Wanahabari wa Michezo wawahoji wapinga mabadiliko Yanga kama walivyokuwa wakifanya kwa Simba SC

Simba imefanya lini mabadiliko?
Mabadiliko hewa.

Kilomoni mpaka sasa hivi amebaki na makaratasi ya klabu. Mo akaamua kutumia nama ya kumjengea nyumba lakini wapi.

Wanampango wa kufoji makaratasi ili yamuwezeshe Mo kutumia klabu kama assets pale anapotaka kuomba mkopo benki kwa ajili ya kampuni yake.
 
Mabadiliko ya yanga yanafata utaratibu..

Hayana ujanja ujanja wa wahindi
Utaratibu upi umefuatwa, unajua mpaka kupitisha mambo gani yanafanyika.

Yaani kuchukua watu na kuwajaza kwenye Ukumbi harafu wakasema Jamani tunapitisha sawa wakanyosha mkono ndiyo sawa..!
 
Acheni unafiki nyie wasahabiki mssndazi wa mikia fc, kutwa nzima na kila uchwao kuanzisha thead zilizo Hasi na Yanga sc, huo muda mnaotumia kuanzisha thread za kichonganishi dhidi ya Yanga fc utumieni kufanya vitu vya maana nadhani itawasaidia zaidi. Mbona mnashindwa kumkanya Msemaji wenu Manara anayedhalilisha watu kijinsia? Au Hilo hamjaliona? Kwenye mambo mabaya yahusuyo klab yenu mnajifanya mabubu, kazi Ni propaganda chafu dhdi ya Yanga sc, tumeisha wagundua na Sasa tutaanza kuwapuuza.
 
Kwani hujasoma ambayo nimeandika (nimesema) kwa Waandishi hapo?
Kitendo Cha Manara kumdhalilisha Muandishi wa habari Tena wa like mbona hujakikemea? Mnatiki mkubwa wewe, au wewe ndiyo Manara mwenyewe
 
Ni kweli kabisa Hawa wazee wametuchelewesha Sana, namkumbusha huyo mnatiki aliyeanzisha Uzi huu kuwa Sera ya mabadiliko ya kuemdesha clabu Cha mpira kisasa ilianzia kwetu Yanga sc enzi zile za Castro Mpondela baadae Mh. Abas Tarimba, Ila kina Mzimba and company ndiyo walitukwamisha. Nyie Mikia hii Sera mmekopi kwetu na bahati mbaya mmeikopy Vijaya kwa papara zenu niamini na muda utaongea na hapo ndiyo unafiki wenu utajidhihiri wazi.
 
Mnaumia sana, na bado. Eti Sera ya mabadiliko imeanzia kwenu wanafiki wakubwa nyie. Hivi enzi kina Castro Mpondela au Abas Tarimba baba yako na mama walikuwa bado wanachimbiana? Kama hivyo ndivyo Basi so makosa yenu maana itakuwA Ni vichanga kwenye historian ya mpira wa nchi hii.
 
Kama nyinyi munavyohaha kule FCC kuhakikisha mabadiliko ya Simba yanaendelea kukwama.
Fcc mnajikwamisha wenyewe na unafiki wenu. Kwanza hizo bilioni 20 huyo mdosi anaziweka lini? Au mmeridhika aendelee kuwa mfadjiri Kama kawa na mlivyo Mbumbumbu mnajifanya hamlioni Hilo. Siku atakapowapiga talaka huyo mdosi wenu ndiyo akili itawakaa sawa.
 
Utaratibu upi umefuatwa, unajua mpaka kupitisha mambo gani yanafanyika.

Yaani kuchukua watu na kuwajaza kwenye Ukumbi harafu wakasema Jamani tunapitisha sawa wakanyosha mkono ndiyo sawa..!
Pole Sana Mbumbumbu namba moja katika ubora wako. Ulikuwa unaeshimika Sana jukwaani lakini kwa hili hapana, umeonyesha unafiki kiwango Cha SGR
 
Simba ishakuwa brand kubwa usitegemee itafeli aisee ngoja tukusanye matrophies mbele yako labda utasense our dominance
 
Simba ishakuwa brand kubwa usitegemee itafeli aisee ngoja tukusanye matrophies mbele yako labda utasense our dominance
Hayo Ni maneno tu, dominance ipi mliyokuwa nayo. Bila mbeleko ya kina Karia Simba kwa ligi yetu si lolote so chochote. Brand mnakuwa na watu wa ovyo Kama kina Mropokaji wenu, na wasahabiki pia mshakuwa wsropokaji tu hamna jipya.
 
Karia alikuwepo Airport kwenye kuwabeba wachezaji wenu kwa machela wale wa mafungu?

Yaani Kikwete pamoja na kuwapa maarifa bado mnaweweseka tu

Badala ya kutengeneza Team mnataka TFF wawapewe ushindi.
 
we msenge baridi kama unawashwa nenda sehemu nyingine ukatafute wanaume, kuna sehemu uliona nimetukana
 
we msenge baridi kama unawashwa nenda sehemu nyingine ukatafute wanaume, kuna sehemu uliona nimetukana
Tushawaazoea na kumbuka Mara nyingi status ya mtu na upeo wake wa fikra utaujua kutokana argument zake, hivyo Wala sikushangai ndugu maana mdomo Mali yako unaweza bwabwaja lolote kulingana fikra zako na upeo wako unapofikia.
 
We usianze kulalamika kujiona una busara, hivi kuingiza wazazi kwenye hoja hii ulikuwa na maana gani?

Umtajie wazazi wake kwa dhihaka halafu yeye aridhike, hamuwezi kujenga hoja bila kutaja wazazi kwanini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…