Kuna muda kama mzazi ukikaa na kutafakari unabaki kusema Hiiiiii bha ghosha naua Hii jinga ila Ndio Hivyo Inakupasa uwe mtu wa busara sana!

Majaribu kuvaa viatu vyako inaumiza sana!
Unajua ishu sio yeye kufanya hayo, tatizo anadanganywa na watu ambao hawatamuoa sababu unakuta mtoto ana miaka 15 jamaa yake 30 wamepishana umri wa kumzaa na bado yeye ansoma akili pia ya kitoto.

Anadanganyika kwa vitu ambavyo akikua atavipata tu Sasa anaharibiwa future, unajua ishu sio kuzaa Ila lazima uwe na maisha yenye mpangilio utazaazaa na kila mwanaume tu unajemga familia gani?

Halafu akipata ujauzito hapo future inakuwa basi Tena kwa asilimia kubwa hujikuta wanabeba majukumu ambayo hawana huo ulazima wa kubeba Kama angetulia mpaka muda wake ukifika.

Pia kuna magonjwa na mambo mengi madawa ya kulevya mtu mzima anaweza kuwa anamtilia ili alewe ili jamaa afanye yake anayitaka.

It's dangerous ndio maana tunamlinda mtoto wa kike nothing much kuliwa ataliwa tu lakini heri aliwe huku ulimlinda ili akose wa kumlaumu kuliko usipochukua hatua za kumlinda.
 
Bongo nakumbuka ishatokeaga kesi kama hii wanafunzi walihukumiwa Miaka kibao ikaletaga utata sanaa
 
Simu zina shida gani? Wawekewe tu utaratibu wa kutumia, dunia ishabadilika.

Sisi A level hakukuwa na hayo makatazo ya simu na bado tulifaulu vizuri tu.
 
Hata mm nimeshangaa o level ilifutika kitambo sana, mm namalizia form six 2007, ndio ilikuwa inafutika o level
Ina maana mabweni ya UMOJA na UJAMAA ilikokuwa kambi ya madem siku hizi kote ni madume?
 
Mambo ya kizamani sana hayoo..

🌿🌿🌿 Tu
 
Simu zina shida gani? Wawekewe tu utaratibu wa kutumia, dunia ishabadilika.

Sisi A level hakukuwa na hayo makatazo ya simu na bado tulifaulu vizuri tu.
Hata mie nashangaa hapa lol.
 
Hao vijana kweli waasi yani wamelifyeka shamba la heka moja kwa usiku mmoja
 
hahahahaha huyo kijana wa hovyo inaonekana ulimfanya kitu kibaya sana anyway
Hakuna kitu sipendi kama vijana wajinga wajinga kuwarubuni wanafunzi hasa mabinti hua najaribu kuvaa viatu kama mzazi hua naumia sana
Mara nyingi hua natoa ushauri Kwa baadhi ya vibinti mcharuko hapa kitaa ya Kwamba Hawa wajinga wajinga hawana Nia nzuri na nyie ila Sasa ni vibishi sana na vina mambo makubwa balaa!
Ukiwaangalja Hawa mabinti wanayofanya mambo unaona kabisa yamewazidi umri Ila wao wanafanya Kama fashion na tamaa bila kujua umri wao haujafika.

Na wanaume wengi hutumia huo mwanya kuwarubuni na kuwagonga kilaini, unajua binti wa sekondari Hana gharama hata Hawa wa chuo.

Mtoto wa sekondari ukimla unampa 20 umemaliza , anakula chips anakunywa Redd's mbili au tatu unamgonga gesti bubu za 15 hajui mambo ya gesti yeye.

Ukitoka unampa 15 na bodaboda unamlipia umemaliza kazi. Hapo ndio wanapopagawa.

Akiomba hela nyingi sana 50. Kumbe hajui . Ndio maana tunaona mtoto akiwa na simu unamrahisishia kuliwa aisee.
 
Mnatetea ujinga na upumbavu
Sheria za kipumbavu tu watu wapo smart world nyie mnaendelea kushikilia masheria ya kikoloni zama hizi wanafunzi wa secondary waruhusiwe kumiliki smart phone ziwasaidiek masomo Yao nchi nyingi tu hasa za Asia mfano Philippine,Hongkong,Thailand watoto wa sekondary kumiliki Simu ni kitu Cha kawaida tu Tena Zina msaada mkubwa sana huko ndiko kinakotoka kizazi Cha smart world wanajua Kila kitu wale sisi huku kijana wa Miaka 17 hajui hata kuwasha computer Wala hajui google ni Nini
Halafu ndio utegemee mageuzi ya kisasa Kwa Jamii kalagha bhaho
Tutaendeshwa na wachina na wahindi mpaka kiama!

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida linawashikilia wanafunzi sita wa Shule ya Sekondari Mwenge iliyopo Kata ya Majengo Wilaya ya Singida kwa tuhuma za kuchoma moto pikipiki ya mwalimu yenye namba za usajili MC 653 BFS pamoja na kufyeka mahindi yaliyooteshwa katika shamba la mwalimu huyo lenye ukubwa wa ekari moja.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, ACP Stella Mutabihirwa amezungumza mbele ya waandishi wa habari na kusema tukio hilo limetokea baada ya kuadhibiwa kwa mwanafunzi wa Kidato cha Nne kwa kosa la kumiliki simu kinyume na taratibu za shule hiyo.

“Taratibu za shule hiyo haziruhusu mwanafunzi kuwa na simu, wakati upekuzi wa walimu unaendelea kuna mwanafunzi mmoja alitoka kwenda kuficha simu darasani, ndipo mwalimu baada ya kugundua akamuadhibu huyo mwanafunzi.

“Jioni yake wanafunzi hao wakajipanga na kwenda kuchoma pikipiki na shamba, Jeshi la Polisi limefika eneo la tukio na kujiridhisha juu ya pikipiki hiyo kuchomwa na shamba kufyekwa. Hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao kwa kusababisha uhaibifu,” anasema ACP Stella Mutabihirwa.


Source: Wazo Huru TV
Fukuza shule hao vibaka wakachimbe migodi..

Shule za siku hizi ni nonsense huwa zinalegeza na kudekeza watoto hao wajinga mwishowe mnafuga majambazi.
 
Back
Top Bottom