Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 7,021
- 11,475
Sina uhakika Mkuu. Mimi ni hiyo tu niliyokutajiaRuti ya Lech uliwahi kwenda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina uhakika Mkuu. Mimi ni hiyo tu niliyokutajiaRuti ya Lech uliwahi kwenda?
😂Hapo nimekuelewa MkuuWe acha kazi yako hiyo ya udokta mifugo kaa nyumbani utaelewa maana yake mkuu, yaaani hadi mkeo atakuona mbuzi
Sio kweli.Wanahitajika Madereva wa Malori (Long vehicle Truck Drivers) 200
Eneo la usahili: Dar es salaam.
Vigezo:
-Uwe na umri kuanzia 30- 45
-Uwe na leseni hai ikiwa na Class E pamoja na C
-Uwe na cheti cha kibali cha polisi (Police Clearance Certificate)
-Uwe Mzoefu kwenye barabara kubwa za Tanzania kwa mdaa mrefu pamoja na baadhi ya nchi za jirani.
-Uwe Mzoefu wa kuendesha gari kati ya SCANIA, HOWO, FAW au gari za kichina unayoiweza
-Uwe mstaarabu na muaminifu.
Mshahara: Ni mzuri sana
+ Unapewa NSSF pamoja na Bima ya Afya.
Gari zote ni mpya namba E, utakabidhiwa gari jipya na vifaa vyote vipya.
Na mwenye Hati ya kusafiria (Passport) atapewa nafasi ya ziada.
PIGA SIMU KWA MAELEZO ZAIDI 0716789438/062 087 431
Source: BENEDICT KIMBUSU on LinkedIn: Wanahitajika Madereva wa Malori (Long vehicle Truck Drivers) 200 *Eneo la…
Kwa Siku ulikuwa unatumia masaa mangapi? Sawa na Km ngapi?Niko chini ya 30 ila nmeendesha oversize tairi 44 trip nlizopiga ni Stuttgart city(German) kwenda Tremola(Switzerland) kwa zaidi ya mwaka mmoja njia zenye milima na kona kali mizigo yenye tons 70+ vipi naweza kupata kazi?
Du upo vizuriNaijua hiyo ruti. Mwaka 2013 nilisafiri kutoka Zurich (Switzerland) hadi Tuttlingen (Germany).
Asante MkuuDu upo vizuri
Utapeli wa waziwazi huo. Hata mimi nimeshtuka.Mbona unafichaficha taarifa hakuna Jina la kampuni Wala email address kwaajili yakutuma maombi ungeweka Kila kitu wazi mambo yakupiga simu kwaajili ya maelezo zaidi hiyo ni njia Mojawapo wanayoitumia matapeli
Ulifanikiwa?Nakwenda na kilakitu....dili hili hapa ...
Asante kwa tangazo muluuuuua
Aaah wapi ni ujanja ujanja...nilienda lakin kwao hakuishi dhalula ...mala meneja anayetakiwa kuwa fanyia interview kapitia hospital anakuja ...yaani nikajionea keroUlifanikiwa?
Bado zipo hizi nafasi mkuu?Wanahitajika Madereva wa Malori (Long vehicle Truck Drivers) 200
Eneo la usahili: Dar es salaam.
Vigezo:
-Uwe na umri kuanzia 30- 45
-Uwe na leseni hai ikiwa na Class E pamoja na C
-Uwe na cheti cha kibali cha polisi (Police Clearance Certificate)
-Uwe Mzoefu kwenye barabara kubwa za Tanzania kwa mdaa mrefu pamoja na baadhi ya nchi za jirani.
-Uwe Mzoefu wa kuendesha gari kati ya SCANIA, HOWO, FAW au gari za kichina unayoiweza
-Uwe mstaarabu na muaminifu.
Mshahara: Ni mzuri sana
+ Unapewa NSSF pamoja na Bima ya Afya.
Gari zote ni mpya namba E, utakabidhiwa gari jipya na vifaa vyote vipya.
Na mwenye Hati ya kusafiria (Passport) atapewa nafasi ya ziada.
PIGA SIMU KWA MAELEZO ZAIDI 0716789438/062 087 431
Source: BENEDICT KIMBUSU on LinkedIn: Wanahitajika Madereva wa Malori (Long vehicle Truck Drivers) 200 *Eneo la…
Scam hakuna Tangazo hapoBado zipo hizi nafasi mkuu?