Wepesi sana kulaumu vyama vya siasa vinapofanya makosa huku wao wakijificha nyuma ya laptop.
Dada wa Taifa alijaribu kuandaa maandamano akiwa ughaibuni lkn nayo hayakufanikiwa kwa sababu alitegemea Chadema wajitokeze, kwanini wanaharakati hamkujitokeza kumuunga mkono mwenzenu.
Maria Sarungi Shangazi wa Taifa anajitahidi sana akiwa nyuma ya komputa wakati kina Mbowe wako ground kazi yake ku upload picha za maandamano Mbowe akipigiwa virungu na polisi, halafu jioni anatualika tukajadili Maria Space.
Kuna wanaharakati maarufu wa mitandaoni wapo X na Wasap wengine hata hatujawahi kuwaona wanajifanya wana Interest na kinachoendelea Chadema, lkn ukiwafuatilia unaambiwa wengine wapo Marekani wengine Scotland lkn eti wana uchungu na viongozi wa Chadema walio mahabusu Mwandiga.
Wakiambiwa wajitokeze kwenye maandamano utasikia wanasema nyie endeleeni tu mimi nipo Nairobi lkn tupo pamoja.
Nataka niwaulize nyie mnaojifanya Wanaharakati, hadi sasa mmelisaidia nini Taifa naombeni hata Tangible movement walao moja mliyofanikiwa. Bandari zinauzwa mpo, mbuga zinauzwa mpo, Katiba mpya mnasubiri hadi Mbowe aandamane ashindwe muanzishe Club House na Spaces kumlaumu.
Imefikia hatua tuambiane ukweli mmelifanyia nini Taifa, kuna wanaharakati wangine wamepewa hadi ofisi na magari ya umma lkn ndio wa kwanza kuwalaumu wanasiasa wanaojitolea kwa jasho la damu. We are tired of you.