Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Thread starter
- #21
Virungu hukuchezea?..enzi za Mtikila.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Virungu hukuchezea?..enzi za Mtikila.
Watu wenye akili hawawezi kupambana na kichaa, bora kumpisha ila mmsaidie kumweleza kuwa yeye naye ni binadamu nyama ya udongoMiaka minne ilopita nilitoa maoni kuwa, endapo wale jamaa wa UKUTA wangenywea na kutokufanya maandamano yao waliyokuwa wameyapania, basi huo ungekuwa ni ushindi mkubwa kwa Rais Magufuli. Si tu ushindi uonekanao kwa macho, bali ushindi wa kisaikolojia pia.
Niliandika hapa:
Maandamano ya UKUTA yasipofanyika...
Kama UKUTA wakinywea na mwishowe kutokufanya hayo maandamano yao ambayo wamepanga kuyafanya hiyo tarehe 1 mwezi ujao, basi mheshimiwa MWENYE ENZI, MTUKUFU rais Magufuli atakuwa amepata ushindi mkubwa sana. Hayo maandamano yasipotokea atakuwa kafanikiwa kuwatisha wananchi katika kutofanya yale...www.jamiiforums.com
Maandamano hayo hayakufanyika. Rais Magufuli aliwaambia hao walokuwa wamepanga hayo maandamano kuwa yeye ‘hajaribiwi’.
Nadhani walimwelewa alichokisema.
Miaka 2 baadaye kukapangwa tena kuwe na maandamano makubwa ambayo yangefanyika siku ya muungano. Haya hayakuitishwa na chama chochote cha kisiasa. Yaliitishwa na dada’ake na Salary Slip 🤣.
Hakuna aliyethubutu kuingia barabarani.
Mwaka huu tena vyama vya ACT-Wazalendo na CHADEMA baada ya kushindwa uchaguzi mkuu na kudai kuwa vimefanyiwa hujuma, viongozi wake wakaitisha maandamano ya amani nchi nzima, yasiyo na kikomo, ya kupinga matokeo.
Hakuna hata mtu mmoja aliyeingia barabarani na kuthubutu kuandamana.
Huwa naona sana humu wale akina dada wa Twitter, wale wanaharakati wa Jamhuri ya Twitter, Shangazi na yule mwezake Binti Maria wakisifiwa sana wanapo longalonga huko kwenye hiyo jamhuri yao. Halafu kuna huyu raia mpya aitwaye Amsterdam. Naye naona anapenda sana kulong
Kwamba eti ni majasiri sana. Hawamwogopi mtu, blah blah blah.
Sasa, kama kweli hawamwogopi mtu na hawaogopi kitu, kwa nini sasa huwa wanaishia kupiga mayowe kwenye hiyo jamhuri yao? Kwa nini waait etende kwa vitendo hayo maneno yao kwa kuingia barabarani na mabango yao na vipaza sauti kumpinga huyo wasiyempenda?
Jibu ni moja tu: na wao wanajua kuwa huyo Ngosha hajaribiwi. Akisema kitu akiwa amekasirika huwa anamaanisha. Aliposema hajaribiwi, naamini wote walioisikia hiyo kauli, waliielewa.
Kelele zipigwazo jamhuri ya Twitter haziwezi kubadili chochote kilichopo huku uraiani.
Kauli ya Ngosha na virungu vya kamanda Mambosasa, vimewapa watu uhamisho toka Tanzania kwenda Jamhuri ya watu wa Twitter.
Kazi ya Mambosasa ni kushika bunduki mkuu. Unataka aje barabarani na maua?..hapo hutendi haki.
..wewe ulitakiwa umwambie Ngosha na Mambosasa silaha waziache vituoni.
..baada ya hapo wakakabiliane na wapinzani wao huko mitaani mano-a-mano.
Magufuli akisema hapana ni hapanaMiaka minne ilopita nilitoa maoni kuwa, endapo wale jamaa wa UKUTA wangenywea na kutokufanya maandamano yao waliyokuwa wameyapania, basi huo ungekuwa ni ushindi mkubwa kwa Rais Magufuli. Si tu ushindi uonekanao kwa macho, bali ushindi wa kisaikolojia pia.
Niliandika hapa:
Maandamano ya UKUTA yasipofanyika...
Kama UKUTA wakinywea na mwishowe kutokufanya hayo maandamano yao ambayo wamepanga kuyafanya hiyo tarehe 1 mwezi ujao, basi mheshimiwa MWENYE ENZI, MTUKUFU rais Magufuli atakuwa amepata ushindi mkubwa sana. Hayo maandamano yasipotokea atakuwa kafanikiwa kuwatisha wananchi katika kutofanya yale...www.jamiiforums.com
Maandamano hayo hayakufanyika. Rais Magufuli aliwaambia hao walokuwa wamepanga hayo maandamano kuwa yeye ‘hajaribiwi’.
Nadhani walimwelewa alichokisema.
