Wanaharakati wa Jamhuri ya Twitter

Wanaharakati wa Jamhuri ya Twitter

Kwa jinsi unavyoandika nahisi kabisa unafanana na huyj jamaa.
View attachment 1625808

Na ndio matatizo ya kukosa kazi: Unaanza kujishughlisha na kuwaonea wivu mpaka wanawake.

Yaani unakuwa troubled kufuatilia maisha maisha ya wanawake mitandaoni kama Juma Lokole.

Shame
Get a ghostwriter.
 
Unajua watu wa twitter asilimia kubwa ni kama wanazalishwa hivi, yani watu wameweka mradi wao huko twitter wa kutengeneza wafuasi
Yani wapo kimakakati sana kwenye uzalishaji wao yani wamejipanga hawapotei twitter kirahisi ndio kwanz wanaongeza team work

Na wako vizuri kweli kweli unaweza ukajazwa upepo mpaka ukatamani ukampige mkuu.
Duh umeongea point
 
Miaka minne ilopita nilitoa maoni kuwa, endapo wale jamaa wa UKUTA wangenywea na kutokufanya maandamano yao waliyokuwa wameyapania, basi huo ungekuwa ni ushindi mkubwa kwa Rais Magufuli. Si tu ushindi uonekanao kwa macho, bali ushindi wa kisaikolojia pia.

Niliandika hapa:

Maandamano hayo hayakufanyika. Rais Magufuli aliwaambia hao walokuwa wamepanga hayo maandamano kuwa yeye ‘hajaribiwi’.

Nadhani walimwelewa alichokisema.

Miaka 2 baadaye kukapangwa tena kuwe na maandamano makubwa ambayo yangefanyika siku ya muungano. Haya hayakuitishwa na chama chochote cha kisiasa. Yaliitishwa na dada’ake na Salary Slip 🤣.

Hakuna aliyethubutu kuingia barabarani.

Mwaka huu tena vyama vya ACT-Wazalendo na CHADEMA baada ya kushindwa uchaguzi mkuu na kudai kuwa vimefanyiwa hujuma, viongozi wake wakaitisha maandamano ya amani nchi nzima, yasiyo na kikomo, ya kupinga matokeo.

Hakuna hata mtu mmoja aliyeingia barabarani na kuthubutu kuandamana.

Huwa naona sana humu wale akina dada wa Twitter, wale wanaharakati wa Jamhuri ya Twitter, Shangazi na yule mwezake Binti Maria wakisifiwa sana wanapo longalonga huko kwenye hiyo jamhuri yao. Halafu kuna huyu raia mpya aitwaye Amsterdam. Naye naona anapenda sana kulong

Kwamba eti ni majasiri sana. Hawamwogopi mtu, blah blah blah.

Sasa, kama kweli hawamwogopi mtu na hawaogopi kitu, kwa nini sasa huwa wanaishia kupiga mayowe kwenye hiyo jamhuri yao? Kwa nini waait etende kwa vitendo hayo maneno yao kwa kuingia barabarani na mabango yao na vipaza sauti kumpinga huyo wasiyempenda?

Jibu ni moja tu: na wao wanajua kuwa huyo Ngosha hajaribiwi. Akisema kitu akiwa amekasirika huwa anamaanisha. Aliposema hajaribiwi, naamini wote walioisikia hiyo kauli, waliielewa.

Kelele zipigwazo jamhuri ya Twitter haziwezi kubadili chochote kilichopo huku uraiani.

Kauli ya Ngosha na virungu vya kamanda Mambosasa, vimewapa watu uhamisho toka Tanzania kwenda Jamhuri ya watu wa Twitter.
For sure this is rubbish.
Uncle ni dikteta. It takes time to get rid of one...
 
JokaKuu wewe ushawahi kuandamana popote pale?

