Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Thread starter
-
- #41
Get a ghostwriter.Kwa jinsi unavyoandika nahisi kabisa unafanana na huyj jamaa.
View attachment 1625808
Na ndio matatizo ya kukosa kazi: Unaanza kujishughlisha na kuwaonea wivu mpaka wanawake.
Yaani unakuwa troubled kufuatilia maisha maisha ya wanawake mitandaoni kama Juma Lokole.
Shame
Hahahahaha wanauchosha bure. Moyo kazi yake kusukuma damu tu.Wanaandamana moyoni 😂😂😂
Huu moyo umepewa kazi kubwa sana
Nothing impressive....CHADEMA wako soft sana aisee.
Duh umeongea pointUnajua watu wa twitter asilimia kubwa ni kama wanazalishwa hivi, yani watu wameweka mradi wao huko twitter wa kutengeneza wafuasi
Yani wapo kimakakati sana kwenye uzalishaji wao yani wamejipanga hawapotei twitter kirahisi ndio kwanz wanaongeza team work
Na wako vizuri kweli kweli unaweza ukajazwa upepo mpaka ukatamani ukampige mkuu.
For sure this is rubbish.Miaka minne ilopita nilitoa maoni kuwa, endapo wale jamaa wa UKUTA wangenywea na kutokufanya maandamano yao waliyokuwa wameyapania, basi huo ungekuwa ni ushindi mkubwa kwa Rais Magufuli. Si tu ushindi uonekanao kwa macho, bali ushindi wa kisaikolojia pia.
Niliandika hapa:
Maandamano ya UKUTA yasipofanyika...
Kama UKUTA wakinywea na mwishowe kutokufanya hayo maandamano yao ambayo wamepanga kuyafanya hiyo tarehe 1 mwezi ujao, basi mheshimiwa MWENYE ENZI, MTUKUFU rais Magufuli atakuwa amepata ushindi mkubwa sana. Hayo maandamano yasipotokea atakuwa kafanikiwa kuwatisha wananchi katika kutofanya yale...www.jamiiforums.com
Maandamano hayo hayakufanyika. Rais Magufuli aliwaambia hao walokuwa wamepanga hayo maandamano kuwa yeye ‘hajaribiwi’.
Nadhani walimwelewa alichokisema.
Miaka 2 baadaye kukapangwa tena kuwe na maandamano makubwa ambayo yangefanyika siku ya muungano. Haya hayakuitishwa na chama chochote cha kisiasa. Yaliitishwa na dada’ake na Salary Slip 🤣.
Hakuna aliyethubutu kuingia barabarani.
Mwaka huu tena vyama vya ACT-Wazalendo na CHADEMA baada ya kushindwa uchaguzi mkuu na kudai kuwa vimefanyiwa hujuma, viongozi wake wakaitisha maandamano ya amani nchi nzima, yasiyo na kikomo, ya kupinga matokeo.
Hakuna hata mtu mmoja aliyeingia barabarani na kuthubutu kuandamana.
Huwa naona sana humu wale akina dada wa Twitter, wale wanaharakati wa Jamhuri ya Twitter, Shangazi na yule mwezake Binti Maria wakisifiwa sana wanapo longalonga huko kwenye hiyo jamhuri yao. Halafu kuna huyu raia mpya aitwaye Amsterdam. Naye naona anapenda sana kulong
Kwamba eti ni majasiri sana. Hawamwogopi mtu, blah blah blah.
Sasa, kama kweli hawamwogopi mtu na hawaogopi kitu, kwa nini sasa huwa wanaishia kupiga mayowe kwenye hiyo jamhuri yao? Kwa nini waait etende kwa vitendo hayo maneno yao kwa kuingia barabarani na mabango yao na vipaza sauti kumpinga huyo wasiyempenda?
Jibu ni moja tu: na wao wanajua kuwa huyo Ngosha hajaribiwi. Akisema kitu akiwa amekasirika huwa anamaanisha. Aliposema hajaribiwi, naamini wote walioisikia hiyo kauli, waliielewa.
Kelele zipigwazo jamhuri ya Twitter haziwezi kubadili chochote kilichopo huku uraiani.
