Wanafunzi waliomaliza form four watakuwa na uwezo wa kutumia excel kisawa sawa, graphics design na programming language zisizopungua 8

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Kwa wale watakaosoma shule za serikali moja ya mambo ambayo ntayatimiza kwa sababu yana-manufaa makubwa sana kwa nchi

Your browser is not able to display this video.
 
Mwanafunzi aliyemaliza form four shule ya serikali atajua advanced excel kwenye maeneo yafuatayo;-
  • data manipulation
  • advanced calculations
  • creating dynamic reports
  • automating tasks
  • handling large datasets.
 
Mwanafunzi aliyemaliza form four Tanzania atakuwa na uwezo wa kufanya graphics design
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…