Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Ndugu zangu Watanzania,
Wale wanaharakati uchwara waliokuwa wanafanya uchochezi, kuchochea machafuko ,kutoa kauli za kupandikiza chuki , uchonganishi na uzushi wa kila aina ili kuwahamasisha wananchi kuchoma Taifa letu.
Kwa sasa wamepoteza muelekeo,kusambaratika na kupoteza muelekeo kabisa. Hawana mbele wala nyuma kwa sasa. Wamebakia na aibu na kubweka tu kama Mbwa Mzee aliyeishiwa Nguvu na kupoteza uwezo wa kuona na hata kunusa.
Nyuso zao zimebakia na aibu tupu wasijue cha kufanya . Watanzania wamewaonyasha na kuwapa ujumbe mzito sana kuwa siyo wajinga na wala hawapo tayari kushiriki ujinga wa kudanganywa kwa ajili ya kuchoma Taifa letu .
Watanzania wameona ni ujinga wa hali ya juu sana kwa mtu aliyepo nje ya Nchi kukudanganya wewe uliyepo hapa Nchini ufanye vurugu , maandamano,kuchoma nchi yako na kuleta uharibifu wa mali ambazo umechangia kuzitengeneza.
Watanzania wamegoma kutumika na kutumiwa kama mahayawani kwa maslahi ya wajinga wachache ambao wameamua kuwa wasaliti kwa Taifa letu na kushirikiana na maadui zetu kutaka kuangamiza Taifa letu.
Watanzania wamechagua Amani na kuendeleza Amani ya Taifa iliyodumu kwa nusu karne sasa. Ni meseji tosha kwa maadui zetu kuwa watanzania siyo makasuku na siyo Manyumbu.
Watanzania wamepeleka ujumbe kwa Maadui zetu ya kuwa Tanzania itabakia kuwa moja na watanzania tutaendelea kuishi kwa pamoja bila kubaguana . Na hatupo tayari kugawanywa na mtu yeyote yule kwa misingi ya aina yoyote ile.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.