Wanaharakati wanaotetea makahaba, wataanza kutetea na mashoga kwa kigezo cha faragha, tuwapinge kwa nguvu zote

Kujiuza na ugumu wa maisha hakuna uhusiano.
Kahaba na ombaomba ndio watu wanaoingiza pesa nyingi kwa siku utasemaji wana ugumu wa maisha.
Ukahaba ni tabia.
 
Hao makahaba serikali yenu imekuja na hatua zipi kuwakwamua kiuchumi ili waachane na ukahaba?
Kila kahaba hata ukimpa milioni 50 hazifiki miezi mitatu hata mia hawana watajiuza tena.
Ukahaba ni ishu ya spirit na sio uchumi
 
Kila kahaba hata ukimpa milioni 50 hazifiki miezi mitatu hata mia hawana watajiuza tena.
Ukahaba ni ishu ya spirit na sio uchumi
Sasa kama ni ishu ya spirit kwa nini unatumia polisi kupambana nao??
 
Kama ambavyo huwezi kukomesha wizi kwenye watu wengi Bali unaweza kudhibiti hivyo hivyo huwezi komesha ukahaba Bali unaweza kudhibiti, ukahaba uko kwenye jamii zetu tumekuwa tukiona kama kitu cha kwaida nani alaumiwe? Wakulaumiwa ni jamii zetu kwakuto thibiti mmonyoko wa maadili akili zilezile zilizo puuza mmomonyoko wa maadili ukashamili Ndiyo eti akili hizo hizo zikomeshe ukahaba haiwezekani. Hili jambo siyo la mkuu wa wilaya pekeyake ni la jamii mkuu wa wilaya Kwa kutumia mikamera na kutisha watu hawezi, (wengine wameenda mbali zaidi Kwa kusema ni udhalilishaji) hata mimi nakubalia nao, it was like a drama and show off thus all
 
Watu wanaona ni ujinga kwa sababu ukahaba sio tatizo linalostahili kupewa kipaumbele. Matatizo makubwa kwa nchi zetu za Afrika ni katiba, ufisadi na vetting mbovu ya kupata viongozi. Tukilekebisha hayo matatu haya masuala kama umasikini, elimu, ukahaba n.k yatajiset tu automatically.
 
Nchi zilizoendelea tena wasio na kazi wanalipwa ajira tele still makahaba wamejaaa utasema hawa nao ni ugumu wa maisha.
Kibaka, kahaba,wanafanya hayo sio kwa ugumu wa maisha bali ni brain system ipo corrupted.
Tiba yao ni sycospiritual yaani combination ya dini na saikolojia ili kuformat upya mindset zao.
 
Yote yanakabiliwa
 
Kama nchi hii inapinga Akina dada kujiuza kwanini isitungwe Sheria dhidi ya hilo Jambo.
Sasa unawakamata watu kwenye magest mahakamani unaenda kuwashtaki kwa kosa gani? Wamepelekwa mahakamani wakarudishwa tena kituoni bila kusomewa shtaka lolote ikiwa na maana kuna watu wamewakamata kwa kosa ambalo Sheria hailitambui.
Mwishoni utashangaa wanashtakiwa kwa kosa la uzembe na uzurulaji ni Matunizi Mabaya ya rasilimali chache za nchi.
Mlundikano wa kesi ambazo uhakika ni kwamba hatuwezi kushinda.
Kama serikali inaona hilo nitatizo itungwe Sheria kulifanya kuwa kosa na kama haitungwi Sheria maana yake waache na shughuli zao maana nchi inaendeshwa kwa Sheria.
 
Mi nadhani ili kuepuka hayo yote ni kufanya marekebisho ya katiba kwenye ile ibara inayoongelea kuhusu right of privacy hasa kwenye matrimonial life na iwekwe wazi kuwa ukahaba na ushoga ni haramu, na kuwe na sheria maalumu ya maadili na tamaduni za kitanzania (Tanzania culture act).
 
Nani alisema???
 
Mnashindwa kupambana na mashoga na wasagaji walio serikalini mnakimbizana na watu ambao jamii imeshindwa kuwasaidia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…