Wanafunzi waliofeli form four na kupata div 4 na Zero watapewa nafasi ya kwenda VETA

Wanafunzi waliofeli form four na kupata div 4 na Zero watapewa nafasi ya kwenda VETA

kumbuka kuna majambazi na UVCCM wa JF hapa hawawezi kufika veta
 
Nitamsaidia sana mheshimiwa Robert kuinua uchumi wa hii nchi
Workmate, nishaona maoni na sera zako nying ambazo zinaweza kuchechemua uchumi wa nchi yetu.

Kwahiyo unafaa.
Na Sina chembe ya shaka. kwenye hilo. Na nafas hiyo.

Waziri wa Fedha, Mh Dkt Evelyn Salt
 
Mr. President ulipotea kidogo. Karibu tena aisee. Ibrahim Traore wa pili 👏👏👏
 
Nikiwa Rais wanafunzi wa form four waliopata div 4 na zero wataenda VETA kwa udhamini wa serikali, na watapata ujuzi ambao anagalau utawasaidia kwenye maisha yao

Vyuo vya veta vitaboreshwa na kuwa vya kisasa na maabara za veta zitaboreshwa maradufu ili wahitimu wakitoka wawe compentent
View attachment 3340100
Mnatuchanganya Sasa.
Wahitimu wa Vyuo vikuu si mmetuambia tuende Veta?
Kwahiyo mnaenda kutuchanganya na waliofeli Form four?
 
Back
Top Bottom