Kauli ya Ngosha na virungu vya kamanda Mambosasa, vimewapa watu uhamisho toka Tanzania kwenda Jamhuri ya watu wa Twitter.
Ngosha hajaribiwi ni kweli wala hukukosea. Yuko radhi kuua ili asijaribiwe! Bora hata Mungu anaweza kujaribiwa lakini siyo Ngosha. Mungu anaweza kuwa na uvumilivu lakini Ngosha ataamuru upigwe risasi mchana kweupe. Lakini haya yote ni kwa faida ya nani? Ni kwa faida ya mamilioni ya watanzania? Nyani siku hizi na wewe uko kwenye kundi la wale wasioenda shule wanaodhani kudai demokrasia ni faida ya viongozi wa upinzani! Hili kundi linadhani uchaguzi usipokuwa huru basi ni Lissu and co. wamepata hasara! Wanadhani nchi isipokuwa na demokrasia basi wanaokomolewa ni ''makamanda''! Wanadhani CCM wakiiba kura na matapeli kama Gwajima wakiingia bungeni basi kina Halima Mdee wamekiona cha moto! Ama kweli mwafika haachi asili yake hata asome au apate exposure ya namna gani!JokaKuu wewe ushawahi kuandamana popote pale?
Au huwa unaandamana JF tu?
Waambie polisi wakae pembeni, aje Magu na genge lake kina Bashiru, Polepole nk kisha wathibitishe kuwa wao hawajaribiwi. Hapo tutajua nguvu yake halisi sio hiyo ya kuagiza wengine wamteteee.Ingia barabarani kamanda.
Pole kamanda.Ngosha hajaribiwi ni kweli wala hukukosea. Yuko radhi kuua ili asijaribiwe! Bora hata Mungu anaweza kujaribiwa lakini siyo Ngosha. Mungu anaweza kuwa na uvumilivu lakini Ngosha ataamuru upigwe risasi mchana kweupe. Lakini haya yote ni kwa faida ya nani? Ni kwa faida ya mamilioni ya watanzania? Nyani siku hizi na wewe uko kwenye kundi la wale wasioenda shule wanaodhani kudai demokrasia ni faida ya viongozi wa upinzani! Hili kundi linadhani uchaguzi usipokuwa huru basi ni Lissu and co. wamepata hasara! Wanadhani nchi isipokuwa na demokrasia basi wanaokomolewa ni ''makamanda''! Wanadhani CCM wakiiba kura na matapeli kama Gwajima wakiingia bungeni basi kina Halima Mdee wamekiona cha moto! Ama kweli mwafika haachi asili yake hata asome au apate exposure ya namna gani!
Wala usinipe pole. Pole ujipe mwenyewe!Pole kamanda.
Kina kigogo wakawambia atakuwa na kituo chake cha kujumlishia matokeo kwahiyo atahack nec na matokeo yote yatakuwa yanatangzwa kulingana na yale ya kigogo yakionesha Lisu kashinda,Twitter japo mnaiponda lakini inawakera, mnatamani isiwepo kabisa.
Hilo nimethibitisha leo kwenye hotuba ya jamaa aliposema "haki huendana na wajibu", tena akarudia mara mbili na kusisitiza nadhani nimeeleweka, hapo alikuwa anawajibu wale wasumbufu kule twitter.
Sauti ya mtu huwezi kuidharau, hata mkiwepo mia moja na kati yenu akawepo mmoja anaewapinga mtamsikia tu, na atawakera pamoja na nguvu zenu, matokeo yake hamtapata usingizi mzuri mkilala usiku na ndicho kinachokupata Ngabu.
Keyboard warriorsMiaka minne ilopita nilitoa maoni kuwa, endapo wale jamaa wa UKUTA wangenywea na kutokufanya maandamano yao waliyokuwa wameyapania, basi huo ungekuwa ni ushindi mkubwa kwa Rais Magufuli. Si tu ushindi uonekanao kwa macho, bali ushindi wa kisaikolojia pia.
Niliandika hapa:
Maandamano ya UKUTA yasipofanyika...
