denoo G
JF-Expert Member
- Apr 4, 2026
- 1,590
- 4,952
Wanaharakati hasa wale wa nje naona wanajikatisha tamaa wenyewe, ni kweli mbinu wanazotumia kuleta ushawishi hapa ndani karibia zote sasa zinaonekana kufeli.
Naziona sababu kadhaa kama chanzo, lakini moja kubwa zaidi ni wakurupukaji.
Mara nyingi nikifuatilia movement wanazoanzisha huwa wanaibuka nazo ghafla, kwa mfano, baada ya ile ya Okt.29 kupita, wakaja na ile nyingine ya 25 Dec, ikafeli.
Wakajaribu tena kuja na 01 Jan. nayo ikafeli, wamekaa then baadae ndio wakaja na ile ya juzi 77, nayo ikafeli, kwa mtindo huu sijui watakuja na mbinu gani nyingine ili kuwezesha mambo yao yafanikiwe.
• Japo siwalaumu wao moja kwa moja, hata nasi pia, kwasababu mtawala yupo tayari kutumia majeshi ili kuzima harakati zetu.
Hapa sasa ndio naona wanatakiwa watulize vichwa vyao hasa, kama kususia show za wasanii imeshafeli, maandamano nayo yamefeli, sijui watakuja na njia ipi tofauti.
Bahati mbaya wanaharakati wanavyozidi kufeli, ndivyo mtawala anavyozidi kuwa jeuri, na kuendelea na mambo yake maovu kwetu, tunashindwa kuwaunga mkono wanaharakati matokeo yake tunazidi kujimaliza wenyewe.