The Coin Man
JF-Expert Member
- Jan 2, 2025
- 1,471
- 1,879
Wanaosoma VETA NI wanafunzi na sio watumishi.Huko VETA wanasoma wanyama kwani??
Hawana option ya kuendelea ni tofauti na aliyefaulu
Mtoto wa maskini aliyepata four ya mwisho unafikiri anayo option hana
Hata watumishi kuna mda walikuwa wanafunziWanaosoma VETA NI wanafunzi na sio watumishi.
Bila team ya mafisadi utawezaje kuongoza NCHI na ela umepeleka VETA?
Work mate , hivi wizara gan ww umepewa?Ahsante mheshimiwa, unatosha kutuvusha......
Nipewe wizara ya fedha nipress vizuri trab na tratWork mate , hivi wizara gan ww umepewa?
Napendekeza uwe Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi.
Ushughulikie mambo yote yanayohusu Wananchi
Utapata hii.Nipewe wizara ya fedha nipress vizuri trab na trat
Nitamsaidia sana mheshimiwa Robert kuinua uchumi wa hii nchiUtapata hii.
Raisi lazima awape nafas nyeti kama hizi watu anaowajua na wenye ufanisi.
Workmate, nishaona maoni na sera zako nying ambazo zinaweza kuchechemua uchumi wa nchi yetu.Nitamsaidia sana mheshimiwa Robert kuinua uchumi wa hii nchi
Bro! Na ww unataka wadhifa?.Mr. President ulipotea kidogo. Karibu tena aisee. Ibrahim Traore wa pili πππ
Mbna wanaosoma huko wengine walipata F ktk hayo masomo.we kweli kiazi
VETA ni physics & maths tupu
njo veta achana na maneno ya vijiweniMbna wanaosoma huko wengine walipata F ktk hayo masomo.
Mnatuchanganya Sasa.Nikiwa Rais wanafunzi wa form four waliopata div 4 na zero wataenda VETA kwa udhamini wa serikali, na watapata ujuzi ambao anagalau utawasaidia kwenye maisha yao
Vyuo vya veta vitaboreshwa na kuwa vya kisasa na maabara za veta zitaboreshwa maradufu ili wahitimu wakitoka wawe compentent
View attachment 3340100
Mimi sikuwahi kusema wahitimu wa vyuo vikuu waende VETAMnatuchanganya Sasa.
Wahitimu wa Vyuo vikuu si mmetuambia tuende Veta?
Kwahiyo mnaenda kutuchanganya na waliofeli Form four?
Mmmhnjo veta achana na maneno ya vijiweni