Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mabadiliko hewa.Simba imefanya lini mabadiliko?
Kama bakuli lililotembezwa pale tulipo wapiga za mbavu kwenye usaili wa Shabani Djuma ehh?Uzuri ndugu zetu nyumbu muda wa usajili ukifika watatembeza bakuli kama kawaida yao
Tupo hapa
Utaratibu upi umefuatwa, unajua mpaka kupitisha mambo gani yanafanyika.Mabadiliko ya yanga yanafata utaratibu..
Hayana ujanja ujanja wa wahindi
Acheni unafiki nyie wasahabiki mssndazi wa mikia fc, kutwa nzima na kila uchwao kuanzisha thead zilizo Hasi na Yanga sc, huo muda mnaotumia kuanzisha thread za kichonganishi dhidi ya Yanga fc utumieni kufanya vitu vya maana nadhani itawasaidia zaidi. Mbona mnashindwa kumkanya Msemaji wenu Manara anayedhalilisha watu kijinsia? Au Hilo hamjaliona? Kwenye mambo mabaya yahusuyo klab yenu mnajifanya mabubu, kazi Ni propaganda chafu dhdi ya Yanga sc, tumeisha wagundua na Sasa tutaanza kuwapuuza.Habari Tanzania!
Wakati Klabu ya Simba inakwenda kufanya mabadiliko ya Kiwendeshaji wa Klabu kulikuwa na tafarani nyingi sana za kukatisha tamaa kutoka baadhi ya Waandishi wa Habari za Michezo na Watangazaji pamoja na Wachambuzi, kama haitoshi walikwenda mbali zaidi kudai Uwekezaji haifai na MO anataka kumiliki Simba kwa manufaa yake.
Lakini Wanasimba waliamini kile ambacho wanakifanya na wakajikita kwenye ule msemo kuwa Mchonga Njia Siku Zote Huonekana wa Kushangaza Ila Wapitao Hupewa Hongera.
Lakini cha kushangaza wale Waandishi walikuwa wakiponda Uwekezaji upande wa Simba SC ndo hao hao wanapongeza Uwekezaji upande wa Yanga na kusifia kama vile ni jambo jipya Tanzania ilhali mchakato ni ule kama wa Simba SC 49/51.
Wale Waandishi wa Michezo walikuwa wakiongoza kundi la kuwahoji Wapinga mabadiliko Simba na kumpa muda zaidi Mzee Kilomoni na kumsifia kuwa yupo sahihi, tuwaone tena upande wa Yanga wakifuatwa na kuwahoji wapinga mabadiliko hasa wale Wazee walikuwa na Press Conference makao makuu.
Katika picha mstari wa mwisho hapo, Mzee licha ya kuhudhuria Mkutano lakini hakuthubutu kamwe kunyosha mkono wake kuunga mkono mabadiliko, amepewe muda tusikie maoni yao akiwakilisha Wazee wenzake.
Haiwezekani jambo liungwe mkono asilimia [emoji817] hata kama ni lenye kuleta mafanikio. Hongera sana Simba SC kwa kuwa mfano wa kuigwa kuelekea kwenye mafanikio ya soka Tanzania.
View attachment 1834292
Kitendo Cha Manara kumdhalilisha Muandishi wa habari Tena wa like mbona hujakikemea? Mnatiki mkubwa wewe, au wewe ndiyo Manara mwenyeweKwani hujasoma ambayo nimeandika (nimesema) kwa Waandishi hapo?
Ni kweli kabisa Hawa wazee wametuchelewesha Sana, namkumbusha huyo mnatiki aliyeanzisha Uzi huu kuwa Sera ya mabadiliko ya kuemdesha clabu Cha mpira kisasa ilianzia kwetu Yanga sc enzi zile za Castro Mpondela baadae Mh. Abas Tarimba, Ila kina Mzimba and company ndiyo walitukwamisha. Nyie Mikia hii Sera mmekopi kwetu na bahati mbaya mmeikopy Vijaya kwa papara zenu niamini na muda utaongea na hapo ndiyo unafiki wenu utajidhihiri wazi.Mzee yeyote ataejaribu kutukwamisha sii yanga tunalala nae mbele, haiwezekani team imekua ivo ilivo kwa ujinga wao wenyewe halafu bado wanataka kuendeleza ujinga wao. Tushaumia sana imetosha na Siku zote kwenye mabadiliko yoyote lazima kuna wachache wataumia ili wengi wafaidike.
