Tetesi: Wanafunzi waliotimuliwa UDOM kuungana na BAVICHA tarehe 23 Julai

Itelijensia hamuiogopi mnajifanya majasiri sio tumeni muwakilishi ambaye ni mjumbe wa mkutano haya!Mi nawatakia kila kheri kumbukeni POLISI wetu ni watu wabaya sana na hatari sana wanaweza kuwaueni! kama sio kuwajeruhi kabisa.
 
Tunawombea kwa mungu awajaze ujasiri na awape uzima na nguvu
 
Ha ha ha bavicha mtawaponza hawa watoto wapigwe
Nyie wanafunzi kwa akili zenu za mwendokasi mnavyopelekeshwa

Yangu macho
 
Nilichojifunza ni kuwa mnapotafuta haki kupitia siasa mwisho wake ni shida zenu kugeuka mtaji kwa wanasiasa....epuka kuwa daraja la kuwapa mtaji wanasiasa uchwara. Waacheni wanasiasa wawape support kwa msukumo wa dhamiri zao na si kuanza kuwa sehemu ya harakati zao ambazo hujui malengo yake ingawa yanaweza kuvishwa koti la kutetea haki.
 
Mmawia najaribu kuona nchi ya mabomu na kuvunja miguu (Lisu), how do we make sure that these poor kids do not face the same catastrophe/consequences!
Hata wenzetu walikuwa na huruma namna hiyo lkn walilazimika ref video ya sarafina kule south Africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…