Au huwa unaandamana JF tu?
Ngosha hajaribiwi ni kweli wala hukukosea. Yuko radhi kuua ili asijaribiwe! Bora hata Mungu anaweza kujaribiwa lakini siyo Ngosha. Mungu anaweza kuwa na uvumilivu lakini Ngosha ataamuru upigwe risasi mchana kweupe. Lakini haya yote ni kwa faida ya nani? Ni kwa faida ya mamilioni ya watanzania? Nyani siku hizi na wewe uko kwenye kundi la wale wasioenda shule wanaodhani kudai demokrasia ni faida ya viongozi wa upinzani! Hili kundi linadhani uchaguzi usipokuwa huru basi ni Lissu and co. wamepata hasara! Wanadhani nchi isipokuwa na demokrasia basi wanaokomolewa ni ''makamanda''! Wanadhani CCM wakiiba kura na matapeli kama Gwajima wakiingia bungeni basi kina Halima Mdee wamekiona cha moto! Ama kweli mwafika haachi asili yake hata asome au apate exposure ya namna gani!
 
Ingia barabarani kamanda.
Waambie polisi wakae pembeni, aje Magu na genge lake kina Bashiru, Polepole nk kisha wathibitishe kuwa wao hawajaribiwi. Hapo tutajua nguvu yake halisi sio hiyo ya kuagiza wengine wamteteee.
 
Ngosha hajaribiwi ni kweli wala hukukosea. Yuko radhi kuua ili asijaribiwe! Bora hata Mungu anaweza kujaribiwa lakini siyo Ngosha. Mungu anaweza kuwa na uvumilivu lakini Ngosha ataamuru upigwe risasi mchana kweupe. Lakini haya yote ni kwa faida ya nani? Ni kwa faida ya mamilioni ya watanzania? Nyani siku hizi na wewe uko kwenye kundi la wale wasioenda shule wanaodhani kudai demokrasia ni faida ya viongozi wa upinzani! Hili kundi linadhani uchaguzi usipokuwa huru basi ni Lissu and co. wamepata hasara! Wanadhani nchi isipokuwa na demokrasia basi wanaokomolewa ni ''makamanda''! Wanadhani CCM wakiiba kura na matapeli kama Gwajima wakiingia bungeni basi kina Halima Mdee wamekiona cha moto! Ama kweli mwafika haachi asili yake hata asome au apate exposure ya namna gani!
Pole kamanda.
 
Twitter japo mnaiponda lakini inawakera, mnatamani isiwepo kabisa.

Hilo nimethibitisha leo kwenye hotuba ya jamaa aliposema "haki huendana na wajibu", tena akarudia mara mbili na kusisitiza nadhani nimeeleweka, hapo alikuwa anawajibu wale wasumbufu kule twitter.

Sauti ya mtu huwezi kuidharau, hata mkiwepo mia moja na kati yenu akawepo mmoja anaewapinga mtamsikia tu, na atawakera pamoja na nguvu zenu, matokeo yake hamtapata usingizi mzuri mkilala usiku na ndicho kinachokupata Ngabu.
Kina kigogo wakawambia atakuwa na kituo chake cha kujumlishia matokeo kwahiyo atahack nec na matokeo yote yatakuwa yanatangzwa kulingana na yale ya kigogo yakionesha Lisu kashinda,
Mlishangilia na kufurahi nikajisemamea moyoni kwamba duh., kweli mbowe ana wafuasi
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Miaka minne ilopita nilitoa maoni kuwa, endapo wale jamaa wa UKUTA wangenywea na kutokufanya maandamano yao waliyokuwa wameyapania, basi huo ungekuwa ni ushindi mkubwa kwa Rais Magufuli. Si tu ushindi uonekanao kwa macho, bali ushindi wa kisaikolojia pia.

Niliandika hapa:

Maandamano hayo hayakufanyika. Rais Magufuli aliwaambia hao walokuwa wamepanga hayo maandamano kuwa yeye ‘hajaribiwi’.

Nadhani walimwelewa alichokisema.

Miaka 2 baadaye kukapangwa tena kuwe na maandamano makubwa ambayo yangefanyika siku ya muungano. Haya hayakuitishwa na chama chochote cha kisiasa. Yaliitishwa na dada’ake na Salary Slip 🤣.

Hakuna aliyethubutu kuingia barabarani.

Mwaka huu tena vyama vya ACT-Wazalendo na CHADEMA baada ya kushindwa uchaguzi mkuu na kudai kuwa vimefanyiwa hujuma, viongozi wake wakaitisha maandamano ya amani nchi nzima, yasiyo na kikomo, ya kupinga matokeo.

Hakuna hata mtu mmoja aliyeingia barabarani na kuthubutu kuandamana.

