Mzee makoti JF-Expert Member Joined Jul 27, 2016 Posts 3,482 Reaction score 4,673 Nov 26, 2021 #1 Wakuu habari, Kuna binamu yangu alifanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi mwaka huu 2021, na akafaulu kwa wastani wa B, naona wamepangiwa shule, ila yeye sijaona kapangiwa shule gani! Au huwa wanatoa kwa awamu majina
Wakuu habari, Kuna binamu yangu alifanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi mwaka huu 2021, na akafaulu kwa wastani wa B, naona wamepangiwa shule, ila yeye sijaona kapangiwa shule gani! Au huwa wanatoa kwa awamu majina
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Nov 26, 2021 #2 Aende Shule Aliyomaliza
Dorome JF-Expert Member Joined Nov 11, 2021 Posts 397 Reaction score 746 Nov 26, 2021 #3 Nenda kwa afisa elimu msingi halmashauri aliyosoma
JBourne59 JF-Expert Member Joined Jan 17, 2020 Posts 946 Reaction score 8,640 Nov 26, 2021 #4 Bofya hapa https://gwftool.tamisemi.go.tz/storage/apps/selection_results/psle_selection.htm
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Nov 30, 2021 #5 Mleta mada fuata miongozo...