Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu hawa hawa ndio wanafiki wanakuja kulalamika humu kwamba mmomonyoko wa maadili ni mkubwa kwa vijana wao siku hizi ,kwa kuongezeka tabia za uzinzi ,kiburi ,ushoga , matumizi ya madawa ya kulevya na kukosa nidhamu kiujumla kwa hao teenagers waomkuu mimi siwezi igilia watu wazima kama wale hadi anapewa kipigo cha namna hiyo jua wazi kavuka mipaka. huyu analalama humu wala hajui kosa la mtoto ni lipi hadi kupewa adhabu kali namna hii na hapo waapo hadi wazazi wake kama clip inavyoonekana.
nikiwa na endelea na ujenzi wa nyumba yangu nilikuta watoto kati ya darasa la 3 au 4 wanapigana machine na wote wa kiume mmoja ndo kainama. katika haraki a kwamba nikamate hata mmoja niliambulia bukta ya shule moja na wakakimbia ebu piga picha awe ndo mtoto wako unajua kaenda shule kumbe wamo kwenye majengo ya watuwakifanya hayo maasi naamini usipothibiti hasira unaua. kwa kifupi malezi kwa sasa ni changamoto sana tujiulize kwann walimu zamani walikuwa hawaui wanafunzi kwa kipigo iweje leo?
Hata kama maadili yameshuka haifai kumpiga mtu kama nyoka mkuuHalafu hawa hawa ndio wanafiki wanakuja kulalamika humu kwamba mmomonyoko wa maadili ni mkubwa kwa vijana wao siku hizi ,kwa kuongezeka tabia za uzinzi ,kiburi ,ushoga , matumizi ya madawa ya kulevya na kukosa nidhamu kiujumla kwa hao teenagers wao
Hamna mwalimu anayependa kuadhibu , hata sisi tulikuwa watoto na tukafunzwa kuwa na nidhamu , ukileta ujinga na utovu wa nidhamu ,adhabu lazima ihusike
Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
Punguza hasira.Kuna mtu nje ya Tanzania na anayeishi kijijini labda huko Haiti akavaa jezi ya Yanga .mkuu? Mbona unatetea wahalifu?
Asante sanaHata kama siyo Tanzania kumfunga kamba binti mdogo na kumpiga kwa kumchangia ni ukatili.
Ulivyo pumbavu unasema eti waafrika tupo serious kuthibiti ngono?
Wewe utakuwa na utapiamlo akili yako haifanyi kazi sawa sawa.
Shenzi kabisa
Huyu wa USA nasikia kaokolewa na M23 huko mbuga za Vurunga Congo🙆🙆🙆Inasikitisha sana. Tumekuwa tukisikia walimu wakihusika kuwaua wanafunzi kwa vipigo na baadhi yao wameishafungwa gerezani na kuhukumiwa kunyongwa hadi kufa lakini huku mtaani nako hali si shwari.
Tazama mabaladhuli haya yanavyomuadhibu huyu binti bila huruma huku watu wazima wakishuhudia na kucheka wakichukua video wakatupie mtandaoni. Nchi hii kweli imefikia ufedhuli wa kiasi hiki? Mbona kuna baadhi ya watu wapo uraiani lakini wanaishi kama vile wapo jehanamu?
View attachment 2938392
Haya majitu yanamuonea binti mdogo asiyekuwa na hatia kwa kumfunga kamba na kumuadhibu kwa kiasi hiki kama vile nchi hii haina utawala wa sheria? Naomba vyombo vya sheria vichukue hatua kuwashughulikia wapuuzi hawa. Yaani wanamchapa binti kiasi hiki hadi wanammaliza nguvu za kike? Na utashangaa akiolewa asipate watoto yatakuwa yanakesha kwa Mwamposa kumuombea apate watoto wakati yenyewe ndiyo yamempa adhabu kali hadi yameua mayai yanayozalisha watoto.
Halafu tazama hilo shabiki la Utopolo jinsi linavyomchapa utadhani linaua nyoka! Majitu ya Yanga yana roho mbaya zaidi ya shetami. Hizi zote ni hasira za kufungwa na Azam. Yaani kufungwa yafungwe kiwanjani halafu hasira yanaenda kumalizia kwa binti wa watu asiyekuwa na hatia?
