Wanafunzi wachoma moto pikipiki ya mwalimu, wafyeka shamba kisa adhabu ya kukutwa na simu shuleni

Wanafunzi wachoma moto pikipiki ya mwalimu, wafyeka shamba kisa adhabu ya kukutwa na simu shuleni

Heheh pamoja sikubaliani na utovu wa nidhamu Ila Hawa vijana ndio wa enzi zetu. Mwalimu akitaka kutoa adhabu alikuwa anajikagua mara mbili mbili maana anajua tukitoroka na tikakutana nae mtaani ajue ameumia.

Waliacha hadi kutufundisha eti tumekuwa watukutu na tukapasua almost wote wa mwisho alikuwa na 2.12 A level huyo ndio failure.

Ila Sasa tumeshakuwa watu wazima lakini mie Kama ni mwanangu hapo najua nimezaa dume sio Hawa wavaa kata K anakuja kuoa anapigwa makofi na mwanamke na anashangilia tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] walimu wengine wanoko na wakuda sana acha wapigwe tyuuh.
 
Kuna unoko gani sasa hapo...

Sheria za shule haziruhusu kumiliki simu huyo mwanafunzi anatumia Ili iweje,[emoji1692][emoji1545]
Ana miliki simu ili kuwasiliana na wazaz, ndugu jamaa na marafiki na matumizi mengine ya ziada ya cm.

Ukweli walimu wengi ni wanoko na wakuda sana, japo sitetei kisasi cha wanafunzi dhidi yao.
 
Sheria za kipumbavu tu watu wapo smart world nyie mnaendelea kushikilia masheria ya kikoloni zama hizi wanafunzi wa secondary waruhusiwe kumiliki smart phone ziwasaidiek masomo Yao nchi nyingi tu hasa za Asia mfano Philippine,Hongkong,Thailand watoto wa sekondary kumiliki Simu ni kitu Cha kawaida tu Tena Zina msaada mkubwa sana huko ndiko kinakotoka kizazi Cha smart world wanajua Kila kitu wale sisi huku kijana wa Miaka 17 hajui hata kuwasha computer Wala hajui google ni Nini
Halafu ndio utegemee mageuzi ya kisasa Kwa Jamii kalagha bhaho
Tutaendeshwa na wachina na wahindi mpaka kiama!
Umemaliza kila kitu, nakazia hapa.
 
Hakuna shida hapa sio Thailand, Ila nakushauri Kama una kabinti kanunulie simu Safi sana.

Tusaidie mawasiliano
 
Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida linawashikilia wanafunzi sita wa Shule ya Sekondari Mwenge iliyopo Kata ya Majengo Wilaya ya Singida kwa tuhuma za kuchoma moto pikipiki ya mwalimu yenye namba za usajili MC 653 BFS pamoja na kufyeka mahindi yaliyooteshwa katika shamba la mwalimu huyo lenye ukubwa wa ekari moja.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, ACP Stella Mutabihirwa amezungumza mbele ya waandishi wa habari na kusema tukio hilo limetokea baada ya kuadhibiwa kwa mwanafunzi wa Kidato cha Nne kwa kosa la kumiliki simu kinyume na taratibu za shule hiyo.

“Taratibu za shule hiyo haziruhusu mwanafunzi kuwa na simu, wakati upekuzi wa walimu unaendelea kuna mwanafunzi mmoja alitoka kwenda kuficha simu darasani, ndipo mwalimu baada ya kugundua akamuadhibu huyo mwanafunzi.

“Jioni yake wanafunzi hao wakajipanga na kwenda kuchoma pikipiki na shamba, Jeshi la Polisi limefika eneo la tukio na kujiridhisha juu ya pikipiki hiyo kuchomwa na shamba kufyekwa. Hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao kwa kusababisha uhaibifu,” anasema ACP Stella Mutabihirwa.

Source: Wazo Huru TV
Bora mwalimu hajachomwa kazi iendelee...[emoji852]
 
Walimu huwa wanaviherehere sana,

Hiz nguvu za kupambana na wanafunz huwa mnazipata wap wakat mishahara midogo,marupurupu hakuna,madaraja hampandi

Pambaneni na maisha yenu,

Dunia ya sasa sio ya kukomalia mtu asiwe na simu

Ningewaelewa kama mngesema mwanafunz asiingie nayo kwenye chumba cha mtihani

Pambaneni na maisha yenu
 
Hakuna shida hapa sio Thailand, Ila nakushauri Kama una kabinti kanunulie simu Safi sana.

Tusaidie mawasiliano
Kwamba nisipomnunulia Simu Ndio wahuni hawatamla bindi yangu
(in Safina wa kashkash group voices ITV)
😁😁😁😁🔥
 
Kwani asipokua na cm aliwi? Kuliwa kupo pale pale hakuepukiki yaan. Watu walikua wanamlinda mtoto wako nyumban hatoki anashinda ndan tyuuh likizo, shule anakabidhiwa kwa walimu full uangalizi, ili asiharibiwe lol kumbe Toto linaliwa km kawa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna kuliwa na kumrahisishia mtoto kuliwa. Nadhani umeelewa.

Kuliwa ataliwa tu Ila kwanza asome
 
Kwamba nisipomnunulia Simu Ndio wahuni hawatamla bindi yangu
(in Safina wa kashkash group voices ITV)
😁😁😁😁🔥
Kwanza una mtoto kweli? Maana kuliwa ataliwa tu Ila sio at early ages ni vema akasoma kwanza umzuie asiwahi mambo ambayo utajikuta ada unayolipa umeitupa bure.
 
