Wanaifananisha Shogun na Game Of Thrones

Jaqin Hagar ni πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Shogun ni nzuri ila haifikii GT hata robo wazee,Shogun ni kama movie ya kijapan tu inayomuhusu Taronaga.
 
Kwa mimi Shogun ni bora kuliko game of throne.
Maana huyu jamaa Hiroyuki Sanada hanaga kazi mbovu.
Shogun naipa hadhi sawa na into the badlands.
 
Shongun ni nzuri ila wazee GOT πŸ™Œβ€¦β€¦.. labda ngoja tusubir muondelezo wake huko mbelenii ila mpaka sasa bado viwango vya GOT havijafikiwa
 
Toronaga-sama


Nimeskia HBO na IMAX wanatoa series mpya inayo base kwa John snow peke yake
 
Mtu wa kwanza kunishawishi niangalie GOT aliniambia dah nakutamani kama ndio unaanza kuangalia halafu nikaenda season 1 nika fail
Baadae nikaikuta kwenye PC ya mtu nachukua series ya Breaking bad nikamwambia hivi hii GOT vipi akasema aah iko addictive sana nikasema ngoja nijivute nione itakuwaje
Tangu wakati huo nimeangalia labda mara 20 na hadi Sasa Nina season 7&8 zikiwa zimetulia Kila mda naangalia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…