Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Inawezekana hii ni biashara kwa wenzetuMpaka wateuliwe na ndo wataacha uanaharakati!
Hii ya zamani unaijua?Mpaka Katiba mpya ipatikane
Inawezekana Kuna biashara wanafanya ya kukosoaMzee kufa kufaana,kukosea kwa Magufuli ndo kulikua fursa kubwa kwao...hivyo kupatia kwa mama kutawapoteza elewa hivyo.
Unafanyaaje harakati kwa kitu ambacho kipo sawa?Uanaharakati ni maisha au kazi kama kazi zingine, harakazi zikifika mwisho maisha yataendeleaje?
Atake asitake tutamwondolea ukomo...............hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!Nimeshangaa kuona bado wale wanaojiita wanaharakati kutokubali serikali ya mama.
Vitu ambavyo walikuwa wanavilalamikia mama samia kishaonyesha njia ya kuvitatua, Ila bado hawataki.
Nazidi kushangaa kwa nini ni Kama wanalazimishaa hivi kumkosoa mama? Au ni biashara hii? Naona sio kawaida
Au kuna tatizo lingine zaidi ya Yale mliokuwa mnalalamikia?
Ni kwamba mtu asipokosoa Kuna kitu anakosa? Naona nguvu inatumika Sana kumkosoa mama samia.
Mama Samia shikilia hapohapo, sisi tunatuelewa usikatishwe tamaa wewe ni shujaa.
Kanyaga twende............
Ndio nimeisoma vizuri.Hii ya zamani unaijua?
Awanyooshe tu. Huyo ndiyo Rais wetu na wanaomtenngeneza kwa 2025 wataangukia pua. Mama imara kama chuma cha PuaNimeshangaa kuona bado wale wanaojiita wanaharakati kutokubali serikali ya mama.
Vitu ambavyo walikuwa wanavilalamikia mama samia kishaonyesha njia ya kuvitatua, Ila bado hawataki.
Nazidi kushangaa kwa nini ni Kama wanalazimishaa hivi kumkosoa mama? Au ni biashara hii? Naona sio kawaida
Au kuna tatizo lingine zaidi ya Yale mliokuwa mnalalamikia?
Ni kwamba mtu asipokosoa Kuna kitu anakosa? Naona nguvu inatumika Sana kumkosoa mama samia.
Mama Samia shikilia hapohapo, sisi tunatuelewa usikatishwe tamaa wewe ni shujaa.
Kanyaga twende............
Naunga mkono hoja,mama apite 2025 bila kupingwaAtake asitake tutamwondolea ukomo...............hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!
Ebu mwambie huyu mjinga struggle has no End.Uanaharakati ni maisha au kazi kama kazi zingine, harakazi zikifika mwisho maisha yataendeleaje?
Kuna tatizo wapi?Ndio nimeisoma vizuri.
2025 tutamchagua tena ili atize awamu 2. Hivyo jiandaeni 2030.Atake asitake tutamwondolea ukomo...............hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!
Struggle za nini ikiwa yote unayotaka unapewa?E
Ebu mwambie huyu mjinga struggle has no End.