Yalama wa Kizimkazi amebakiwa na akili ya kuendea bathroom tu!Mwanaharakati wa Kenya, Hussein Khalidi amesema kuwa wanaharakati wa Afrika Mashariki hawatishwi na kauli ya Rais wa Tanzania, Saia Suluhu Hassan ya kuwaonya Gen-Z wa Afrika Mashariki kuwa watachapwa viboko kila watakapokwenda.
Soma Pia:
Ameyasema hayo leo Mei 5, katika mahojiano yake na kituo cha radio cha Mo Radio 88.2FM Mombasa nchini Kenya.
Mimi najibu kicwa cha mada; sijasoma yaliyo chini yake.Mwanaharakati wa Kenya, Hussein Khalidi amesema kuwa wanaharakati wa Afrika Mashariki hawatishwi na kauli ya Rais wa Tanzania, Saia Suluhu Hassan ya kuwaonya Gen-Z wa Afrika Mashariki kuwa watachapwa viboko kila watakapokwenda.
Soma Pia:
Ameyasema hayo leo Mei 5, katika mahojiano yake na kituo cha radio cha Mo Radio 88.2FM Mombasa nchini Kenya.
Kuna maisha baada ya uraisWanaharakati au mamluki na vibaraka nonsense wa mabwenyenye ya magharibi?
kwani hujui hata kabla ya urais maisha yalikuwepo gentleman?Kuna maisha baada ya urais
Ohooo !
Ova
Mshauri sasa na huyo mama yako muuaji aende akahutubie bunge la Kenya kama atatoboa. Wewe kazi yako ni kula mavi ya Samuya tu na kichwani umejaza kamasi tu, Kenge wewe!Wanaharakati au mamluki na vibaraka nonsense wa mabwenyenye ya magharibi?
tuliza mihemko nonsense bas gentleman,Mshauri sasa na huyo mama yako muuaji aende akahutubie bunge la Kenya kama atatoboa. Wewe kazi yako ni kula mavi ya Samuya tu na kichwani umejaza kamasi tu, Kenge wewe!
Wewe unadhani bunge la Kenya ni kama hivyo vikao vyenu vya ccm mnavyofanyia kwenye jengo la bunge na kulipana kodi zetu tu kisengekisenge? Kwanza huna akili wewe kima, huna credibility ya kujenga hoja na mimi, pumbavu!tuliza mihemko nonsense bas gentleman,
Dr.Samia hana haja ya kuhutubia bunge la kikabila gentleman ingawa hakuna wa kumzuia
una fikra nonsense sana gentleman, ambazo zinaexpose jinsi ulivyo na negativity mindset very useless kwenye maisha ya kawaida kabisa katika siasa,Wewe unadhani bunge la Kenya ni kama hivyo vikao vyenu vya ccm mnavyofanyia kwenye jengo la bunge na kulipana kodi zetu tu kisengekisenge? Kwanza huna akili wewe kima, huna credibility ya kujenga hoja na mimi, pumbavu!