Miaka 2 baadaye kukapangwa tena kuwe na maandamano makubwa ambayo yangefanyika siku ya muungano. Haya hayakuitishwa na chama chochote cha kisiasa. Yaliitishwa na dada’ake na Salary Slip 🤣.
Hakuna aliyethubutu kuingia barabarani.
Mwaka huu tena vyama vya ACT-Wazalendo na CHADEMA baada ya kushindwa uchaguzi mkuu na kudai kuwa vimefanyiwa hujuma, viongozi wake wakaitisha maandamano ya amani nchi nzima, yasiyo na kikomo, ya kupinga matokeo.
Hakuna hata mtu mmoja aliyeingia barabarani na kuthubutu kuandamana.
Huwa naona sana humu wale akina dada wa Twitter, wale wanaharakati wa Jamhuri ya Twitter, Shangazi na yule mwezake Binti Maria wakisifiwa sana wanapo longalonga huko kwenye hiyo jamhuri yao. Halafu kuna huyu raia mpya aitwaye Amsterdam. Naye naona anapenda sana kulong
Kwamba eti ni majasiri sana. Hawamwogopi mtu, blah blah blah.
Sasa, kama kweli hawamwogopi mtu na hawaogopi kitu, kwa nini sasa huwa wanaishia kupiga mayowe kwenye hiyo jamhuri yao? Kwa nini waait etende kwa vitendo hayo maneno yao kwa kuingia barabarani na mabango yao na vipaza sauti kumpinga huyo wasiyempenda?
Jibu ni moja tu: na wao wanajua kuwa huyo Ngosha hajaribiwi. Akisema kitu akiwa amekasirika huwa anamaanisha. Aliposema hajaribiwi, naamini wote walioisikia hiyo kauli, waliielewa.
Kelele zipigwazo jamhuri ya Twitter haziwezi kubadili chochote kilichopo huku uraiani.
Kauli ya Ngosha na virungu vya kamanda Mambosasa, vimewapa watu uhamisho toka Tanzania kwenda Jamhuri ya watu wa Twitter.
Kuna binadamu asiyetambua kwamba yeye ni binadamu?Watu wenye akili hawawezi kupambana na kichaa, bora kumpisha ila mmsaidie kumweleza kuwa yeye naye ni binadamu nyama ya udongo
Ni kwamba walio tayari kwa maandamano hawafiki 20.Ni kutokuwa serious kwa waitisha maandamano. Laiti wote na famili + koo zao wangeingia barabarani tayari unazungumzia watu 100+. Wakakaa mstari wa mbele wananchi tungejitokeza.
Ngosha means business...Magufuli akisema hapana ni hapana
Kule Zanzibar ACT walipuuzia wakatest (wakavamia msikiti, wakakata watu mapanga, wakachoma maskani za CCM, wakaandamana na kufanya vurugu) baada ya kila tukio walilokuwa wakifanya, kilichofuata si malizii
Unadhani Shangazi na Binti Maria wako tayari kutembea mstari wa mbele kwenye maandamano?Ni kwamba walio tayari kwa maandamano hawafiki 20.
Mbona wapo wengi tu hasa walevi wa madaraka kama huyo unayempiganiaKuna binadamu asiyetambua kwamba yeye ni binadamu?
Halafu utadhani wako wengi kumbe wapi! Hata 20 hawafiki.Unajua watu wa twitter asilimia kubwa ni kama wanazalishwa hivi, yani watu wameweka mradi wao huko twitter wa kutengeneza wafuasi
Yani wapo kimakakati sana kwenye uzalishaji wao yani wamejipanga hawapotei twitter kirahisi ndio kwanz wanaongeza team work
Na wako vizuri kweli kweli unaweza ukajazwa upepo mpaka ukatamani ukampige mkuu.
Sidhani...tungeshawaona wanalianzisha. Maneno ni mengi vitendo hakunaUnadhani Shangazi na Binti Maria wako tayari kutembea mstari wa mbele kwenye maandamano?
Sio ishirini tu ni kwamba hakuna aliyekuwa tayari. Hata waitishaji wenyewe. Kilichofanyika ni waitishaji kusubiri tulio tayari tuanzishe. Bahati mbaya kumbe hata sisi hatukuwa tayari.Ni kwamba walio tayari kwa maandamano hawafiki 20.
Kazi ya Mambosasa ni kushika bunduki mkuu. Unataka aje barabarani na maua?
Mimi natamani sana Shangazi na bff wake Binti Maria siku moja waandamane wakiwa mstari wa mbele kabisa 🤣.Sio ishirini tu ni kwamba hakuna aliyekuwa tayari. Hata waitishaji wenyewe. Kilichofanyika ni waitishaji kusubiri tulio tayari tuanzishe. Bahati mbaya kumbe hata sisi hatukuwa tayari.
Si maandamano bila kikomo?
Hata sasa wanawaeza/tunaweza kuanza kuandamana.
..angalia hapo jamaa wa ccm vs cdm.
..ccm bila polisi hawawezi kukabiliana na cdm.