Tetesi: Wanafunzi waliotimuliwa UDOM kuungana na BAVICHA tarehe 23 Julai

WaTz bd ni waoga sana wa maji ya washawasha na mabomu ya machoz
Hata hivo nahofia sana police wetu hawana huruma
 
Mnaomba kuendelea na chuo wakati mnarejesha kadi?
Hakuna mjinga wa kuwapokea.

Na huo ujinga mliojazwa na wajinga wenzenu mtaujutia cku hiyo.
 
najua hakuna mwenye ubavu wa kwenda huko, hizi zingine ni porojo tu siku ziende!!
 
Mnaomba kuendelea na chuo wakati mnarejesha kadi?
Hakuna mjinga wa kuwapokea.

Na huo ujinga mliojazwa na wajinga wenzenu mtaujutia cku hiyo.
Hakuna mwanafunzi wa kushiriki huo ujinga kabisa...
 
Hiyo imekaa vizuri dai haki na haki haiji hivi hivi ni kupambana na tukikomaa wanaachia
 
Huoga wetu wantanzania ndo umetufikisha apa jomo kenyatta watanzania maiti wakenya niwagonjwa maututi
 
You will extremely totally fail as your plan is highly politically oriented method.

you should consult the Judiciary on this matter, not advice from the opposite political alliance.
 
Hili bandiko la hawa wanafunzi limenifanya nitafakari upya kuhusu hili suala.

Kwa nini chuo kilidahili wanafunzi wengi hivyo karibia 8000, tena kwa intake ya kwanza. Hii ilikuwa kama Pilot project, Je inaanza kwa staili hii kweli? Ila kwa hali inavyoendelea pengine kuna siku tutajua kulikoni, hii si kawaida .
 
..Wewe ndio msemaji wao nini?
 
Tatizo vijana wakisikia washawasha wanakimbia ebu fanye mambo serious njoon na maji ili mabomu ya machoz yakianza tunawe, kama nikukamatwa hakuna gereza dodoma inayoweza beba watu zaid ya 500, hivyo wataachia tu, mbinu watakayotumia nikupiga virungu, vijana tutahakikisha tunatumia camera za simu ipasavyo kurekod matukio ya polis....
 

I am still struggling to figure out how you could actually be one of the brightest kids who became victims of injustice, if you cannot even articulate and put together a coherent action plan statement. If you indeed are, then the average and below-average students amongst the 7,000 kids must be scary! Your action plan statement is a mixed bag statement of internally inconsistent wishes.

Besides, smart students ought to know that politicizing your case in the planned manner just undermines your reinstatement prospects! ...I can only hope that I am wrong.

Good luck!
 
Sidhani kama itawasaidia kupata haki yenu. Jaribu kutumia mahakama! I am convinced that this is the best option to justice
Watumie mahakama ya wapi? Uwe specific wasije kupoteza muda wao bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…