Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
This logocal fallacy is called ad hominem.We ndo hauna akili kabisa😀
Attacking a person instead of replying to his points.
This fallacy is usually used by people who don't have any point.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
This logocal fallacy is called ad hominem.We ndo hauna akili kabisa😀
SawaThis logocal fallacy is called ad hominem.
Attacking a person instead of replying to his points.
This fallacy is usually used by people who don't have any point.
Ushoga na ukahaba ni tofauti Bora ukahaba kuliko ushoga.Ndio point yangu, watetezi wa makahaba pia ni watetezi wa mashoga, wewe ni shahidi wa point yangu
Kila kahaba hata ukimpa milioni 50 hazifiki miezi mitatu hata mia hawana watajiuza tena.Hao makahaba serikali yenu imekuja na hatua zipi kuwakwamua kiuchumi ili waachane na ukahaba?
Sasa kama ni ishu ya spirit kwa nini unatumia polisi kupambana nao??Kila kahaba hata ukimpa milioni 50 hazifiki miezi mitatu hata mia hawana watajiuza tena.
Ukahaba ni ishu ya spirit na sio uchumi
Kama ambavyo huwezi kukomesha wizi kwenye watu wengi Bali unaweza kudhibiti hivyo hivyo huwezi komesha ukahaba Bali unaweza kudhibiti, ukahaba uko kwenye jamii zetu tumekuwa tukiona kama kitu cha kwaida nani alaumiwe? Wakulaumiwa ni jamii zetu kwakuto thibiti mmonyoko wa maadili akili zilezile zilizo puuza mmomonyoko wa maadili ukashamili Ndiyo eti akili hizo hizo zikomeshe ukahaba haiwezekani. Hili jambo siyo la mkuu wa wilaya pekeyake ni la jamii mkuu wa wilaya Kwa kutumia mikamera na kutisha watu hawezi, (wengine wameenda mbali zaidi Kwa kusema ni udhalilishaji) hata mimi nakubalia nao, it was like a drama and show off thus allView attachment 3020801
Nimeona mtandaoni watu wengi wakiwamo wanasheria na wanaharakati wakitetea makahaba waliokamatwa na mkuu wa wilaya ya Ubungo
Ukahaba ni kinyume na maadili yetu watanzani na umekatazwa kwenye vitabu vyote vya dini
Sasa unapokuta mtetezi wa hao watu wanaofanya vitendo viovu unajiuliza dunia inakwenda wapi?
Wanadai kuwakamata ni kuingilia faragha za watu, sasa hata mashoga basi tusiwakamate kwa sababu ni kuingilia faragha zao pia?
Wengine utawasikia wakisema kuwa wanaojiuza wana maisha magumu, huu ni upumbavu, kwani wamama wanaouza magenge, wanaofanya usafi, wanaolima, kuosha vyombo n.k hawana maisha magumu kuliko hao makahaba?
Tumekataza ushoga na tunaupinga kwa nguvu zote kwa sababu ni kinyume na maadili yetu, kwa nini ukahaba tunashindwa kuukemea?
Watu wanaona ni ujinga kwa sababu ukahaba sio tatizo linalostahili kupewa kipaumbele. Matatizo makubwa kwa nchi zetu za Afrika ni katiba, ufisadi na vetting mbovu ya kupata viongozi. Tukilekebisha hayo matatu haya masuala kama umasikini, elimu, ukahaba n.k yatajiset tu automatically.
Nimeona mtandaoni watu wengi wakiwamo wanasheria na wanaharakati wakitetea makahaba waliokamatwa na mkuu wa wilaya ya Ubungo
Ukahaba ni kinyume na maadili yetu watanzani na umekatazwa kwenye vitabu vyote vya dini
Sasa unapokuta mtetezi wa hao watu wanaofanya vitendo viovu unajiuliza dunia inakwenda wapi?
Wanadai kuwakamata ni kuingilia faragha za watu, sasa hata mashoga basi tusiwakamate kwa sababu ni kuingilia faragha zao pia?
Wengine utawasikia wakisema kuwa wanaojiuza wana maisha magumu, huu ni upumbavu, kwani wamama wanaouza magenge, wanaofanya usafi, wanaolima, kuosha vyombo n.k hawana maisha magumu kuliko hao makahaba?
Tumekataza ushoga na tunaupinga kwa nguvu zote kwa sababu ni kinyume na maadili yetu, kwa nini ukahaba tunashindwa kuukemea?
PIA SOMA
- Vita ya DC Ubungo na Makahaba: Mgongano wa sheria, haki na maadili
- Kuna kesi ya udhalilishaji kama wale walioonekana kwenye video ya kukamata makahaba watapata mwanasheria mzuri
- Vigezo gani anavitumia DC wa wilaya ya Ubungo, Hassan Bomboko kuvamia kumbi za starehe na nyumba za wageni kukamata watu anaodai ni makahaba?
Mmeweka mpaka combination za dini mashuleni halafu mnapinga.Tanzania haiongozwi kwa vitabu vya dini, hili ni taifa secular, tafuta hoja nyingine ya kupinga ukahaba/umalaya katika ngazi ya taifa.
Kwa sababu wamekosa kazi ya kufanyaSasa kama ni ishu ya spirit kwa nini unatumia polisi kupambana nao??
Kwa mantiki hiyo turuhusu pia na ushoga?
Mashoga wamekamatwa sana awamu hii...Lissu ndiye anayeunga mkono mashoga..Ccm haiwezi kupinga ushoga awamu hii.
..subirini baada ya 2030 ndio mtaweza.
.
Yote yanakabiliwaWatu wanaona ni ujinga kwa sababu ukahaba sio tatizo linalostahili kupewa kipaumbele. Matatizo makubwa kwa nchi zetu za Afrika ni katiba, ufisadi na vetting mbovu ya kupata viongozi. Tukilekebisha hayo matatu haya masuala kama umasikini, elimu, ukahaba n.k yatajiset tu automatically.
Yote yamekatazwa, ni uovuUshoga na ukahaba ni tofauti Bora ukahaba kuliko ushoga.
Ushoga ni matokeo ya upungufu wa akili.
Ushoga na ukahaba ni tofauti Bora ukahaba kuliko ushoga.
Ushoga ni matokeo ya upungufu wa akili.
Nani alisema???Watu wanaona ni ujinga kwa sababu ukahaba sio tatizo linalostahili kupewa kipaumbele. Matatizo makubwa kwa nchi zetu za Afrika ni katiba, ufisadi na vetting mbovu ya kupata viongozi. Tukilekebisha hayo matatu haya masuala kama umasikini, elimu, ukahaba n.k yatajiset tu automatically.
Mnashindwa kupambana na mashoga na wasagaji walio serikalini mnakimbizana na watu ambao jamii imeshindwa kuwasaidia!