Wanahabari wetu ni dhaifu sana

Nyambafuuu achana na Mambo ya uandishi komaa na kazi yako..hujui tunakutana na Nini huko kwenye utafutaj habar wetu..tumefikishwa hapa na mazingira yanayotuunguka Kama ambavyo hao kina ulimwengu walivyokuzwa na mazingira..sote tunaakil Ila mazingira ya kazi ni tofaut
 
Lakini tusiwalaumu,Dola imechangia sana anguko lao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Shida sio dola bali wanahabari wenyewe, dola inafanya hivyo kutafuta nafuu, hakuna mtu anaependa challenge. Waandishi habari hawaachi kufanya kazi Yao hata kwenye tawala kakamavu na korofi kama za makaburu, Iraq, Syria, Afghanistan, Iran, Venezuela, Marekani, England, nk, wanatekeleza majukumu Yao hata kwenye vita na sehemu hatarishi kabisa. Watawala wanatikisa mikia kama wakiona nchi Ina waandishi waoga kama wetu, wanarelax bila hofu.

Haki haitolewi bali inachukuliwa.
 
Sio kweli bhana, huo ni woga TU, akina ulimwwngu walichanyang'aganywaga hata uraia lakini hadi Leo bado wanasimamia kanuni za uandishi wao bila woga. Utaua wangapi?
 
Ukweli unashangaza zaidi kuliko uongo.
 
Unafungulia redio station kumsikiliza dida, sijui Dr sumbuka, yaani kichefuchefu kitupu
 
Hakuna mwanahabari Tanzania, ni form 4 and 76 fasilures wanatafuta kuganga njaa. Hakuna Mwandishi wa habari, ni vurugu tupu! (ukiwaondoa akina Jeneralli et al) wengine ni tupa kule
 
Kuna jamaa aliwaonga mhandishi wa habari siku moja kumchafua mkuu wa idara fulani kwa kumchafua na kumzushia mambo ya uongo. Baadaye yule mwandishi aliitwa ili akaonyeshe hayo aliyoandika na ilikuwa ni aibu tu. Tangu siku hiyo ninakuwa mvivu sana kusoma magazeti kwa ajili ya mambo wanayoandika ni kwa ajili tu ya kuuza gazeti lakini habari nyingi hazina ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…