Walioleta Uhuru walikuwa wanasiasa hawakuwa wahuni waliojificha kwenye uanaharakati.Hata Nyerere aliacha kazi kwa uwazi huku akisisitiza anakwenda kufanya siasa kwenye chama cha siasa.Hakuna wanaharakati kuna wachumia tumboJapo walikuwepo wengi lakini mfano mzuri ni oscar kambona.
Nadhani wanaharakati ni watu muhimu sana katika taifa hili wanahitaji kupewa nafasi na tuwaunge mkono.View attachment 1304709
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya harakati za uhuru tulianza kazi ya kuleta maendeleo nchini ! Hawa wahuni wa sasa harakati zao ni za nini ? Kama sio za kuturudisha ukolonini kwa mlango wa nyuma ! JPM PIGA KAZI BABA, WATAKUELEWA TUUU !Japo walikuwepo wengi lakini mfano mzuri ni oscar kambona.
Nadhani wanaharakati ni watu muhimu sana katika taifa hili wanahitaji kupewa nafasi na tuwaunge mkono.View attachment 1304709
Sent using Jamii Forums mobile app
Walioleta Uhuru walikuwa wanasiasa hawakuwa wahuni waliojificha kwenye uanaharakati.Hata Nyerere aliacha kazi kwa uwazi huku akisisitiza anakwenda kufanya siasa kwenye chama cha siasa.Hakuna wanaharakati kuna wachumia tumbo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukoloni ungalipo tofauti ni Rangi ndo kilichobadilika angalau hata wakoloni weupe walituletea maendeleoBaada ya harakati za uhuru tulianza kazi ya kuleta maendeleo nchini ! Hawa wahuni wa sasa harakati zao ni za nini ? Kama sio za kuturudisha ukolonini kwa mlango wa nyuma ! JPM PIGA KAZI BABA, WATAKUELEWA TUUU !
Hujui siasa wewe wanaharakati hawakwepeki,vilabu vya simba na Yanga havikuwa vyama vya siasa ili vilikuwa vinahifadhi wanaharakati wakipigania uhuru kwa kujificha kwenye hivyo vilabu,vivyo hivyo na Vyama vya Wafanyakazi ,Mzee Kawawa n.kWalioleta Uhuru walikuwa wanasiasa hawakuwa wahuni waliojificha kwenye uanaharakati.Hata Nyerere aliacha kazi kwa uwazi huku akisisitiza anakwenda kufanya siasa kwenye chama cha siasa.Hakuna wanaharakati kuna wachumia tumbo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui siasa wewe wanaharakati hawakwepeki,vilabu vya simba na Yanga havikuwa vyama vya siasa ili vilikuwa vinahifadhi wanaharakati wakipigania uhuru kwa kujificha kwenye hivyo vilabu,vivyo hivyo na Vyama vya Wafanyakazi Mzee Kawawa alikitumia kudai uhuruWalioleta Uhuru walikuwa wanasiasa hawakuwa wahuni waliojificha kwenye uanaharakati.Hata Nyerere aliacha kazi kwa uwazi huku akisisitiza anakwenda kufanya siasa kwenye chama cha siasa.Hakuna wanaharakati kuna wachumia tumbo
Sent using Jamii Forums mobile app
Tabutupu,Japo walikuwepo wengi lakini mfano mzuri ni Oscar kambona.
Nadhani wanaharakati ni watu muhimu sana katika taifa hili wanahitaji kupewa nafasi na tuwaunge mkono.
View attachment 1304709
Sent using Jamii Forums mobile app
Tabutupu,
Hili bandiko limekosewa.
Oscar Kambona hakuwapo katika kuunda TANU tarehe 7 Julai 1954 wala hakuhusika katika mpango wowote ndani ya TAA wa kuunda chama cha siasa.
Waliohusika na kumtia Nyerere katika TANU wanafahamika na historia hii sasa si ngeni tena.
Nimeieleza hapa Majlis mara nyingi sana.
View attachment 1305221Hamza Mwapachu na Abdul Sykes ndiyo waliomuingiza Nyerere katika uongozi wa TAA 1953 katika uchaguzi uliofanyika Ukumbi wa Arnautoglo tarehe 17 Aprili 1953 Nyerere na Abdul Sykes walipogombea nafasi ya urais wa TAA.
Kulia Abdulwahid Kleist Sykes (1924 - 1968) Hamza Kibwana Mwapachu (1913 - 1962)
Nyerere akashinda akawa rais na Abdul makamu wa rais.
Kuna historia ya kusisimua sana katika uchaguzi huu jinsi Nyerere alivyoweza kumshinda Abdul Sykes lau kama hakuwa anajulikana ila kwa wanachama wachache kama Dennis Phombeah, Mnyasa kutoka Nyasaland na yeye ndiye alikuwa msimamizi (Returnig Officer) wa uchaguzi ule.
Mwaka wa 1954 TANU ikaundwa Nyerere akiwa rais kama Hamza Mwapachu na Abdul Sykes walivyopanga nyumbani kwa Mwapachu Nansio, Ukerewe mwaka wa 1953.
Kambona alikuja Dar es Salaam TANU imeshaundwa.
Kwa kuwa umemtaja Kambona nitakueleza kitu kuhusu Phombeah.
Phombeah alikuwa rafiki mkubwa sana wa Kambona na yeye kama rafiki yake alikimbilia Uingereza na akafia huko.
Kwa kuhitimisha ningependa kukufahamisha kuwa TAA haikuwa chama cha watumishi wa umma,
Kilichokuwa chama cha wafanyakazi kilikuwa Tanganyika African Government Servant Association (TAGSA) na viongozi wake katika miaka ya 1950 walikuwa Rais Thomas Marealle na Katibu Ally Sykes.
Tabutupu,
May Day,Nimesoma andiko la Dada hapo juu, nikajua tu Mzee Said atawasili hapa muda si mrefu.
Kwa hili la Kambona, popote ulipolitoa kiukweli Dada umeingia chaka.
Sawa, Mzee Mohamed Said.May Day,
Nikiona kosa katika historia ya TANU huona ni wajibu wangu kusahihisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
May Day,Sawa, Mzee Mohamed Said.
Sipingani na unavyosema Mzee Said, ila kwa yale nisiyokubaliana na wewe kwenye historia ya TAA na baadae TANU yatabaki pale pale...na wala sitarajii kubadilisha msimamo wangu.May Day,
Mimi si kama najipigia zumari yaani "blowing my own trumpet."
Hii historia naijua vizuri sana kwa kuwa nimeishi ndani yake.
Tabu sana kwa mtu kushindana na mimi katika historia ya TANU na historia ya uhuru wa Tanganyika akanishinda.
Wakati mwingine hufupisha majibu kwa kuchelea kuwachosha wasomaji wangu.
Sent using Jamii Forums mobile app