Wanaharakati bado hawakubali, kwani kuna tatizo lingine?

Dawa yao nao wangepewa teuzi tuone wakatavyofanya

Ova
 
Mzee kufa kufaana,kukosea kwa Magufuli ndo kulikua fursa kubwa kwao...hivyo kupatia kwa mama kutawapoteza elewa hivyo.
Hiyo ndio point! Watanzania tustukeeee!! Hawa wana malengo yao ovu kabisa.
 
Mzee kufa kufaana,kukosea kwa Magufuli ndo kulikua fursa kubwa kwao...hivyo kupatia kwa mama kutawapoteza elewa hivyo.
Yes. Yaani wao wanataka mama afuate Kila wanachosema wao, akisema mtumbue huyu Basi mama afanye hivyohivyo. Na wanahisi Kama Samia akifanya vyote Basi wao watapoteza title zao, so wamebaki kumlaumu tu kwa Kila kitu.
 
Hilo ndilo nalooona, kuwa huenda Kuna kitu watakikosa ikiwa Samia akiendelea vizuri
 
Back
Top Bottom