Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Why ubebe waliofeli?Nikiwa Rais wanafunzi wa form four waliopata div 4 na zero wataenda VETA na watapata ujuzi ambao anagalau utawasaidia kwenye maisha yao
View attachment 3340100
Good questionWhy ubebe waliofeli?
Hawana option ya kuendelea ni tofauti na aliyefauluWhy ubebe waliofeli?
Hawana option ya kuendelea ni tofauti na aliyefauluGood question
Wanao faulu nao ni watoto wa masikini. Tz inatakiwa itenengeneze work force iliyoelimika ili kukidhi mahitaji ya dunia ya sasa.Hawana option ya kuendelea ni tofauti na aliyefaulu
Mtoto wa maskini aliyepata four ya mwisho unafikiri anayo option hana
Bado ni mdogo ndo maana huwezi nielewaWanao faulu nao ni watoto wa masikini. Tz inatakiwa itenengeneze work force iliyoelimika ili kukidhi mahitaji ya dunia ya sasa.
Elimu iendeshwe on merit si huruma
Hata wewe kikatiba una-haki ya kugombea na kuwa na ndoto za kuwa RaisNikiwa rais
Waliofeli walikuwa hawatak kusoma sasa wewe Una wabeba unawapeleka VETA Wao ako na umalaya . Uhuni .Vyuo vya veta vitaboreshwa na kuwa vya kisasa na maabara za veta zitaboreshwa maradufu ili wahitimu wakitoka wawe compentent
Kila siku CAG analalamika mabilion ya fedha yanapotea kwenye matumizi ambayo sio ntatumia hayo mabilion yananayopotea kuboreshea vyuo vya VETAWaliofeli walikuwa hawatak kusoma sasa wewe Una wabeba unawapeleka VETA Wao ako na umalaya . Uhuni .
Hizo za kuboresha VETA utazitolea wapi?
Ahsante kwa kukushiriki na karibu tenawe kweli kiazi
Chama gani tununue kadi za uanachamaNikiwa Rais wanafunzi wa form four waliopata div 4 na zero wataenda VETA kwa udhamini wa serikali, na watapata ujuzi ambao anagalau utawasaidia kwenye maisha yao
Vyuo vya veta vitaboreshwa na kuwa vya kisasa na maabara za veta zitaboreshwa maradufu ili wahitimu wakitoka wawe compentent
View attachment 3340100
Hayo mabilionea ukiyapeleka VETA .Kila siku CAG analalamika mabilion ya fedha yanapotea kwenye matumizi ambayo sio ntatumia hayo mabilion yananayopotea kuboreshea vyuo vya VETA
hawa waliosoma tuh mpaka chuo walipaswa kupata vituo atamizi na kupewa fedha na zisimamiwe na watalamu haohao wanaomaliza kisha kukaguliwa wawaajiri hao waliofeli kwa kuanzisha miradi mbalimbali kulingana na fani zaoAhsante kwa kukushiriki na karibu tena
Huko VETA wanasoma wanyama kwani??Hayo mabilionea ukiyapeleka VETA .
kwenye uongozi WAko NI mtumishi gani Serikali. Jeshi NGO ...nk. atakupenda wewe Kama rais na akili zako ndogo Kama hivi unavyofikiria?
Kuwekeza kwa watu sio hoja tangiblehawa waliosoma tuh mpaka chuo walipaswa kupata vituo atamizi na kupewa fedha na zisimamiwe na watalamu haohao wanaomaliza kisha kukaguliwa wawaajiri hao waliofeli kwa kuanzisha miradi mbalimbali kulingana na fani zao
kuja na hoja tangible