Tarehe 23 inaweza kuweka historia nyingine kama ile ya mv....
Kwa hyo husomi Udom hadi uwe na Kadi?Mnaomba kuendelea na chuo wakati mnarejesha kadi?
Hakuna mjinga wa kuwapokea.
Na huo ujinga mliojazwa na wajinga wenzenu mtaujutia cku hiyo.
hahahahahahah kichapo gong studio! Nendeni mkatukumbushie ya mwebechai wajameni...Tumeimisi ile reality show!!!
Acha kukurupuka,soma vizuri mleta uzi anasemaje.Kwa hyo husomi Udom hadi uwe na Kadi?
We nijibu kadi inahusika vp na kurudishwa chuo? Kwa hyo unamaana wasiporudisha hizo kadi ndio watasamehewa?Acha kukurupuka,soma vizuri mleta uzi anasemaje.
I am still struggling to figure out how you could actually be one of the brightest kids who became victims of injustice, if you cannot even articulate and put together a coherent action plan statement. If you indeed are, then the average and below-average students amongst the 7,000 kids must be scary! Your action plan statement is a mixed bag statement of internally inconsistent wishes.
Besides, smart students ought to know that politicizing your case in the planned manner just undermines your reinstatement prospects! ...I can only hope that I am wrong.
Good luck!
Nilimsikia Mh. siku ile anafungua ujenzi wa maktaba UD alisema alikuwa anasubiri UDOM wagome awaonyeshe show. Sasa andamaneni na hao nyumbu hadi kwenye mkutano wake mkamshike sharubu muone maana toka kaingia magogoni hatujaona show yake hata moja.Mnaomba kuendelea na chuo wakati mnarejesha kadi?
Hakuna mjinga wa kuwapokea.
Na huo ujinga mliojazwa na wajinga wenzenu mtaujutia cku hiyo.
Nilimsikia Mh. siku ile anafungua ujenzi wa maktaba UD alisema alikuwa anasubiri UDOM wagome awaonyeshe show. Sasa andamaneni na hao nyumbu hadi kwenye mkutano wake mkamshike sharubu muone maana toka kaingia magogoni hatujaona show yake hata moja.
Hayo uliyosema ulitakiwa uwaambie waliowapa post hao wanafunziUsijumlishe na wenzio ambao hawana mpango wa kwenda dom.
ningekushauri tafuta namna kusoma five na six ili urudi udom ukiwa na sifa, Hii si enzi ya bora liende tunakwenda kwa ubora, wewe ni form four unataka ukamfundishe form four itawezekana wapi? kaa chini ufikiri ghalama utayolisababishia taifa kwa kwenda kudanga wanafumzi itawiana na ghalama unayodai umepoteza?
Kama unataka kuwa mwalimu strugle upate sifa za kukufanya ufikie adhima yako badala ya kuomba huruma ya wanasiasa mtandaoni.
Nawaasa na wanzako serikali hii si ya magumashi, na ukijaribu kupingana na ukweli utajikuta upo pabaya.
Kujiuza ilikuwa ni katika kuendeleza mojawapo ya shughuli zao za kila siku.Hao waliojiuza ili kupata hela ya kula na nauli kwani zile fedha za boom walizopewa walifanyia nini mpaka wakawa hawana hela kabisa kufikia hatua ya kujiuza?au walikuwa ndo mambo yao ya kujiuza siku zote?
Hata hivyo naiomba serikali iwatupie Jicho la huruma hawa watoto ili wale wenye sifa watafutiwe namna ya kuendelea na masomo yao!!
Kama mtu alikupa nafasi pasipo kustairi yaani hukupaswa kupewa ns ameamua kuichukua unapiga kelele za nini?Hayo uliyosema ulitakiwa uwaambie waliowapa post hao wanafunzi
Msitumiwe na Wanasiasa wanaotaka kujipatia kiki kwa maumivu yenu maana kitakachofuhata pia ni hasara kwenu....... Kuna njia sahihi na mbadala za kupata haki mnayodhani kuwa mmepokonywa na ni ya kiustaarabu kabisa na itaonyesha kuwa labda mmeelimika nayo ni Sheria - Mahakama basi
Mahakamabitchukua mda mrefu kupata haki yaoSidhani kama itawasaidia kupata haki yenu. Jaribu kutumia mahakama! I am convinced that this is the best option to justice