Wanahitajika Madereva 200 wa Malori

Wanahitajika Madereva 200 wa Malori

Wanahitajika Madereva wa Malori (Long vehicle Truck Drivers) 200

Eneo la usahili: Dar es salaam.

Vigezo:
-Uwe na umri kuanzia 30- 45
-Uwe na leseni hai ikiwa na Class E pamoja na C
-Uwe na cheti cha kibali cha polisi (Police Clearance Certificate)
-Uwe Mzoefu kwenye barabara kubwa za Tanzania kwa mdaa mrefu pamoja na baadhi ya nchi za jirani.
-Uwe Mzoefu wa kuendesha gari kati ya SCANIA, HOWO, FAW au gari za kichina unayoiweza
-Uwe mstaarabu na muaminifu.

Mshahara: Ni mzuri sana
+ Unapewa NSSF pamoja na Bima ya Afya.

Gari zote ni mpya namba E, utakabidhiwa gari jipya na vifaa vyote vipya.
Na mwenye Hati ya kusafiria (Passport) atapewa nafasi ya ziada.

PIGA SIMU KWA MAELEZO ZAIDI 0716789438/062 087 431

Source: BENEDICT KIMBUSU on LinkedIn: Wanahitajika Madereva wa Malori (Long vehicle Truck Drivers) 200 *Eneo la…
Sio kweli.

Jina la kampuni na location?
 
Nakwenda na kilakitu....dili hili hapa ...
Asante kwa tangazo muluuuuua
 
Niko chini ya 30 ila nmeendesha oversize tairi 44 trip nlizopiga ni Stuttgart city(German) kwenda Tremola(Switzerland) kwa zaidi ya mwaka mmoja njia zenye milima na kona kali mizigo yenye tons 70+ vipi naweza kupata kazi?
Kwa Siku ulikuwa unatumia masaa mangapi? Sawa na Km ngapi?
 
Mbona unafichaficha taarifa hakuna Jina la kampuni Wala email address kwaajili yakutuma maombi ungeweka Kila kitu wazi mambo yakupiga simu kwaajili ya maelezo zaidi hiyo ni njia Mojawapo wanayoitumia matapeli
Utapeli wa waziwazi huo. Hata mimi nimeshtuka.
 
Wanahitajika Madereva wa Malori (Long vehicle Truck Drivers) 200

Eneo la usahili: Dar es salaam.

Vigezo:
-Uwe na umri kuanzia 30- 45
-Uwe na leseni hai ikiwa na Class E pamoja na C
-Uwe na cheti cha kibali cha polisi (Police Clearance Certificate)
-Uwe Mzoefu kwenye barabara kubwa za Tanzania kwa mdaa mrefu pamoja na baadhi ya nchi za jirani.
-Uwe Mzoefu wa kuendesha gari kati ya SCANIA, HOWO, FAW au gari za kichina unayoiweza
-Uwe mstaarabu na muaminifu.

Mshahara: Ni mzuri sana
+ Unapewa NSSF pamoja na Bima ya Afya.

Gari zote ni mpya namba E, utakabidhiwa gari jipya na vifaa vyote vipya.
Na mwenye Hati ya kusafiria (Passport) atapewa nafasi ya ziada.

PIGA SIMU KWA MAELEZO ZAIDI 0716789438/062 087 431

Source: BENEDICT KIMBUSU on LinkedIn: Wanahitajika Madereva wa Malori (Long vehicle Truck Drivers) 200 *Eneo la…
Bado zipo hizi nafasi mkuu?
 
Back
Top Bottom