Wanafunzi wanauliwa na walimu kwa vipigo na wengine wanachora ramani za kutorokea USA; tazama huyu hapa anauliwa tena!

Halafu hawa hawa ndio wanafiki wanakuja kulalamika humu kwamba mmomonyoko wa maadili ni mkubwa kwa vijana wao siku hizi ,kwa kuongezeka tabia za uzinzi ,kiburi ,ushoga , matumizi ya madawa ya kulevya na kukosa nidhamu kiujumla kwa hao teenagers wao

Hamna mwalimu anayependa kuadhibu , hata sisi tulikuwa watoto na tukafunzwa kuwa na nidhamu , ukileta ujinga na utovu wa nidhamu ,adhabu lazima ihusike

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
 
Hata kama maadili yameshuka haifai kumpiga mtu kama nyoka mkuu
 
Kuna mtu nje ya Tanzania na anayeishi kijijini labda huko Haiti akavaa jezi ya Yanga .mkuu? Mbona unatetea wahalifu?
Punguza hasira.
Ukienda vijijini ndani huko hapa Tanzania unakuta watu wamevaa jezi za TP Mazembe au za Mamelod.
Ukienda Brundi, vijijini unakuta Jezi za Yanga au Simba zimejaa.
Wachuuzi hupeleka Jezi replica (fake) minadani vijijini.
 
Hata kama siyo Tanzania kumfunga kamba binti mdogo na kumpiga kwa kumchangia ni ukatili.

Ulivyo pumbavu unasema eti waafrika tupo serious kuthibiti ngono?

Wewe utakuwa na utapiamlo akili yako haifanyi kazi sawa sawa.

Shenzi kabisa
Asante sana
 
Huyu wa USA nasikia kaokolewa na M23 huko mbuga za Vurunga CongoπŸ™†πŸ™†πŸ™†
 
Huyu wa USA nasikia kaokolewa na M23 huko mbuga za Vurunga CongoπŸ™†πŸ™†πŸ™†
Alikamatiwa huko Kenya mkuu. Ramani yake aliichora vibaya
 
kwani mleta mada unaonaje hapo ulipoitoa hii video ukawauliza kuliko kuja na kitu hakieleweki.... kihusu kuwasaka unajipotezea muda tu
 
kwani mleta mada unaonaje hapo ulipoitoa hii video ukawauliza kuliko kuja na kitu hakieleweki.... kihusu kuwasaka unajipotezea muda tu
Kule nilipoitoa tumeulizana hatujapata jibu ndio maana nikaitupia humu ili tusaidiane kuwasaka hawa wahalifu mkuu.
 
Una mtagg waziri hadi kwa mamba ambayo sio ya Tanzania??au ni waziri wa africa??
 
Wewe juha unajiita goodhearted?

Umesoma ulichoandika?

Wewe nani alikuharibu hadi ukanza kugawa 0?

Shenzi kabisa
Kumbe
Wewe juha unajiita goodhearted?

Umesoma ulichoandika?

Wewe nani alikuharibu hadi ukanza kugawa 0?

Shenzi kabisa
kumbe wewe kazi kutukana watu tu humu jf nilifikiri mimi tu kumbe matusi ndio dini yako. Afu eti nikua natoka msikitini nikakuta watu wafturu maharage wrwe muislam gani imefunga na mdomoni yanatoka matusi kwa wenzio. Juha Shenzi. Pumbavu hii ndio lugha ya anaetoka kusali?
 
Hii adhabu ya Yanga dhidi ya Simba haitasahaulika, mlikataa mabango ona sasa mnaiangalia kwenye video!
 
Hakuna mtu anaeadhibiwa bila kosa hizo ni adhabu za kimilia huyo binti itakuwa alikaidi mambo ya kijamii mfano kutoshiriki misiba,au alikosa heshima kwa wakubwa au umalaya nk.
Serikali haingilii adhabu za kimila
Na hizi zimekuwepo miaka na miaka. Na hakuna ambaye amekufa kwa adhabu hizo. Huyo bint unaweza kuta kafanya jambo baya sana katika jamii. Ambalo jamii inaona ili iendelee kuishi naye apatiwe naye haki yake. Shida tu hatujui hiyo lugha inayozungumzwa.
 
Huu ni katili wa kiumasikini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…