Wanafunzi waliomaliza darasa la Saba 2021/wamepangiwa shule?

Wanafunzi waliomaliza darasa la Saba 2021/wamepangiwa shule?

Mzee makoti

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2016
Posts
3,482
Reaction score
4,673
Wakuu habari,

Kuna binamu yangu alifanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi mwaka huu 2021, na akafaulu kwa wastani wa B, naona wamepangiwa shule, ila yeye sijaona kapangiwa shule gani! Au huwa wanatoa kwa awamu majina
 
Back
Top Bottom