Tafadhali sana Dkt. Gwajima D naomba uchukue hatua haya mashenzi yakamaatwe yatiwe adabu. Hayawezi kuifanya nchi hii kama shamba la wanyama lisilokuwa na utawala wa sheria. Mambo ya kishenzi kama haya hayakubaliki duniani wala mbinguni. Haya majitu yakikamatwa yaadhibiwe zaidi ya yalivyomuadhibu huyu binti asiyekuwa na hatia. Naomba wanaoifahamu lugha hii inayoongewa na hawa wanaizaya watusaidie kutambua ni lugha ya kabila gani ili kuisaidia polisi kufanya upelelezi na kuwatia nguvuni wahalifu hawa wasiokuwa na chembe ya huruma.
yangabni bongo hebu tuambie kabila inaonekana unawajua wahalifu usiwateteeNa hiyo jezi ya Yanga huioni? Yanga wanapatikana nchi gani mkuu? Usiwatetee wahalifu
Kule nilipoitoa tumeulizana hatujapata jibu ndio maana nikaitupia humu ili tusaidiane kuwasaka hawa wahalifu mkuu.kwani mleta mada unaonaje hapo ulipoitoa hii video ukawauliza kuliko kuja na kitu hakieleweki.... kihusu kuwasaka unajipotezea muda tu
Una mtagg waziri hadi kwa mamba ambayo sio ya Tanzania??au ni waziri wa africa??Inasikitisha sana. Tumekuwa tukisikia walimu wakihusika kuwaua wanafunzi kwa vipigo na baadhi yao wameishafungwa gerezani na kuhukumiwa kunyongwa hadi kufa lakini huku mtaani nako hali si shwari.
Tazama mabaladhuli haya yanavyomuadhibu huyu binti bila huruma huku watu wazima wakishuhudia na kucheka wakichukua video wakatupie mtandaoni. Nchi hii kweli imefikia ufedhuli wa kiasi hiki? Mbona kuna baadhi ya watu wapo uraiani lakini wanaishi kama vile wapo jehanamu?
View attachment 2938392
Haya majitu yanamuonea binti mdogo asiyekuwa na hatia kwa kumfunga kamba na kumuadhibu kwa kiasi hiki kama vile nchi hii haina utawala wa sheria? Naomba vyombo vya sheria vichukue hatua kuwashughulikia wapuuzi hawa. Yaani wanamchapa binti kiasi hiki hadi wanammaliza nguvu za kike? Na utashangaa akiolewa asipate watoto yatakuwa yanakesha kwa Mwamposa kumuombea apate watoto wakati yenyewe ndiyo yamempa adhabu kali hadi yameua mayai yanayozalisha watoto.
Halafu tazama hilo shabiki la Utopolo jinsi linavyomchapa utadhani linaua nyoka! Majitu ya Yanga yana roho mbaya zaidi ya shetami. Hizi zote ni hasira za kufungwa na Azam. Yaani kufungwa yafungwe kiwanjani halafu hasira yanaenda kumalizia kwa binti wa watu asiyekuwa na hatia?
Tafadhali sana Dkt. Gwajima D naomba uchukue hatua haya mashenzi yakamaatwe yatiwe adabu. Hayawezi kuifanya nchi hii kama shamba la wanyama lisilokuwa na utawala wa sheria. Mambo ya kishenzi kama haya hayakubaliki duniani wala mbinguni. Haya majitu yakikamatwa yaadhibiwe zaidi ya yalivyomuadhibu huyu binti asiyekuwa na hatia. Naomba wanaoifahamu lugha hii inayoongewa na hawa wanaizaya watusaidie kutambua ni lugha ya kabila gani ili kuisaidia polisi kufanya upelelezi na kuwatia nguvuni wahalifu hawa wasiokuwa na chembe ya huruma.
KumbeWewe juha unajiita goodhearted?
Umesoma ulichoandika?
Wewe nani alikuharibu hadi ukanza kugawa 0?
Shenzi kabisa
kumbe wewe kazi kutukana watu tu humu jf nilifikiri mimi tu kumbe matusi ndio dini yako. Afu eti nikua natoka msikitini nikakuta watu wafturu maharage wrwe muislam gani imefunga na mdomoni yanatoka matusi kwa wenzio. Juha Shenzi. Pumbavu hii ndio lugha ya anaetoka kusali?Wewe juha unajiita goodhearted?
