Usikimbilie kusema hivyo. Pengine yeye kama Katibu wa Bodi ya Shule alishaishauri Bodi iwafukuze hao wapuuzi ila Bodi ikaendelea kuwalinda kwa mujibu wa sheria na taratibu za kipuuzi zilizopo.Vyeti vya mkuu wa shule viangaliwe
Inasemakana ni kidato cha Tano na baadhi ni kidato cha sita.Labda ni vidato vya mtihani hao huwa wagumu sana kuchukuliwa sheria ila ni muhimu kuchukua hatua maana wanaweza hatarisha usalama wa wenzao na shule