Tetesi: Wanafunzi waliotimuliwa UDOM kuungana na BAVICHA tarehe 23 Julai

Tetesi: Wanafunzi waliotimuliwa UDOM kuungana na BAVICHA tarehe 23 Julai

Yaani hii kama imeandikwa na mtu aliyekuwa Chuo Kikuu na anapinga kuitwa ki_aza, kuna tatizo kubwa sana. Uandishi gani huu? Tuache hivyo vidogo, ujumbe sasa! Yaani mtu kafukuzwa chuo na siku hiyo hiyo imebidi ajiuze!! Did I miss something here?
 
Tarehe 23 inaweza kuweka historia nyingine kama ile ya mv....

BAVICHA historia iliyowekwa ni ya Fisadi kuteuliwa kugombea urais na CHADOMO. Hakuna historia nyingine tena itakayovunja hiyo
 
Mnaomba kuendelea na chuo wakati mnarejesha kadi?
Hakuna mjinga wa kuwapokea.

Na huo ujinga mliojazwa na wajinga wenzenu mtaujutia cku hiyo.
Kwa hyo husomi Udom hadi uwe na Kadi?
hahahahahahah kichapo gong studio! Nendeni mkatukumbushie ya mwebechai wajameni...Tumeimisi ile reality show!!!
 
Acha kukurupuka,soma vizuri mleta uzi anasemaje.
We nijibu kadi inahusika vp na kurudishwa chuo? Kwa hyo unamaana wasiporudisha hizo kadi ndio watasamehewa?
I am still struggling to figure out how you could actually be one of the brightest kids who became victims of injustice, if you cannot even articulate and put together a coherent action plan statement. If you indeed are, then the average and below-average students amongst the 7,000 kids must be scary! Your action plan statement is a mixed bag statement of internally inconsistent wishes.

Besides, smart students ought to know that politicizing your case in the planned manner just undermines your reinstatement prospects! ...I can only hope that I am wrong.

Good luck!
 
Mnaomba kuendelea na chuo wakati mnarejesha kadi?
Hakuna mjinga wa kuwapokea.

Na huo ujinga mliojazwa na wajinga wenzenu mtaujutia cku hiyo.
Nilimsikia Mh. siku ile anafungua ujenzi wa maktaba UD alisema alikuwa anasubiri UDOM wagome awaonyeshe show. Sasa andamaneni na hao nyumbu hadi kwenye mkutano wake mkamshike sharubu muone maana toka kaingia magogoni hatujaona show yake hata moja.
 
Eti mkamshike sharubu. ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Usijumlishe na wenzio ambao hawana mpango wa kwenda dom.
ningekushauri tafuta namna kusoma five na six ili urudi udom ukiwa na sifa, Hii si enzi ya bora liende tunakwenda kwa ubora, wewe ni form four unataka ukamfundishe form four itawezekana wapi? kaa chini ufikiri ghalama utayolisababishia taifa kwa kwenda kudanga wanafumzi itawiana na ghalama unayodai umepoteza?
Kama unataka kuwa mwalimu strugle upate sifa za kukufanya ufikie adhima yako badala ya kuomba huruma ya wanasiasa mtandaoni.
Nawaasa na wanzako serikali hii si ya magumashi, na ukijaribu kupingana na ukweli utajikuta upo pabaya.
 
Eti by uongozi!!! Uoga!! Uongozi upi??? Acheni kiki za kitoto!!! Taja majina yenu kabisa sio ifike siku mpoteane
 
Watanzania tuchangamkie fursa ya mabadiliko.Now or never.
 
Msitumiwe na Wanasiasa wanaotaka kujipatia kiki kwa maumivu yenu maana kitakachofuhata pia ni hasara kwenu....... Kuna njia sahihi na mbadala za kupata haki mnayodhani kuwa mmepokonywa na ni ya kiustaarabu kabisa na itaonyesha kuwa labda mmeelimika nayo ni Sheria - Mahakama basi
 
Usijumlishe na wenzio ambao hawana mpango wa kwenda dom.
ningekushauri tafuta namna kusoma five na six ili urudi udom ukiwa na sifa, Hii si enzi ya bora liende tunakwenda kwa ubora, wewe ni form four unataka ukamfundishe form four itawezekana wapi? kaa chini ufikiri ghalama utayolisababishia taifa kwa kwenda kudanga wanafumzi itawiana na ghalama unayodai umepoteza?
Kama unataka kuwa mwalimu strugle upate sifa za kukufanya ufikie adhima yako badala ya kuomba huruma ya wanasiasa mtandaoni.
Nawaasa na wanzako serikali hii si ya magumashi, na ukijaribu kupingana na ukweli utajikuta upo pabaya.
Hayo uliyosema ulitakiwa uwaambie waliowapa post hao wanafunzi
 
Hao waliojiuza ili kupata hela ya kula na nauli kwani zile fedha za boom walizopewa walifanyia nini mpaka wakawa hawana hela kabisa kufikia hatua ya kujiuza?au walikuwa ndo mambo yao ya kujiuza siku zote?

Hata hivyo naiomba serikali iwatupie Jicho la huruma hawa watoto ili wale wenye sifa watafutiwe namna ya kuendelea na masomo yao!!
Kujiuza ilikuwa ni katika kuendeleza mojawapo ya shughuli zao za kila siku.
 
Hayo uliyosema ulitakiwa uwaambie waliowapa post hao wanafunzi
Kama mtu alikupa nafasi pasipo kustairi yaani hukupaswa kupewa ns ameamua kuichukua unapiga kelele za nini?
Ninawahakikishia mkienda dodoma mnakwenda kuongeza majanga zaidi, hao wazazi wenu watauza mpaka nyumba kuwawekea dhamani na kulipia ghalama za matibabu, jaribuni mtaona.
 
Msitumiwe na Wanasiasa wanaotaka kujipatia kiki kwa maumivu yenu maana kitakachofuhata pia ni hasara kwenu....... Kuna njia sahihi na mbadala za kupata haki mnayodhani kuwa mmepokonywa na ni ya kiustaarabu kabisa na itaonyesha kuwa labda mmeelimika nayo ni Sheria - Mahakama basi

Ni ushauri mzuri lakini mahakama zetu zinaeleweka; bunge letu linaeleweka; hatutendewi haki hasa wanyonge! Kinachofurahisha ni huu uzalendo wetu ambao unasaidia sana ndugu au rafiki asife kwa njaa. Tukianza kufa lazima kitanuka tu na wala mtu hataambiwa akatafute haki ataitafuta yeye mwenyewe na huko atakutana na wenzake mpaka kieleweke.
 
Nawaunga mkono lakini !!!!! Hivyo virungu mtakavyo kula!!!!
 
Na mie nitakuweko kusaidia watakao umizwa
Nitakuwa na panadol na plaster za bure
Na tag ya Huduma ya Kwanza
 
Back
Top Bottom