Daaaa kumbe Ndio wewe ulionifanyia unyama ule kisa bintio,Mimi ndie yule kijana wa duka la nguo pale Mwenge ulionifanyia kitu sio Cha kibinadamu,Mimi nilikua tu naupendo wa dhati Kwa bindi Yako Kwani kupenda dhambi baba mkwe mbona wakati unamtafuta mama mkwe ulifanya kama Mimi Tena Ulikua unamtumia na maua?

Ila nishakusamehe Mimi ni kijana mstaarabu sana haikua na maana kunifanyia vile ila nashukuru!
Sasa ujaribu tena tukupe dudu ya makalio. Katongoze wakubwa wenzio sio mnadanganya watoto wasio na akili ya ukomavu
 
Sheria za kipumbavu tu watu wapo smart world nyie mnaendelea kushikilia masheria ya kikoloni zama hizi wanafunzi wa secondary waruhusiwe kumiliki smart phone ziwasaidiek masomo Yao nchi nyingi tu hasa za Asia mfano Philippine,Hongkong,Thailand watoto wa sekondary kumiliki Simu ni kitu Cha kawaida tu Tena Zina msaada mkubwa sana huko ndiko kinakotoka kizazi Cha smart world wanajua Kila kitu wale sisi huku kijana wa Miaka 17 hajui hata kuwasha computer Wala hajui google ni Nini
Halafu ndio utegemee mageuzi ya kisasa Kwa Jamii kalagha bhaho
Tutaendeshwa na wachina na wahindi mpaka kiama!

Hao wanafunzi wameandaliwa kumiliki hizo simu kwa ajili ya hayo matumizi ya kiteknolojia kama ilivyo kwenye hizo nchi ulizotaja?

Maana mara nyingi watoto wetu hutumia hizo simu kwa ajili ya kuwasiliana tu na wanafunzi wa jinsia nyingine wa shule jirani.
Na mwisho wa siku hutafuta wasaa wao kwa siri, ili kukidhi mahitaji yao ya kimwili. Na hivyo visimu utakuta ni vile vidogo vidogo, vilivyo choka na vya bei nafuu.
 
Kwanza una mtoto kweli? Maana kuliwa ataliwa tu Ila sio at early ages ni vema akasoma kwanza umzuie asiwahi mambo ambayo utajikuta ada unayolipa umeitupa bure.
ila kusema ukweli Hawa mabindi zetu Hawa duu mtihani sana ukiwa kama baba wa bindi nakuonea huruma sana Mkuu
Yaani watoto ni wasumbufu mno na wanaweza kukutia aibu kubwa

Yaani vitoto vidogo vina mambo makubwa sana Kuna muda kama mzazi ukikaa na kutafakari unabaki kusema Hiiiiii bha ghosha naua Hii jinga ila Ndio Hivyo Inakupasa uwe mtu wa busara sana!

Majaribu kuvaa viatu vyako inaumiza sana!
 
Hao wanafunzi wameandaliwa kumiliki hizo simu kwa ajili ya hayo matumizi ya kiteknolojia kama ilivyo kwenye hizo nchi ulizotaja?

Maana mara nyingi watoto wetu hutumia hizo simu kwa ajili ya kuwasiliana tu na wanafunzi wa jinsia nyingine wa shule jirani.
Na mwisho wa siku hutafuta wasaa wao kwa siri, ili kukidhi mahitaji yao ya kimwili. Na hivyo visimu utakuta ni vile vidogo vidogo, vilivyo choka na vya bei nafuu.
Kwahiyo Mzee baba unapendekeza Nini kifanyike maana unadai Ili wanafunzi wamiliki smart phone inabidi waandaliwe kwani inachukua miaka mingapi kuwaandaa vijana kama walivyofanya wao?

Tatizo la nchi Hii watu hawana ubunifu Wala uthubutu Ina wasomi na viongozi wa hovyo sana!
 
Mwenge Secondary kuna O Level? Huyo mwanafunzi aliyeadhibiwa n wa kidato cha 6.

Ila walimu wengine waache unoko na ukuda, japo sitetei kitendo kilichofanywa na wanafunzi hao. Msieeew
Hata mm nimeshangaa o level ilifutika kitambo sana, mm namalizia form six 2007, ndio ilikuwa inafutika o level
 
Sasa ujaribu tena tukupe dudu ya makalio. Katongoze wakubwa wenzio sio mnadanganya watoto wasio na akili ya ukomavu
hahahahaha huyo kijana wa hovyo inaonekana ulimfanya kitu kibaya sana anyway
Hakuna kitu sipendi kama vijana wajinga wajinga kuwarubuni wanafunzi hasa mabinti hua najaribu kuvaa viatu kama mzazi hua naumia sana
Mara nyingi hua natoa ushauri Kwa baadhi ya vibinti mcharuko hapa kitaa ya Kwamba Hawa wajinga wajinga hawana Nia nzuri na nyie ila Sasa ni vibishi sana na vina mambo makubwa balaa!
 
Hivi kuna tatizo gani mwanafunzi kumiliki na kuwa na simu shuleni..?
Kuna vibylaws inapaswa vifanyiwe marekebisho ili kuepuka conflicts kama hizi
 
Yaani akili za balehe bwana, mwaka Fulani watoto wa o- level walichoma office ya academic vyeti vyoote vikaungua nikaanza kuhangaika kutafuta cheti mbadala Cha form six necta dah.
 
Walimu huwa wanaviherehere sana,

Hiz nguvu za kupambana na wanafunz huwa mnazipata wap wakat mishahara midogo,marupurupu hakuna,madaraja hampandi

Pambaneni na maisha yenu,

Dunia ya sasa sio ya kukomalia mtu asiwe na simu

Ningewaelewa kama mngesema mwanafunz asiingie nayo kwenye chumba cha mtihani

Pambaneni na maisha yenu
Ukweli mchungu huu walimu hawataki kuusikia, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom