Wanaharakati wa Jamhuri ya Twitter

Anakula Sana kiti moto Yule mtu na anatembea na mifupa ya kitimoto kwenye pochi lake

😂😂😂😂
 
Hakuna kitu kibaya kwa mwanadamu kama akiandamana ndani ya moyo wake ni hatari sana, ndiyo maana kwamwenye hekima akimkosea mtu inafaa akamwombe msamaha ili roho yake ipate amani. laana huanzia hasa kwenye mtu kusononeka nadhani ndiyo maana afrika haiendelei kwasababu imejaa laana za watu wake.
 
Anakula Sana kiti moto Yule mtu na anatembea na mifupa ya kitimoto kwenye pochi lake

😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣

Hakika itakuwa NDIVYO...

Kwani binafsi nilimweleza SHEIKH wangu amsomee ALBADIRI....Sheikh akaangalia RAMLI na kudai JAMAA GOGO kweli...na kamwe HAROGEKI...😂😂

Mshana Jr naye anamshindwa?!!!

Je yule Mndengereko KITOABU mzee wa kuroga kule MOCIMBOA DA PRAIA Msumbiji kwa yule babu naye pia atamshindwa?!!!
 
Pia ni mtandao unaotolewa macho na mfalme gharama walizotumia kupambana kuzisuspend account za activists kipindi kile ni jibu tosha kuna ujumbe wanaupata mengineyo muda utatuambia ...
 
Mashana si atakuwa ni ndugu yake Yule!!😂
 

Lissu alikuja kuomba urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati wafuasi wake wako Jamhuri ya Twitter; ni afdahalai angegombea huko
 
Sauti zenu za Twitter tu haziwezi kuizuia CCM kutawala Tanzania. Nitakukumbusha hili 2030.
 
Lissu alikuja kuomba urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati wafuasi wake wako Jamhuri ya Twitter; ni afdahalai angegombea huko
Huko na humu JF angeshinda kwa kishindo! Hata akihamasisha maandamano humu yatafanikiwa kwa asilimia mia! Ahahahahahah!!
 
Nyani Ngabu,

..kwanini unadhani wapinzani wa Tz ambao hawana silaha, wanaweza kukabiliana na chama tawala ambacho kina silaha?

..au kwanini unadhani Ngosha ana ubavu wakati anachofanya ni kutuma wenye silaha kupiga wasio na silaha?
Mbaya zaidi hata hizo silaha za Polisi ambazo analingia nazo Ngosha na anazowanyanyasa nao wapinzani, zimenunuliwa kwa pesa zetu walipa kodi Wa nchi hii, wanaccm na wana Chadema
 
..na wanasiasa na wanaharakati kazi yao siyo kushika bunduki.

..sasa kwanini unataka asiyeshika bunduki apambane na anayeshika bunduki?
Wanamshikia bunduki yoyote anayeandamana bila kibali.
 
Yupo maza mmoja anaitwa Ananilea Nkya. Anatoka zake nyumbani anaenda mjini mitaa ya posta na kabango kake kadogo anapiga picha amekashikilia anarudi zake nyumbani, baadae anapost tuone ameandamana au vipi bado sijamuelewa hadi sasa. [emoji3]
 
Kelele za Twitter zina nguvu sana kuliko hata kutembea mtaani physically na kuandamanà.

Hata wewe Nyani Ngabu unajuwa na ndiyo maana unaingia na unasoma. Pengine kama Twitter Ingekuwa haina nguvu basi TCRA wasinge bana Mtandao. Hilo Magufuri mwenyewe analijuwa .

Usiwaponde hawa mnaowaita Key Board Warriors ukadhani hawana nguvu. Hao ndiyo waliopunguza hata harakati za WASIOJULIKANA ziluzokuwa zinaratibiwa na Makonda.

Ingekuwa Magufuli hatumii Polisi kuua watu, basi ungetuona mtaani.
 
Nakala kwa Salary Slip na raia wote wa Jamhuri ya Twitter. Wanajifahamu🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…