Mnaumia sana, na bado. Eti Sera ya mabadiliko imeanzia kwenu wanafiki wakubwa nyie. Hivi enzi kina Castro Mpondela au Abas Tarimba baba yako na mama walikuwa bado wanachimbiana? Kama hivyo ndivyo Basi so makosa yenu maana itakuwA Ni vichanga kwenye historian ya mpira wa nchi hii.hakuna tofauti walichofanya yanga zaidi ya kucopy na kupaste toka Simba, hata ya wadhamini watatu ni sheria iliyopitishwa na wizara kupitia msajili ndio maana FCC wakawa wanahoji.
Yanga waliposema wamemwajili Senzo na wanashirikia na laliga nilitegemea wanakuja na kitu kipya kumbe ni porojo afadhali wangekuja Simba wakawauliza tu namna walivyofanya mabadiliko kuliko usanii wanaotumia.
Fcc mnajikwamisha wenyewe na unafiki wenu. Kwanza hizo bilioni 20 huyo mdosi anaziweka lini? Au mmeridhika aendelee kuwa mfadjiri Kama kawa na mlivyo Mbumbumbu mnajifanya hamlioni Hilo. Siku atakapowapiga talaka huyo mdosi wenu ndiyo akili itawakaa sawa.Kama nyinyi munavyohaha kule FCC kuhakikisha mabadiliko ya Simba yanaendelea kukwama.
Pole Sana Mbumbumbu namba moja katika ubora wako. Ulikuwa unaeshimika Sana jukwaani lakini kwa hili hapana, umeonyesha unafiki kiwango Cha SGRUtaratibu upi umefuatwa, unajua mpaka kupitisha mambo gani yanafanyika.
Yaani kuchukua watu na kuwajaza kwenye Ukumbi harafu wakasema Jamani tunapitisha sawa wakanyosha mkono ndiyo sawa..!
Simba ishakuwa brand kubwa usitegemee itafeli aisee ngoja tukusanye matrophies mbele yako labda utasense our dominanceNi kweli kabisa Hawa wazee wametuchelewesha Sana, namkumbusha huyo mnatiki aliyeanzisha Uzi huu kuwa Sera ya mabadiliko ya kuemdesha clabu Cha mpira kisasa ilianzia kwetu Yanga sc enzi zile za Castro Mpondela baadae Mh. Abas Tarimba, Ila kina Mzimba and company ndiyo walitukwamisha. Nyie Mikia hii Sera mmekopi kwetu na bahati mbaya mmeikopy Vijaya kwa papara zenu niamini na muda utaongea na hapo ndiyo unafiki wenu utajidhihiri wazi.
Hayo Ni maneno tu, dominance ipi mliyokuwa nayo. Bila mbeleko ya kina Karia Simba kwa ligi yetu si lolote so chochote. Brand mnakuwa na watu wa ovyo Kama kina Mropokaji wenu, na wasahabiki pia mshakuwa wsropokaji tu hamna jipya.Simba ishakuwa brand kubwa usitegemee itafeli aisee ngoja tukusanye matrophies mbele yako labda utasense our dominance
Karia alikuwepo Airport kwenye kuwabeba wachezaji wenu kwa machela wale wa mafungu?Hayo Ni maneno tu, dominance ipi mliyokuwa nayo. Bila mbeleko ya kina Karia Simba kwa ligi yetu si lolote so chochote. Brand mnakuwa na watu wa ovyo Kama kina Mropokaji wenu, na wasahabiki pia mshakuwa wsropokaji tu hamna jipya.
we msenge baridi kama unawashwa nenda sehemu nyingine ukatafute wanaume, kuna sehemu uliona nimetukanaMnaumia sana, na bado. Eti Sera ya mabadiliko imeanzia kwenu wanafiki wakubwa nyie. Hivi enzi kina Castro Mpondela au Abas Tarimba baba yako na mama walikuwa bado wanachimbiana? Kama hivyo ndivyo Basi so makosa yenu maana itakuwA Ni vichanga kwenye historian ya mpira wa nchi hii.
Tushawaazoea na kumbuka Mara nyingi status ya mtu na upeo wake wa fikra utaujua kutokana argument zake, hivyo Wala sikushangai ndugu maana mdomo Mali yako unaweza bwabwaja lolote kulingana fikra zako na upeo wako unapofikia.we msenge baridi kama unawashwa nenda sehemu nyingine ukatafute wanaume, kuna sehemu uliona nimetukana
We usianze kulalamika kujiona una busara, hivi kuingiza wazazi kwenye hoja hii ulikuwa na maana gani?Tushawaazoea na kumbuka Mara nyingi status ya mtu na upeo wake wa fikra utaujua kutokana argument zake, hivyo Wala sikushangai ndugu maana mdomo Mali yako unaweza bwabwaja lolote kulingana fikra zako na upeo wako unapofikia.