Kama UKUTA wakinywea na mwishowe kutokufanya hayo maandamano yao ambayo wamepanga kuyafanya hiyo tarehe 1 mwezi ujao, basi mheshimiwa MWENYE ENZI, MTUKUFU rais Magufuli atakuwa amepata ushindi mkubwa sana. Hayo maandamano yasipotokea atakuwa kafanikiwa kuwatisha wananchi katika kutofanya yale...www.jamiiforums.com
Maandamano hayo hayakufanyika. Rais Magufuli aliwaambia hao walokuwa wamepanga hayo maandamano kuwa yeye ‘hajaribiwi’.
Nadhani walimwelewa alichokisema.
Miaka 2 baadaye kukapangwa tena kuwe na maandamano makubwa ambayo yangefanyika siku ya muungano. Haya hayakuitishwa na chama chochote cha kisiasa. Yaliitishwa na dada’ake na Salary Slip 🤣.
Hakuna aliyethubutu kuingia barabarani.
Mwaka huu tena vyama vya ACT-Wazalendo na CHADEMA baada ya kushindwa uchaguzi mkuu na kudai kuwa vimefanyiwa hujuma, viongozi wake wakaitisha maandamano ya amani nchi nzima, yasiyo na kikomo, ya kupinga matokeo.
Hakuna hata mtu mmoja aliyeingia barabarani na kuthubutu kuandamana.
Huwa naona sana humu wale akina dada wa Twitter, wale wanaharakati wa Jamhuri ya Twitter, Shangazi na yule mwezake Binti Maria wakisifiwa sana wanapo longalonga huko kwenye hiyo jamhuri yao. Halafu kuna huyu raia mpya aitwaye Amsterdam. Naye naona anapenda sana kulong
Kwamba eti ni majasiri sana. Hawamwogopi mtu, blah blah blah.
Sasa, kama kweli hawamwogopi mtu na hawaogopi kitu, kwa nini sasa huwa wanaishia kupiga mayowe kwenye hiyo jamhuri yao? Kwa nini waait etende kwa vitendo hayo maneno yao kwa kuingia barabarani na mabango yao na vipaza sauti kumpinga huyo wasiyempenda?
Jibu ni moja tu: na wao wanajua kuwa huyo Ngosha hajaribiwi. Akisema kitu akiwa amekasirika huwa anamaanisha. Aliposema hajaribiwi, naamini wote walioisikia hiyo kauli, waliielewa.
Kelele zipigwazo jamhuri ya Twitter haziwezi kubadili chochote kilichopo huku uraiani.
Kauli ya Ngosha na virungu vya kamanda Mambosasa, vimewapa watu uhamisho toka Tanzania kwenda Jamhuri ya watu wa Twitter.
Twitter japo mnaiponda lakini inawakera, mnatamani isiwepo kabisa.
Hilo nimethibitisha leo kwenye hotuba ya jamaa aliposema "haki huendana na wajibu", tena akarudia mara mbili na kusisitiza nadhani nimeeleweka, hapo alikuwa anawajibu wale wasumbufu kule twitter.
Sauti ya mtu huwezi kuidharau, hata mkiwepo mia moja na kati yenu akawepo mmoja anaewapinga mtamsikia tu, na atawakera pamoja na nguvu zenu, matokeo yake hamtapata usingizi mzuri mkilala usiku na ndicho kinachokupata Ngabu.
Mkuu nguvu na dhamira ya kudhuru wapingani Ni Kubwa ilia ipo siku itabaki historia Kama kwa Hitler, musolin, stalin, kaburu Botha, hata kwa ghadafi, bouteflika, Al bashiri, Mugabe, na yule Mobutu.Virungu hukuchezea?
Hongera sana! Sikujua. Ningejua ningewatumia zawadi.Huna uwezo wa kupambana, wewe hudumua mumeo Wanamume wako kazini.
Naona siku hiyo ulipiga White
Ndio kitu gani hicho we kibuyu?!inamkera nan sasa
Nilipofika hapa ikabidi nicheke kwanza!!! Narudi kufuatilia post ya kwanza!!Yaliitishwa na dada’ake na Salary Slip 🤣.