Huwa naona sana humu wale akina dada wa Twitter, wale wanaharakati wa Jamhuri ya Twitter, Shangazi na yule mwezake Binti Maria wakisifiwa sana wanapo longalonga huko kwenye hiyo jamhuri yao. Halafu kuna huyu raia mpya aitwaye Amsterdam. Naye naona anapenda sana kulong

Kwamba eti ni majasiri sana. Hawamwogopi mtu, blah blah blah.

Sasa, kama kweli hawamwogopi mtu na hawaogopi kitu, kwa nini sasa huwa wanaishia kupiga mayowe kwenye hiyo jamhuri yao? Kwa nini waait etende kwa vitendo hayo maneno yao kwa kuingia barabarani na mabango yao na vipaza sauti kumpinga huyo wasiyempenda?

Jibu ni moja tu: na wao wanajua kuwa huyo Ngosha hajaribiwi. Akisema kitu akiwa amekasirika huwa anamaanisha. Aliposema hajaribiwi, naamini wote walioisikia hiyo kauli, waliielewa.

Kelele zipigwazo jamhuri ya Twitter haziwezi kubadili chochote kilichopo huku uraiani.

Kauli ya Ngosha na virungu vya kamanda Mambosasa, vimewapa watu uhamisho toka Tanzania kwenda Jamhuri ya watu wa Twitter.
Keyboard warriors
 
Unafurahia kuona vyombo vya dola vinapotumika kukandamiza wapinzani wasio na silaha?
 
Twitter japo mnaiponda lakini inawakera, mnatamani isiwepo kabisa.

Hilo nimethibitisha leo kwenye hotuba ya jamaa aliposema "haki huendana na wajibu", tena akarudia mara mbili na kusisitiza nadhani nimeeleweka, hapo alikuwa anawajibu wale wasumbufu kule twitter.

Sauti ya mtu huwezi kuidharau, hata mkiwepo mia moja na kati yenu akawepo mmoja anaewapinga mtamsikia tu, na atawakera pamoja na nguvu zenu, matokeo yake hamtapata usingizi mzuri mkilala usiku na ndicho kinachokupata Ngabu.

inamkera nan sasa
 
Uandamane?!!

Unaandamana vipi ilihali POLISI wanatumia nguvu kuyadhibiti maandamano?!!!

Labda ikitokea POLISI wanaruhusu maandamano hayo...

Labda...
Labda...
Labda....

Otherwise ni kujitakia KILEMA CHA BURE....

Ninakumbuka kipindi kile Mzee wetu Lowassa "anachinjwa" pale WHITE HOUSE Dodoma Binafsi niliwaongoza UVCCM wenzangu pale nje ya ukuta baina ya KITUO CHA MAFUTA na NYERERE SQUARE...nilikuwa ninaimba nao...nilikuwa ninampinga mwenyekiti wetu Kikwete kumkata Mh.Lowassa bila ya kumuwekea ALAMA Katika kikao cha kamati ya maadili kabla ya kulipeleka JINA NEC...tulipinga kwa KUCITE vifungu vya katiba yetu ya CCM....

Polisi walikuwa wamejazana pale nje na kutuangalia tu...nasi tulikuwa tuko KIAMANI zaidi....hatukufukuzwa....hatukupigwa....

Yaani sijui ingekuwaje Kama ingetokea kipindi hiki cha mwenyekiti wetu JPM..?!!!!🤣🤣🤣

Kubwa ni kuwa kila zama na KITABU CHAKE....
Hizi ni zama za mh.Mwenyekiti JPM...

Ni wajibu wetu kumuelewa na kumtii hivyo ALIVYO!!!

MAENDELEO HAYANA VYAMA.
 
Jamani nisaidieni....

Hivi yule zwazwa KIGOGO 2014 ni binadamu ama JINI?!!

Kama ni binadamu...je ni mtu was namna gani na amefanya kazi sehemu zipi?!!

Nisaidieni kujua jamani kwani ni mtu gani yule hata akisomewa ALBADIRI haimkumbi na inadunda tu?!!!

Maendeleo hayana vyama
 
Wanapoitisha mandamano huwa wanategemea wale wa CCM ndio waingie barabarani eti na wao ndio waingie barabarani,

Sasa mandamano ya Aina hiyo Wapi na wapi
 
Back
Top Bottom