Wanaharakati tumieni hekima: Maria Sarungi kulifananisha kanisa katoliki na nyeti za kiume ni dhihaka kwa wakatoliki

Wanaharakati !

kuweni makini hasa mnapokosoa mambo yenye misingi ya kidini!

Wakati serikali ikiendelea kutekeleza majukumu yake kikatiba, kwa kuhakikisha inakusanya kodi kutoka taasisi zote za kibiashara ikiwemo binafsi na zile zinazomilikiwa na makanisa!

Wameibuka wanaharakati kuhusisha madai ya kodi katika shule moja inayomilikiwa na kanisa katoliki kuwa ni ya kisiasa na harakati za uchaguzi mkuu 2020 ilihali chimbuko la madai hayo yapo ni tangu 2012!

Mojawapo ya walionukuliwa ni #Maria Sarungi ambaye yeye kadhihaki taasisi ya dini na kuifananisha na KORODANI jambo lililogusa imani za watu!

Inatambulika kwamba Korodani ni Nyama au ngozi inayoning'inia chini ya shina la Uume katika sehemu za siri za mwanamme!

Hivyo maneno yake yanahesabika kuwa ni ya kichochezi kwa kuhamasisha wanaume kubanwa korodani kama ishara ya kushurutishwa jambo litakalohatarisha maisha ya Wanaume!
View attachment 1640519
Mchochezi tu wewe huna lolote. Kama hujui fasihi kaa kando. Hiyo ni lugha ya kawaida kabisa na wanafasihi wanelewa ujumbe wa mwandishi!
 
Mkuu! Kuna mtu aliwahi tamka maneno! "Nguruwe kaingia Msikitini" akiwa na maana ya lowassa kuingia chadema!
Aliwajibishwa kwa kutumia maneno ya dhihaka kwenye taasisi za dini!
Wajinga wale wale tu!
 
Wanaharakati !

kuweni makini hasa mnapokosoa mambo yenye misingi ya kidini!

Wakati serikali ikiendelea kutekeleza majukumu yake kikatiba, kwa kuhakikisha inakusanya kodi kutoka taasisi zote za kibiashara ikiwemo binafsi na zile zinazomilikiwa na makanisa!

Wameibuka wanaharakati kuhusisha madai ya kodi katika shule moja inayomilikiwa na kanisa katoliki kuwa ni ya kisiasa na harakati za uchaguzi mkuu 2020 ilihali chimbuko la madai hayo yapo ni tangu 2012!

Mojawapo ya walionukuliwa ni #Maria Sarungi ambaye yeye kadhihaki taasisi ya dini na kuifananisha na KORODANI jambo lililogusa imani za watu!

Inatambulika kwamba Korodani ni Nyama au ngozi inayoning'inia chini ya shina la Uume katika sehemu za siri za mwanamme!

Hivyo maneno yake yanahesabika kuwa ni ya kichochezi kwa kuhamasisha wanaume kubanwa korodani kama ishara ya kushurutishwa jambo litakalohatarisha maisha ya Wanaume!
View attachment 1640519
Huna akili.
 
Back
Top Bottom