Umesoma ulichoandika?
Wewe nani alikuharibu hadi ukanza kugawa 0?
Shenzi kabisa
Hii adhabu ya Yanga dhidi ya Simba haitasahaulika, mlikataa mabango ona sasa mnaiangalia kwenye video!Inasikitisha sana. Tumekuwa tukisikia walimu wakihusika kuwaua wanafunzi kwa vipigo na baadhi yao wameishafungwa gerezani na kuhukumiwa kunyongwa hadi kufa lakini huku mtaani nako hali si shwari.
Tazama mabaladhuli haya yanavyomuadhibu huyu binti bila huruma huku watu wazima wakishuhudia na kucheka wakichukua video wakatupie mtandaoni. Nchi hii kweli imefikia ufedhuli wa kiasi hiki? Mbona kuna baadhi ya watu wapo uraiani lakini wanaishi kama vile wapo jehanamu?
View attachment 2938392
Haya majitu yanamuonea binti mdogo asiyekuwa na hatia kwa kumfunga kamba na kumuadhibu kwa kiasi hiki kama vile nchi hii haina utawala wa sheria? Naomba vyombo vya sheria vichukue hatua kuwashughulikia wapuuzi hawa. Yaani wanamchapa binti kiasi hiki hadi wanammaliza nguvu za kike? Na utashangaa akiolewa asipate watoto yatakuwa yanakesha kwa Mwamposa kumuombea apate watoto wakati yenyewe ndiyo yamempa adhabu kali hadi yameua mayai yanayozalisha watoto.
Halafu tazama hilo shabiki la Utopolo jinsi linavyomchapa utadhani linaua nyoka! Majitu ya Yanga yana roho mbaya zaidi ya shetami. Hizi zote ni hasira za kufungwa na Azam. Yaani kufungwa yafungwe kiwanjani halafu hasira yanaenda kumalizia kwa binti wa watu asiyekuwa na hatia?
Tafadhali sana Dkt. Gwajima D naomba uchukue hatua haya mashenzi yakamaatwe yatiwe adabu. Hayawezi kuifanya nchi hii kama shamba la wanyama lisilokuwa na utawala wa sheria. Mambo ya kishenzi kama haya hayakubaliki duniani wala mbinguni. Haya majitu yakikamatwa yaadhibiwe zaidi ya yalivyomuadhibu huyu binti asiyekuwa na hatia. Naomba wanaoifahamu lugha hii inayoongewa na hawa wanaizaya watusaidie kutambua ni lugha ya kabila gani ili kuisaidia polisi kufanya upelelezi na kuwatia nguvuni wahalifu hawa wasiokuwa na chembe ya huruma.
Wewe ndo umeonesha ni choo kabisa kwa hili andiko. Ukidhani umeongea jambo la maana. Unaonesha zaidi jinsi ulivyo na ushetani.Huyo mama yk mdogo ukimkuta sehemu mbake. Kisasi ni haki.
Na hizi zimekuwepo miaka na miaka. Na hakuna ambaye amekufa kwa adhabu hizo. Huyo bint unaweza kuta kafanya jambo baya sana katika jamii. Ambalo jamii inaona ili iendelee kuishi naye apatiwe naye haki yake. Shida tu hatujui hiyo lugha inayozungumzwa.Hakuna mtu anaeadhibiwa bila kosa hizo ni adhabu za kimilia huyo binti itakuwa alikaidi mambo ya kijamii mfano kutoshiriki misiba,au alikosa heshima kwa wakubwa au umalaya nk.
Serikali haingilii adhabu za kimila
Anapigwa na akili yake inakaa sawa. Nyie ambao hakupata viboko ndo miaka hii mnakuwa mashoga n.kHata kama maadili yameshula haifai kumpiga mtu kama nyoka mluu
Huu ni katili wa kiumasikini.Inasikitisha sana. Tumekuwa tukisikia walimu wakihusika kuwaua wanafunzi kwa vipigo na baadhi yao wameishafungwa gerezani na kuhukumiwa kunyongwa hadi kufa lakini huku mtaani nako hali si shwari.