Wanaifananisha Shogun na Game Of Thrones

Wajapan wanakuaga na vitu vizuri sana
Kichwani mwangu nishajiambia muvi yoyote kutoka japan juo iko bomba. Hata story nyingi za muvi z wazungu hua wanawaiga au kuchukua stori za wajapan.
Anime zao mara nyingi hua ni kali sana hasa upande wa stori.
Eg.. Ukiangalia Attack on titan hutatamani iishe... Very interesting
 
Japan anime sijakutana na mbovu hata moja
 
Kitu pekee nilihisi ni kuwa Sansa ni nI mfano wa Malkia Victoria ukisoma vizuri historia yake na the whole Game of throne utaona imekalia hapo
 
Ser Bronn of Blackwater, Master of Coin, lord of HighGarden, Warden of South. [emoji2]
 
Utaipenda kanavutia sana hasa ukiwa unamsikiliza lady Mariko sama akiongea kijapan. Ila bado haijafika level ya GOT
Cult members wa GOT [emoji2]Hamtaki kukubali GOT kupitwa ubora na series yeyote...

Mko ka waamuni wa KIBWETERE. [emoji1787][emoji1787]
 
Kutazama mara mia ni uongo?
Huna kazi??
Haina hata miezi mi5 wewe mara mia???
Aaah wapi
 
I watch TV shows all the time. Ila linapofika suala la Game of thrones, i draw the line!

History comprising of dragons is just not my genre. Sijawahi angalia hata episode moja ya Game of thrones. So nikitaja series bora za muda wote kwangu, usitegemee kuisikia!
 
Good explanation. Actually daenary hakuchoma dhahabu zote. Mali nyengine zilikua zimeshafika kingslanding ndiyo maana cercie akapata pesa za kulipa madeni benki na kununua golden company. Madeni ambayo alikopa baba yao bada ya kukauka kwa machimbo kastaly rock. Lile jeshi ambalo bora samuel tally ameua watu wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…