Naam kuna kakikundi kapo twiter kanaongozwa na binti wa waziri mstaafu profesa wa kijaluo, pia kuna jamaa lingine laitwa MMM na mwingine Ole mtetea na wngineo. Swali la kujiuliza hawa watu wanaojidai kupigania demokrasia mbona wao hawaheshimu uhuru wa wenzao kujieleza?.
Wanapenda maoni yao ndio yakubaliwe na kila mtu. Lakini pia wanafanya kazi za kuongeza kipato muda gani? Au ndio tuamini kuwa kula yao inatokana na migogoro ya kimtandao na huko ndio wanalipwa.
Wanapenda maoni yao ndio yakubaliwe na kila mtu. Lakini pia wanafanya kazi za kuongeza kipato muda gani? Au ndio tuamini kuwa kula yao inatokana na migogoro ya kimtandao na huko ndio wanalipwa.