Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Ahahaha haya bwana, naona umeamua kuii judge straight.Kama ni fuata mkumbo na sio mpenzi wa HISTORICAL SERIES
ni wengi waliishia SEASON 2
Ila waliojitahidi wakaingia SEASON 3
sasa hapo GOT kamili ndio inaanza ni bandika bandua haipoi haichoshi
Ni kweli SEASON 1 na 2 kwa mtu aneyejifunza kuangaia HISTORICAL seriez
ambaye amesikia STORY za GOT mtandaoni zitakuchosha na unaweza usiendelee 7bu inataka uelewe maneno wanayozungumza
kwenye GOT hakuna kufuata matukio kwenye GOT lazima uelewe line ya maneno wanayozungumza ndio mana wengi wanapenda kuangalia ikiwa na SUBTITLES ili upate kuelewa neno kwa neno
GOT unaweza kuta Nusu ya episode ipo sehemu moja eneo moja wanazungumza tu sasa mtu kama wewe lazima ikuboe sio vitu vyako hvyo
Okay 😂