Wanafunzi wawili wafariki kwa kukosa hewa wakitoa maharage kwenye pipa

Dogo baada ya kusikia kelele za mwenzake aliyekua ndani ya Pipa,akaingia kwenye Pipa ili kumuokoa mwenzake,
Dogo amekufa kishujaa sana,

R.I.P vijana.
 
Uongozi wa shule uchukuliwe hatua
 
Uko sahihi The622.

Serikali inatakiwa kuwa na mkakati thabiti na mahsusi wa kuhamasisha Usalama wa Afya na Mazingira kwenye shule zetu, kwani nazo ni mahali pa kazi kama maeneo mengine yoyote ya kazi.

Nadhani taasisi kama OSHA ingejiongeza kwenye hili, kutoa elimu na kuhamasisha.. 'sensitization and awareness' ni muhimu sana.

Uhamasishaji wa elimu ya usalama barabarani unafanyika mashuleni na matokeo kwa kiasi kikubwa ni chanya.

Vivyo hivyo elimu ya Usalama, Afya na Mazingira inahitajika sana mashuleni kwa kuwa huko nako ni mahala pa kazi (work place)
 
Siwaelewi km Mimi Ndo mwenye Mtoto ama zao ,ama zangu aseehh
Shule Ina wapishi,wafanyakazi how comes wamtume mwanafunzi hukooo....
Walimu tuna uzembe mnooo!
Unajifanya mjuaji kishenzi!

Unajua hiyo shule ina wapishi wangapi?

Kwamba mpishi peke yake aende stoo, abebe magunia ya unga, maharage mpaka jikoni (sisi shuleni gunia moja tulikua tunabeba wanafunzi sita na bado tunachemka)

Awashe moto, apike (chakula cha watu 1500+).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…